Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.

- Ona mjinga mwingine huyu anasema ameshanidharau ok ulipokuwa unaniheshimu uliongezea nini mkuu ambacho kitapungua sasa umenidharau au umejidharau mwenyewe? hahahahahahahah Wanaonidharau hawana muda na mimi ila wewe hunidharau unajidharau mwenyewe

- Niachane na uzi huu ili uniheshimu wewe maana wewe ni Mungu mazafantaza nyamza kama huwezi badili channel ok hahahahaha relax man!!

Le Mutuz
 

wewe jamaa unaishi kwa isia sana yani yani nakufananisha na wale makungwi wa kwenye kitchen pat maana wakipata jambo lazima wataliongea kwenye tukio unadhalikisha hadi ukoo wako bichwa kubwa limejaa maji tu eeeeehhhh mungu shuka umsaidie mtu huyu
 

unapiga punyeto mkuuu?jibu swali.
 

Hahaha leo nimecheka babu mtu mzima kumbe kiburudisho cha kina Ridhiwani duh hii balaa na anazidi kudanganya eti Ridhiwani anakaa kwenye nyumba za NHS kama yeye,umezidi uongo babu lemutuz ,Ridhuwani anakaa kwenye bonge la house mikocheni na hadi barabara amewekewa nje ya nyumba yake haha unaganya mchezo na mtoto wa raisi, kama nyumba za msajili anaweza kuwa nazo nyingi tu kama investment sio kama wewe babu lemutuz wewe ndio umefika kwenye kale kasebule na kijiko kama jela UK, unatapatapa na kuwarusha watu na picha na majina kwa kuhisi tu haha na bado pressure zitazidi kukupanda, wajukuu wa makam wa raisi mstaafu wanakuwa kwenye welfare kama yatima jamani kweli hatari na baba unahangaika kula kiti moto kwa kujificha haha nimekuvulia kofia wewe
 
Le mutuz ana maumivu ya kuachwa na mke wake huku bado anampenda ndio maana anamchafua mbele ya dunia na watoto wake. Mimi alishawai kuniita Seth kisa nimemshauri aache kujipendekeza kwa watu wenye pesa atabanduliwa sana. So ndio zake kuotea otea hili kupotezea mashambulizi.

Inamaana kila anayekujua unamwita ni mkeo, basi mkeo amekuachia maumivu sana mbaya zaidi kamov on. Nani asiyejua mafuta unawekea na Davis mosha, mama yako mbwembwe nyingi eti hoo tunduma nzima hakuna nyumba kama yake kumbe kibanda, ata matibabu kaponea kwa hela za seki ndio kumtibu we ulipiga nae selfie tu.

Ata Pamba zako ni aibu tupu kauka nikuvae unawaaibisha wenzako ulivyomchafu kuongozana nao. Tahaira mkubwa!
 
- Ona mjinga mwingine huyu unakuwa kwenye Welfare ukiwa huna kazi, unasaidiwa na Serikali ya US ukiwa na mshahara mdogo kama my ex ni vitu viwili tofauti sana hahahahahaha

Le Mutuz
Sasa hizo sifa zote zinaangukia kwenye asikini,aibu kwa kweli kila siku,unajiita akili kubwa unaingiza pesa, halafu wanao wanaishi kwa msaada wa marekani walipa Kodi,maana kwa maisha ya marekani, vijisenti vyako ulivyokontribute kwenye kukatwa Kodi?vilishaisha long time, as haucontribute tena. Aibu kwa kweli unakula. Bata double tree huku wanao wanaishi kwa msaada USA
 

Mkuu lala sasa ushafanya kazi mchana kutwa au ndo unafata wabebez mwenzio riz yuko na wife analea wanae wewe unaenda kulea pros wa mikocheni. Aibu kubwa sana hii le mutuz akili kubwa iko wapi sasa ?????
 
Mkuu babako kakuchoka anakuoana kama zigo linalosubiri kuoza lipitiwe na maji ya mvua. Unadhani ni jambo dogo baba kukuacha ashindwe hata kukujengea kaself ??? Kaona acha maisha yakufunze na ngoja ushindwe kulipa kodi utajutraa mkuu. Ila kwa wabebez wa mtaa wanaonekana wana hasira na wewe balaa ngoja wakukute ukiwakuwadia waume zao hakiyamungu wasipokufanyia ule umafia wa bandarini na melini lazima wakate kojoleo jitu zima ovyooooooooo. Mfyuuuuu
 
Haya babu ze mwili jumba ze akili kithoda endelea kuharaaaa
 

hashauriki huyu mkuu zaidi hapo atakutukana mwache aendelee kutufurahisha sie vitukuu vyake
 

sasa ww mtu gani usiyependa kushauriwa?sio siri mi cku zote nilikuwa nakuoneaga huruma sana watu wanavyokuataki lkn leo nimegundua kumbe shule ulienda kusomea ujinga.unamwaibisha mzee wako sana
 

Babu zima linaishi kwa ukuwadi,hiko kiofisi chako hapo tancort unajaza visichana na kupiga navyo picha kama dangulo.
 
sasa hebu jamani fikirieni mtu mzima baba wa watoto wawili anavyozalilishwa hivi na watoto wadogo na bado anajiita akili kubwa na degree tatu haha
 
wewe jamaa unaishi kwa isia sana yani yani nakufananisha na wale makungwi wa kwenye kitchen pat maana wakipata jambo lazima wataliongea kwenye tukio unadhalikisha hadi ukoo wako bichwa kubwa limejaa maji tu eeeeehhhh mungu shuka umsaidie mtu huyu

- No hahahah ninaongea FACTS na only mtu anapojaribu kunichafua bila ukweli nitakiujibu tu kama ni anything au kungwi let me be kichwa kilichojaa maji ni kile kinachoweza kufikiria kuja na majina ya bandia mitandaoni kutukana watu usiwajua that is kichwa kilichojaa maji but as for me nitajibu and here I am!!

Le Mutuz
 

- Ridhiwani anaishi Seaview alihama Mikochen miaka mingi sana unaona sasa wewe unaishi Dar na aunakutana na mimi kila siku how come hujui Ridhiwani anaishi wapi hahahahahahah, mwenye presha hapa nani mimi au wewe hahahahahaha mimi nikiwa na presha wewe utakuwa Hopsitali wewe huko unakoishi ukiweza kuwa na nyumba kama ninayoishi usingekuja kulia lia hapa huyo mume wa mtu anapokuja watoto wanasema inabidi wao walale Sebuleni maana hamna nafasi sasa niambie unaweza kumdanganya nani hapa kwamba wewe una hela za kuishi nyumba kubwa kama yangu hapa bongo huko New York? hahahaha

- Maisha yamekushinda rudi tu nyumbani utahangaika hapa JF haitakusaidia kitu mimi ninaishi downtown nina apartment 3 bedrooms,. nina apartment nyingine kama hiii changombe na nina nyumba na shamba Kinyerezi, vinanitosha kwa sasa na nafasi yangu ila bado ninaongezeka kila siku kutokana na biashara zangu hapa mjini wewe umekwama, kuwa na mume wako nweyewe huwezi inabidi udandie mume wa mtu mke wake anasoma London akiena kwa mkewe kwanza na wewe ndio uwaibie hao watoto hela zao za Serikali umtumie tiketi ndio uwe na mwanaume wewe undhani huku bongo mimi nina shida na mke wa mtu?

- Ulifanya makosa kubali songa mbele na maisha yako achana na mimi kwa sababu mimi ndio nilikuwa na akili kuja huko na kukuleta siwezi kukwama wewe umekwama maana akili iliyokuleta huko haipo tena, umekuja bongo baada ya miaka 4 najua saa hizi umejaa madeni matupu, pole sana ila wachana na mimi nilishakusahau!!

Le Mutuz
 

- hahahahahahahahahahaha ningekuwa nampenda alipokuja ningemuomba radhi anirudie lakini alipokuja ndio kwanza nikaenda Mbeya kumtibu mama yangu, Seky na marafiki zangu wengi waliamua kunisaidia kumtibu mama yangu kama ni dhambi sawa naibeba, siwezi kuwa ofisi yangu Posta mpya na nyumba posta mpya nikawa sina nguo hahahahahahahah labda sivai kama unavyotaka wewe lakini sijawahi kutembea uchi, mama yangu anaishi kwenye nyumba ambayo my ex na watoto walienda wakaishi ndani yake kwa wiki mbili so relax huna FACTS TAFUTA facts kwanza ndio uje ucheze na mimi AKILI KUBWAZZZ hahahahahahahha

Le Mutuz
 
Haya ni family business hapa sio sehemu yake ni mambo ya aibu mbele za watu kwa kweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…