William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- What is that wewe hujaona Rais wa USA anafanyiwa hivi it is just fun google Meya wa New York kila mwaka mara moja anafanya Comedy ya kuvaa hivi na kupiga picha kwani cha ajabu na hizo picha ni nini? hahahahaha wewe for sure ni mjinga wa akili hahahahahaha
Le Mutuz
Mbona sura ya mtu mwingine mwili wa IRENE UWOYA au ni mabebez wakali wawili tofauti?
Mkuu huyo alokuvisha wig c ndo huyo dougiemaster ulosema amekupandsha kutoka 5000 followers to 60000 au????
Huyu mbona ni Chaggababie
Le mutuz ni kuwadi anawakuwadia wanaume wenye hela hili apate mkate wa kila siku.
Wake zao wanamsaka wamsute, lazima pachimbike.kudaadadadeki
I thought ni family yako hiyo what happened babu?
- hahahahahahahahahahaha ningekuwa nampenda alipokuja ningemuomba radhi anirudie lakini alipokuja ndio kwanza nikaenda Mbeya kumtibu mama yangu, Seky na marafiki zangu wengi waliamua kunisaidia kumtibu mama yangu kama ni dhambi sawa naibeba, siwezi kuwa ofisi yangu Posta mpya na nyumba posta mpya nikawa sina nguo hahahahahahahah labda sivai kama unavyotaka wewe lakini sijawahi kutembea uchi, mama yangu anaishi kwenye nyumba ambayo my ex na watoto walienda wakaishi ndani yake kwa wiki mbili so relax huna FACTS TAFUTA facts kwanza ndio uje ucheze na mimi AKILI KUBWAZZZ hahahahahahahha
Le Mutuz
Le milionaire anayesaidiwa kifedha kumtibu mama mzazi (MAJANGA)
wakuu huyu taahira tunampandisha chachi ataenda mtaani akijisifia kua ana uzi jf sasa mwacheni tujae kimya tuone najua watu wake watazidi kuandika ila wenye akili tukae kimya nimegundua jamaa anapata mkate wake wa kila siku kupitia uzi kama hizi ndio maana anazo nyingi sana humu jamani mwacheni........!kwanza hata kiumri sio sawa na sisi huyu sasahivi anarudi utotoni ndio afe inamaana amezeeka vya kutosha tusibishane na mtoto.......!
Asanteni.
au mkitaka tuchangie mada kizungu hapa mtaona anaishia kuandika u know.....!
Le mutuz nakushauri ukae kimya ili umaintain heshima yako..munawapa watu faida kwa maswala yenu ya ndoani bwana..kaa kimya uonekane mwerevu wataoendelea kusema wataonekana le mburulaaaaaz
Huyu jamaa lemutuz yeye ndio anatapatapa hajui for sure mimi ni nani ninaandika ndio maana anamsingizia huyo mama watoyo wakr na yote inatokana na yeye kukosa busara na kutoamini kama kuna watu zaidu ya mkewe familia yake watajua mambo yake ya ndani, kama hii issue ya watoto wake kumkataa pale ukonga na yeye kulia kwenye gari ilikuwa wazi na yeye hajapinga pote na kila mtu anajua sasa sioni sababu ya yeye kumuandama yule mzazi mwenzie kwa maneno ninaandika mimi, huyu lemutuz ninamjua siku nyingi sana na hata leo tumeonana mitaani tukasalimiana kwa furaha lakini hajanijua kama mimi ndio natuma post hizi hapa, anatakiwa a grow up na aache utoto.
Hu
wewe mdada mbona umekomaa hivi na issue za le mutuz...? do u think unamuweza kweli...??? as long as u dont have facts utaaibika.
stay away from le mutuz le big show le man of people le king of all bongo social medias hahhahhahahhahahhah atakuabisha tu. :juggle:
- hahahahahahahahahahaha ningekuwa nampenda alipokuja ningemuomba radhi anirudie lakini alipokuja ndio kwanza nikaenda Mbeya kumtibu mama yangu, Seky na marafiki zangu wengi waliamua kunisaidia kumtibu mama yangu kama ni dhambi sawa naibeba, siwezi kuwa ofisi yangu Posta mpya na nyumba posta mpya nikawa sina nguo hahahahahahahah labda sivai kama unavyotaka wewe lakini sijawahi kutembea uchi, mama yangu anaishi kwenye nyumba ambayo my ex na watoto walienda wakaishi ndani yake kwa wiki mbili so relax huna FACTS TAFUTA facts kwanza ndio uje ucheze na mimi AKILI KUBWAZZZ hahahahahahahha
Le Mutuz
- Ni Irene Uwoya ndiye mwenye tatooo yenye maandishi ya kichina mkononi na akama una kumbukumbu utakumbuka kwamba nilishirkiana naye sana kwenye zile series za video za kubomoa na kujengea nyumba watu aliyokuwa akiifanya zamani hahahahah
Le Mutuz