case mtanga
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 101
- 92
Hahaha kwa hiyo hata mamakibunju amekuwa ni xwife wako, yaani kila mtu anayekupa madongo ya kweli ni Neema haha, badala ya kuona aibu wrwe hadi leo watoto wako wanalelewa na wanaume wenzako na serikali kama matonya wewe kazi kujisifia sijui nilikuwa nalipwa pesa nyingi sana, toka lini dereva wa gari za taka akalipwa pesa za maana haha acha kudanganya wewe, si ungekuwa ushamaliza kale kakibanda chako kinyerezi na ungekuwa hata na viwanja mbezi beach badala ya kulilia offer za kuku vitumbua kwa wanaume wenzako haha


