Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Hakuna kitu hapo kichwani, jamaa anakurupuk sana
 
Sijaona mtu mjinga kama lemutuz, nafikiri jamaa ana psychological problems, coz anapenda kufit sana, kila jambo anataka aonekane, too bad kwa umri wake.
Le mutuz ni tiss agent mtu mzima yule anajua anachokifanya ndio maana familia yake inaangalia bila kuongea chochote wapo kimya sababu wanajua yupo kazini
 
Hi ni aibu kwa wanaume aisee kuondelea kuona mwanamme mwenzetu anafanya mambo ya ki K kama aya
 
Le mutuz ni tiss agent mtu mzima yule anajua anachokifanya ndio maana familia yake inaangalia bila kuongea chochote wapo kimya sababu wanajua yupo kazini

Acha kudhalilisha kitengo cha TISS wewe.Wakati mwingine kama hujui kitu bora ukae kimya tu.
Lile tutusa linalotoa matamko yake ya uongo na habari asizo na uhakika nazo anaweza kua TISS?
Hana lolote yule ni mtaka sifa tu mjini hapa.
 
Kitengo chake cha kufatilia umbea na kusifia watu acha kudhalilisha kazi za watu
 
Mjini pagumu jamani lazima uwe mjanja ili siku ianze na kuisha vizuri kama vipi muacheni mzee wa watu aandae kiinua mgongo chake kupitia hao anaowasifia hii kumuumbua mtamuua njaa mwenzenu,ngoja aje utanielewa.
 
Acha kudhalilisha kitengo cha TISS wewe.Wakati mwingine kama hujui kitu bora ukae kimya tu.
Lile tutusa linalotoa matamko yake ya uongo na habari asizo na uhakika nazo anaweza kua TISS?
Hana lolote yule ni mtaka sifa tu mjini hapa.

hata mi nimemshangaa uyo, anaijua TISS au anaiskia tu.
 
Le mutuz ni tiss agent mtu mzima yule anajua anachokifanya ndio maana familia yake inaangalia bila kuongea chochote wapo kimya sababu wanajua yupo kazini

Lemutuz ni mdananda flani ivi ameizing.....
 
"you know hamwezi kuelewa kwa sababu nyinyi mburulaz akili zenu ndogoz, mimi nina digrii tatu kama muhongo halafu za mbelez sio chuo cha kataz you know? hebu kufwa":becky:
 
Selwa windscreen crack inategemea ndege iko futi ngapi hewani! kuna BA au BMI aircraft windscreen ilitoka kabisa! rubani mmoja akawa sucked akatoka nje kuanzia kiunoni wenzie wakamshika miguu au alinasa kwenye tundu la kioo. jamaa waliishusha ile ndege biila matatizo na rubani ali survive ingawa alipata frost bite!

Nyingine HAWAII ilitoka mlango kabisaaa na abiria 4/6 na cabin crew mmoja walikuwa sucked out na viti vyao...rubani alishusha hio ndege ikiwa na tundu kubwa sana!

source: nimeangalia aircraft investigation series nyingi sana on nat geo channels
 
Last edited by a moderator:

Naona umejihami kwa kuweka source kabisa! Lol
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom