- hahahahahahahahahaha umenivunja mbavu maana hujui unachotaka halafu unafikiri Degree 3 nilisomea kwa kiswahili au what? hahahahahahah
Le Mutuz
wewe usome degree tatu zipi?labda zakununua ila kusoma huna akili hiyo man
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- hahahahahahahahahaha umenivunja mbavu maana hujui unachotaka halafu unafikiri Degree 3 nilisomea kwa kiswahili au what? hahahahahahah
Le Mutuz
wakati wenzako wenye miaka kama yako wanaongea about majumba yao masaki salasala mbweni au mbezi beach wewe babu lemutuz unatupigia kelele kumiliki kiappartment cha chumba kimoja au studio flat jamani kweli wewe babu jinga haha, kijumba cha msajili unalipa elfu 50 unafanananisha na apprtment inayolipiwa dollar 1000 hadi 2000 newyork haha kweli wewe mtindio wako wa akili umefyatuka zaidi, hebu nisaidieni kuna nyumba gani ya msajili yenye vyumba vitatu halafu ina kijiko kidogo kama hiko haha au babu lemutuz unakaa mortuary niniView attachment 246247wakati wenzako wenye miaka kama yako wanaongea about majumba yao masaki salasala mbweni au mbezi beach wewe babu lemutuz unatupigia kelele kumiliki kiappartment cha chumba kimoja au studio flat jamani kweli wewe babu jinga haha, kijumba cha msajili unalipa elfu 50 unafanananisha na apprtment inayolipiwa dollar 1000 hadi 2000 newyork haha kweli wewe mtindio wako wa akili umefyatuka zaidi, hebu nisaidieni kuna nyumba gani ya msajili yenye vyumba vitatu halafu ina kijiko kidogo kama hiko haha au babu lemutuz unakaa mortuary nini
...picha imeshakuwa tamu......ngoja arudi toka kwa mastaa wenzake........ila lemukubwaz ,.. hivi ni kweli X wako amepora mume wa mtu?? una ushahidi wowote???..mi sipo upande wowote, but I have the same experience!..na mwisho ikawa aibu...
Le Gunz
- Huna nyumba huko unaishi kwenye kijumba cha mwaka 1919 huyu mume wa mtu anapokuja watoto wanasema wanabidi walale sebuleni, ungenymaza tu maana ni huzuni mtu anayeishi vizuri huko hawezi kulala macho kutafuta jana nilikuwa wapi bongo, ulikuwa mjanja huko na maisha makubwa na mazuri ulipokuwa na mimi maana nilikuwa nayo kabla sijakuleta now umeona cha moto utalia hapa JF mpaka miwsho wa maisha yako hakuna wa kukusaidia hahahaha
Le Mutuz
Hata akikaa kimya heshima kashapoteza umewai kuona hao so called friends wake wanadhalilishwa mitandaoni, it's always lemutuz sasa we acha atuburudishe tuangalie Le Movie, eeeh Endelea Baba kubwa
Le mbululaz naona bado unambapambana na Id fake huku ukiendelea kujivua gagulo..
Leo umependeza sana, mavazi on point.Kumbe madongo ya hapa kuhusu mavazi yamefanya kazi
Mbona hii ya kulia ukonga aujakanusha wala kujibu chochote, Haya tumwagie maubuyu ilikuwaje mwanawani hadi ukaangusha choziii ni mambo ya contact na watoto hahahahahahaha lemutuz
- Ona mjinga mwingine huyu anasema ameshanidharau ok ulipokuwa unaniheshimu uliongezea nini mkuu ambacho kitapungua sasa umenidharau au umejidharau mwenyewe? hahahahahahahah Wanaonidharau hawana muda na mimi ila wewe hunidharau unajidharau mwenyewe
- Niachane na uzi huu ili uniheshimu wewe maana wewe ni Mungu mazafantaza nyamza kama huwezi badili channel ok hahahahaha relax man!!
Le Mutuz
- Wewe utabadili majina mpaka utachoka utafuatlilia maisha yangu mpaka utakufa ila huwezi nifanya lolote, maisha yangu yanaendelea nimetoka kwenye Semina ya Masta jioni nimealikwa na rafiki yangu wa karibu sana Naibu Waziri wa Afya ya Zanzibar Serena Hotel kwenye event yake maalum, wewe mwenye heshima wanakualika wapi mbona sijawahi kukuona nyamaza wewe mjinga hahahaha
Le Mutuz
Nyie mtakuwa mnapendana bado, msituzuge bana.
- Ingekuwa kweli usingekuja kulia unajua nani anajivua nguo hapa hahahahahahaha
Le Mutuz
Mbona ulitangaza kwa mbwembe kuwa unaanzisha redio? vip imeishia wapi?
Ww unayegombea nafasi CCM huko, mgombea gani JINGA KABISA, Vp ulivyotoswa umoja wa vijana sijui nini ile naona walijua kabisa wewe ni BOYA
wewe usome degree tatu zipi?labda zakununua ila kusoma huna akili hiyo man