Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Huyo nae hajui chochote kajiropokea tu.
Le Mutuz anaweza kutunza siri yule? Akipewa simu tu anatangaza kila saa/siku!

Huyo mbululaz nlishasema anaishi kwa upambe n ukuwadi umri huo unapiga kelele kma mtoto w frm 2......istoshe davis hana private jet
 
Lemutuz is a kiss-a** kwani hamlijui...anapenda kushadadia tu, angepata na diploma ya kushadadia huko Marekani cz anazo nyng
 
Selwa

Mbona hizo tarehe zote za zamani? dates zote zimeisha na nyingi za zamani au?

Hakuna listi mpya ya sasa?
 
Last edited by a moderator:
uyu mtu ni shida sishangai. mbona ndege ishu ndgo!! Mtoto wake alienda kufanya majaribio Chelsea sjui iliishia wap na pia lorry za mafuta na mizigo zakutosha. Op ni yy tu bongo ana lambojini.
 
uyu mtu ni shida sishangai. mbona ndege ishu ndgo!! Mtoto wake alienda kufanya majaribio Chelsea sjui iliishia wap na pia lorry za mafuta na mizigo zakutosha. Op ni yy tu bongo ana lambojini.

Ndege ishu ndogo? Acha maskhara mkuu
 
ukiwa na ela kila majina utapewa......... eti "my super friend" kha.... marafiki zake ni matajir tu ambao sio level yake kwan ndege wanaofanana huruka pamoja sasa yy anafanana vp na hawa jamaa?
 
katika pita pita zangu huko instagram nikakuta William Malecela maarufu kama Lemutuz akimsifia tajiri Davis Mosha kwa kununua private jet
Lakini kuna comment iliandikwa akaifuta haraka sana nikafanikiwa kuichunguza nikakuta kumbe ni kweli.
Hapana Hii sio private jet ya Mtanzania ni plane kutoka south Africa yaani ndege ya kukodisha...registration ZS-LOV ni ya south africa na ni kampuni kabisaa ya charter sio ya Tanzania, tumpe sifa za kuwa na jeuri kukodisha ndege kwa lisaa dola 2500 lakini je anastahili pongezi hii? mbona hii ndege si commercial ilikuja na mtu n kuondoka na mtu ina maana billionea aliomba kupiga picha?! na kama kweli Mosha kanunua hii ndege tungeona jina lake hapaa kwenye certified plane owners wa Tanzania listi inakuwa updated monthly Tanzania Civil Aviation Authority : Aircraft Register : List na kama kainunua ni kweli kashindwa kuibadilisha hio tail number kwa kulipia gharama ndogo tu kabla ya kuanza kutumia kwa safari? sidhani kama inaruhusiwa kutembelea hivo kama ndege ni yako ila ina registration ya SA..sio magari haya ati.
Pili Willam akaendelea kusema kua windscreen ilicrack hewani ikiwalazimu kurudi chini haraka. Je hii ni kweli? wajua kama
View attachment 256570windscreen ikicrack hewani una sekunde 13 tu hadi ndege iloose control due to loss of pressure! na ndView attachment 256568View attachment 256568ege hupaa kwa takribani sekunde 30 na hutua kwa 40- 20 ina maana kusingekuwa na survivor...German airwings inasemekana windscreen ilicrack ndo mana ndege ikadondoka...kwa hiyo ni almost impossible kwa jet ka hiii kustahimili windscreen crack. Le mutuz naamini yumo humu. Watanzania tunafanywa ka watoto wadogo hahahahahah

Hivi hivi tulidnganywa Kinje ana private jet wakati ndege ina chataaa kubwa ya kampuni ya Kitanzania ya flightlink!!! tena hii ilikuwa ndege yao mpya embraer 120 er iliekuwa south africa kwa mda huoo...watanzania kwa kukuza mambo hatujambo
https://www.jamiiforums.com/habari-...wenye-private-jet-pekee-tanzania-nzima-5.html

- Haya ni maneno ya Kimasikini na ujinga sana, Super Bilionea kama Davis Mosha aende Uwanja wa NDege aingie kwenye ndege ambayo haimuhusu kisa anataka kupiga picha za kujionyesha, mkuu kweli umetumia muda wako wote huu kuandika maneno yote haya kumhusu Super Bilionea ambaye hata utmbike familia yako yote hutakuja kumfikia, hahahaha

- Well, the story is mimi nilikuwa ninaenda Bukoba akaniambia nimsubiri jioni twende na ndege yake ya Private, nikamwambia natangulia ila nitapanda wakati wa kurudi, nikiwa msibani akanipigia na kuniambia ndege yake imepatwa na matatizo ya kioo cha pilot walipokuwa hewani imebidi warudi Dar, na nikaongea na wote waliokuwa kwenye ndege na wakanitumia picha zote za mkasa mzima ninazo.

- Well, toka nimerudi Bukoba sijaonana naye wala kuongea naye cause amesafiri nje ya nchi, now lets say unayoyasema ni kweli hivi ni kweli wewe unajua mali zote za Davis na Majina anayotumia kuzimiliki? Serikali ya Malawi iliuza ndege ya Rais na kudai haina ndege tena ikaja kugundulika kumbe wamedanganya wanayo ndege kwa jina tofauti huko huko South Africa unakokusema vipi unaisemaje hiyo? Kwani ndege ni hela ngapi kwamba Davis mtu anayemiliki mali za ajabu sana anaweza kushindwa kununua?

- Ningesema wewe ndiye mwenye hiyo ndege kweli lakini DAvis Mosha please anaweza kuwa nazo hata zaidi ya moja, siamini mali za watu wengi wa Tanzania walizonazo nje ya nchi zimeandikwa majina yao kamili, ninaamini kwamba Davis anayo ndege na ninaamini haipo kwenye jina lake, kama anaweza kumiliki Gari lenye thamani ya USD $ 400,000 tena kwa miaka zaidi ya 10 now itakauwa ndege ndogo au hujui bei ya ndege ndogo? I mean mtu anamiliki Shamba la ajabu pale Ndurama Arusha lina farasi zaidi ya 10 wewe unajua gharama ya kumtunza farasi mmoja kwa siku?

- Well, kama kawaida mnaniongezea umaarufu tu na hoja za kijinga jinga and I love it, ninasema hivi wewe huna uwezo wa kuwa na ndege ila Davis anao na najua as a FACT anaweza kuwa na ndege hata zaidi ya moja, pole sana kama wewe sio tajiri wengine ni matajiri na utakubali tu mwisho wa safari, il wacha haya majungu ni ujinga!!

Le Mutuz
 
Le Mutuz anasumbuliwa na gonjwa linaitwa 'Kujikomba Syndrome'.
Limeshambulia sehem kubwa ya ubongo wake na kumsababishia madhara mpaka katika kuwaza na kufikiri kwake.
Huwa anapenda kuwa wa kwanza kutoa taarifa zisizothibitishwa ili apate affectiona au attention ya wale watu anaowaongelea kwa kuwapamba na kuwatolea matamko mbali mbali in their favour.
Huyu babu hajui kuwa huu ni sawa na upotoshaji
Ila kwa kuwa hao watu wanamuweka mjini wacha awarambe nyayo.

- hahahahahah DAvis ni tajiri wewe ni maskini unafikiri haya maneno yako yanaweza kubadili ukweli huo? hahahahaha le mburulazzzz utakufa na kihoro tu kama wewe huna wenzako wanazo, na mimi sio tatizo lako ukitaka kujua tatizo lako angalia kwenye kioo utaona ni wewe mwenyewe

Le Mutuz
 
- hahahahahah DAvis ni tajiri wewe ni maskini unafikiri haya maneno yako yanaweza kubadili ukweli huo? hahahahaha le mburulazzzz utakufa na kihoro tu kama wewe huna wenzako wanazo, na mimi sio tatizo lako ukitaka kujua tatizo lako angalia kwenye kioo utaona ni wewe mwenyewe

Le Mutuz

Nyo.ko wewe,utakufa utaniacha!
Umenikera sana wewe batamzinga!
Utakufa unaharisha wewe kuwasifia wanaume wenzio.
Maskini wa akili wewe.
 
Nyo.ko wewe,utakufa utaniacha!
Umenikera sana wewe batamzinga!
Utakufa unaharisha wewe kuwasifia wanaume wenzio.
Maskini wa akili wewe.

Hahaha hahahaha binamu.. Pole sana, usikereke bhana
 
Aiseee
Sasa kama yake kwanini jina si lake au la kampuni yake?
 
Hahaha hahahaha binamu.. Pole sana, usikereke bhana

Eti ntakufa na kihoro!
Amekua iziraili mtoa roho za watu au amekua Mungu??
Hili boflo bwana, kazi kusifia wanaume wenzio itakuwa washakuonjesha utamu wao sio bure!
 
Nyo.ko wewe,utakufa utaniacha!
Umenikera sana wewe batamzinga!
Utakufa unaharisha wewe kuwasifia wanaume wenzio.
Maskini wa akili wewe.

- Sasa mbona mnawajadili Wanaume hapa JF kama ni makosa? I mean mnaandika ujinga ujinga tu wewe utakufa siku sio zako na roho yako ya kimasikini, aliyekuzidi kaukuzidi wewe na wenzako wote hamna uwezo wa Davis Mosha nyamazeni, ndio kwanza kanunua Ghorofa Mbili Jubilee Towers nyie mtakalia kelele huku

Le Mutuz
 
Eti ntakufa na kihoro!
Amekua iziraili mtoa roho za watu au amekua Mungu??
Hili boflo bwana, kazi kusifia wanaume wenzio itakuwa washakuonjesha utamu wao sio bure!

- Ina maana moja tu kwamba Wanaume wote unaowajadili humu wamewahi kukuonjesha utamu wao right? hahahahahaha unajivua nguo mwenyewe

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom