Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
- What is that wewe hujaona Rais wa USA anafanyiwa hivi it is just fun google Meya wa New York kila mwaka mara moja anafanya Comedy ya kuvaa hivi na kupiga picha kwani cha ajabu na hizo picha ni nini? hahahahaha wewe for sure ni mjinga wa akili hahahahahaha

Le Mutuz

Mkuu huyo alokuvisha wig c ndo huyo dougiemaster ulosema amekupandsha kutoka 5000 followers to 60000 au????
 
Mkuu huyo alokuvisha wig c ndo huyo dougiemaster ulosema amekupandsha kutoka 5000 followers to 60000 au????

- Yaap ni yeye anadai anampenda sana Wema so mtu yoyote anayemsifia Zari kwake ni adui Zari ni rafiki yangu wa karibu sana na kwa muda mrefu sana hata kabla hajakutana na Diamond so ninapomsifia na kumuweka kwenye Instagram yangu huyu mtu na kundi lake hawapendi so wana njia yao ya kukutukana na kukuzushia uongo wakiamini kwamba ni FEAR TACTIC ya kukufanya usirudie tena kumsifia Zari,

- To me I love them kwa sababu biashara ya Social Media which I am in is made by numbers, sasa hawa wahuni wakikutukana followers wao ambao ni wengi sana huwa wanaaanza kukufuata and that is what they have done to me na kuniongezea sana umaarufu wa kupiga pesa! I love them anytime nikitaka kuongeza followers huwa ninawachokoza tu kidogo hahahahahaha wakikasirika utaona followers wanamiminika kama maji I love it!1

Le Mutuz
 
Huyu mbona ni Chaggababie

- Ni Irene Uwoya ndiye mwenye tatooo yenye maandishi ya kichina mkononi na akama una kumbukumbu utakumbuka kwamba nilishirkiana naye sana kwenye zile series za video za kubomoa na kujengea nyumba watu aliyokuwa akiifanya zamani hahahahah

Le Mutuz
 
Le mutuz ni kuwadi anawakuwadia wanaume wenye hela hili apate mkate wa kila siku.

Wake zao wanamsaka wamsute, lazima pachimbike.kudaadadadeki
 
I thought ni family yako hiyo what happened babu?
 
Le mutuz ni kuwadi anawakuwadia wanaume wenye hela hili apate mkate wa kila siku.

Wake zao wanamsaka wamsute, lazima pachimbike.kudaadadadeki

- Siku nikifkia huko nitakuwa nimekufa, kama mnadhani nitaacha kula batazz na washikaji wangu na haya maneno subirini muone bata kama kawaida mtalia weee hakibadiliki kitu maisha yangu naamua mimi siamuliwi na mtu leo naenda kwenye Semina ya Super stars wote hapa mjini pale Obey so subiri uone hahahahahahaha mtaisoma tu hapa hapa!!

Le Mutuz
 
- hahahahahahahahahahaha ningekuwa nampenda alipokuja ningemuomba radhi anirudie lakini alipokuja ndio kwanza nikaenda Mbeya kumtibu mama yangu, Seky na marafiki zangu wengi waliamua kunisaidia kumtibu mama yangu kama ni dhambi sawa naibeba, siwezi kuwa ofisi yangu Posta mpya na nyumba posta mpya nikawa sina nguo hahahahahahahah labda sivai kama unavyotaka wewe lakini sijawahi kutembea uchi, mama yangu anaishi kwenye nyumba ambayo my ex na watoto walienda wakaishi ndani yake kwa wiki mbili so relax huna FACTS TAFUTA facts kwanza ndio uje ucheze na mimi AKILI KUBWAZZZ hahahahahahahha

Le Mutuz

Le milionaire anayesaidiwa kifedha kumtibu mama mzazi (MAJANGA)
 
wakuu huyu taahira tunampandisha chachi ataenda mtaani akijisifia kua ana uzi jf sasa mwacheni tujae kimya tuone najua watu wake watazidi kuandika ila wenye akili tukae kimya nimegundua jamaa anapata mkate wake wa kila siku kupitia uzi kama hizi ndio maana anazo nyingi sana humu jamani mwacheni........!kwanza hata kiumri sio sawa na sisi huyu sasahivi anarudi utotoni ndio afe inamaana amezeeka vya kutosha tusibishane na mtoto.......!
Asanteni.
au mkitaka tuchangie mada kizungu hapa mtaona anaishia kuandika u know.....!
 
- hahahahahahahahahaha umenivunja mbavu maana hujui unachotaka halafu unafikiri Degree 3 nilisomea kwa kiswahili au what? hahahahahahah

Le Mutuz
 
Le mutuz nakushauri ukae kimya ili umaintain heshima yako..munawapa watu faida kwa maswala yenu ya ndoani bwana..kaa kimya uonekane mwerevu wataoendelea kusema wataonekana le mburulaaaaaz

Hata akikaa kimya heshima kashapoteza umewai kuona hao so called friends wake wanadhalilishwa mitandaoni, it's always lemutuz sasa we acha atuburudishe tuangalie Le Movie, eeeh Endelea Baba kubwa
 
Huyu jamaa lemutuz yeye ndio anatapatapa hajui for sure mimi ni nani ninaandika ndio maana anamsingizia huyo mama watoyo wakr na yote inatokana na yeye kukosa busara na kutoamini kama kuna watu zaidu ya mkewe familia yake watajua mambo yake ya ndani, kama hii issue ya watoto wake kumkataa pale ukonga na yeye kulia kwenye gari ilikuwa wazi na yeye hajapinga pote na kila mtu anajua sasa sioni sababu ya yeye kumuandama yule mzazi mwenzie kwa maneno ninaandika mimi, huyu lemutuz ninamjua siku nyingi sana na hata leo tumeonana mitaani tukasalimiana kwa furaha lakini hajanijua kama mimi ndio natuma post hizi hapa, anatakiwa a grow up na aache utoto.
Hu

Mbona hii ya kulia ukonga aujakanusha wala kujibu chochote, Haya tumwagie maubuyu ilikuwaje mwanawani hadi ukaangusha choziii ni mambo ya contact na watoto hahahahahahaha lemutuz
 
Last edited by a moderator:
wewe mdada mbona umekomaa hivi na issue za le mutuz...? do u think unamuweza kweli...??? as long as u dont have facts utaaibika.

stay away from le mutuz le big show le man of people le king of all bongo social medias hahhahhahahhahahhah atakuabisha tu. :juggle:

Team Kujipendekeza aka #assLickers
 
- hahahahahahahahahahaha ningekuwa nampenda alipokuja ningemuomba radhi anirudie lakini alipokuja ndio kwanza nikaenda Mbeya kumtibu mama yangu, Seky na marafiki zangu wengi waliamua kunisaidia kumtibu mama yangu kama ni dhambi sawa naibeba, siwezi kuwa ofisi yangu Posta mpya na nyumba posta mpya nikawa sina nguo hahahahahahahah labda sivai kama unavyotaka wewe lakini sijawahi kutembea uchi, mama yangu anaishi kwenye nyumba ambayo my ex na watoto walienda wakaishi ndani yake kwa wiki mbili so relax huna FACTS TAFUTA facts kwanza ndio uje ucheze na mimi AKILI KUBWAZZZ hahahahahahahha

Le Mutuz

Nyie mtakuwa mnapendana bado, msituzuge bana.
 
- Ni Irene Uwoya ndiye mwenye tatooo yenye maandishi ya kichina mkononi na akama una kumbukumbu utakumbuka kwamba nilishirkiana naye sana kwenye zile series za video za kubomoa na kujengea nyumba watu aliyokuwa akiifanya zamani hahahahah

Le Mutuz

Sasa mkuu mbona uliniblock insta kisa kutofautiana naww kuhusu ile issue ya wakili msomi Alberto Msando?.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom