Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
huyu baba ni kimbelembele hatareee... sioni hata ana umaarufu gani labda huo ukuhadi, sidhani kama mtu mwenye akili zake timamu honestly anaweza kuomba kupiga nae picha, zaidi ya yeye kuomba kupiga picha na watu maarufu. jitu Zima lakini lina mambo ya mtoto wa miaka 10. alitangaza kifo cha Secky utadhani yeye ndio baba yake Secky mzazi. kuna mdada kweny IG alikanusha kua muda aliosema ameongea na Secky na muda marehemu alipofariki haviendani, hivyo alikua hapati picha aliongea na Secky wakati gani, kwa sababu muda aliosema kaongea nae Secky alikua keshafariki. ndio mshangae ni mtu wa aina gani huyu. watu wote wenye vimbelembele akifa mtu maarufu lazima atasema "niliongea nae, muda si mrefu, nilikua nae jana, kanipigia simu" ili mradi aonekane nae anajulikana lakini hamna kitu. alivyo na kimbelembele kama kweli Secky alikua mtu wake wa karibu, mbona kwenye IG hakuwapi ku post hata picha moja ya Secky wakati wa uhai wake wakila bata kama anavyodai, picha yake Secky ka post baada ya kufa tena ile ile waliyo post watu wote. atuondokee hapa na uongo wake. najua atakuja hapa kupaka, lakini huu ndio ukweli. asitafute umaarufu kwenye migongo ya watu maana hana umaarufu wowote zaidi ya kununuliwa pombe kila anapotoka.
 

Acha kutoa povu! kwani kuna kifungu kwenye katiba mpya pendekezwa kinambana asifanye anayofanya?
 
Kwani wew una faida gani kwenye familia yenu? kushinda kwenye mitandao ukiandika ujinga?
Mie sawa naweza nikawa sina faida kama unavyodai lakini vile vile sina utoto na ujinga ujinga kama huyo swahiba wako le mutuz...kingine ninapoongelea hio hasara kwa mzee Malecela wala sio kwa ubaya ila ninamlinganisha Le mutuz na watoto wengine wa huyo mzee, ndio naconclude hapo mzee Malecela alikula hasara. Kumbuka kua huyu mzee alishawahi kuwa PM na pia aliwahi kuingia kwenye watu wenye akili sana barani afrika kwahio kutoa mbegu kama hio ni HASARA ...100%.. uzuri wangu simung'unyi maneno natoa makavu live!!!
 

kwani hasara ya mshkaji ipo wapi? au kuna siku alisha wahi kukugongea ugali?
 
Kumbe hili kubwa jinga ni middle men duh
 

- Marehemu Seky, Mungu amuweke pema peponi alikuwa ni rafiki yangu wa karibu sana alikuwa ananiheshimu sana akisema kwamba anaheshimu AKILI YANGU KUBWA aliniambia na kuwaambia watu wengine mara nyingi sana kwamba anahitaji kuwa karibu na mtu mwenye AKILI KUBWA kama mimi pamoja na utajiri wake wa ajabu alilisema hili neno kila wakati bila kusita, ushahidi wangu mkubwa on this ni Siku Tano kabla ya kufa kwake tulikuwa Mliman City mimi nimesimama na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Makonda tunaongea Marehemu akaja na gari lake kwa karibu sana na kumsalimia Makonda, haya ni maneno ya mwisho aliyomuambia Mh. Makonda " Mheshimiwa DC huyu Le Mutuz ni kichwa kikali sana nashangaa CCM hamumtumii inavyotakiwa, waambie wakuu wenu kuhusu hiki kichwa" Mheshimiwa Makonda alimjibu pole pole "Ndio maana nipo naye hapa kaka" Marehemu akaondoka.

- Jumamosi ya Wiki aliyofariki Mke wake aliugua ghafla, Marehemu akanipigia Simu kama Saa Moja na Nusu kwamba Mke wake anaumwa sana nipo wapi, mimi nilikuwa Escape One Mikochen, akaniambia anaenda Baraka Plazza kuna Hospitali gorofa ya pili nikamfuata tukakaa hapo mpaka baada ya masaa kama 4 Mke wake akapona. Ijumaa mimi yeye Marehemu na Mke wake na majirani zao mtu na mke wake tulikuwa tunakula bataz Tripple 7 Club, ilipofika usiku sana tukaachana.

- Jumapili Asubuhi Marehemu akanipigia simu kwamba anaelekea benki kuchukua pesa kwa ajili ya safari ya kwenda Iringa, kama ninataka kwenda naye nikamwambia hapana nina kazi sana ofisini, akaniambia nakwenda narudi kesho na kesho akanipigia akiwa anarudi. Kesho yake akanipigia Asubuhi Saa 12 na Nusu Asubuhi hakunipata nilipoona missed call nikampigia Saa Moja na Nusu, akanijibu kuwa atanirudishia ana kitu anafanya. Saa Mbili na Nusu akanipigia tukaongea kwa lisaa limoja na kukubaliana kwamba atanipigia back in One hour kuhusu wapi twende Usiku kula bataz. Masaa Matatu later Assistant wake akanipigia simu kwamba Seky amefariki, nikampigia mke wake aliyekuwa na yule jirani tuliyekuwa naye Ijumaa Trpple 7 Club wakanihakikishia kwamba ni kweli na wao wapo Hospitalini palipotokea kifo hicho.

- Tokea kumfahamu mpaka kufa kwake Marehemu Seky hakutaka picha kabisa so sikuwahi kupiga picha naye, ingawa alinitaka nipige na mkewe bila tatizo na sikuwahi kumuona akipiga picha so ndio maana hata alipofariki sikuwa na picha yake wala picha naye, but hata picha zilizotolewa hakuna hata moja ya hivi karibuni maana yake ni kwamba aliamua kutotaka picha kwa muda mrefu sana sasa ndio maana hata picha zilizojitokeza zote ni za zamani sana, sijaona picha hata moja ya hivi karibuni inayomuonyesha kama alivyokuwa siku chache kabla ya kufa kwake.

- Urafiki wa mimi na Super Star Lulu Michael unaanzia kwa Mjomba wake Super Bilionea Ben ambaye ni jirani yangu kwenye Shamba na Nyumba yangu Kinyerezi na rafiki yangu sana , Ben ndiye aliyepigana sana mpaka kumtoa Lulu jela na Ben amekuwa Mdhamini mkubwa wa Show zangu zote na hasa ninapofanya mashindano ya Miss Ilala so uhusiano wangu na Lulu na Seky haukuwa anything to do with anything na sijui kama walikuwa ni wapenzi I have absolutely no clue. Nimekuwa na Lulu sehemu nyingi sana kuna wakati tulikuwa Moshi alipokuwa anatengeneza Show yake, na tumekuwa pamoja kwenye events nyingi sana za Ma Super Star kama kwenye Party ya Birthday ya Aunt Ezekiel, kwenye mashindano ya Miss Ilala huwa ninampa Complimentary tikets anakuja.

- Ok Post yako nzima na kutaka kunichafua kunategemea neno moja nalo "Huenda" maana yake ni moja hata wewe huna uhakika na ulichokiandika, hao unaowasema wanamjua sana Marehemu wote hakuna aliyekuwa anajua Ratiba ya nzima ya Msiba ni mpaka mimi ndiye niliyekuwa nazitoa Instagram, nilipoamua kurudi bongo baada ya Miaka 30 nje kuna Waliobaki ambao hawakufurahishwa pamoja na my ex Wife ambao waliamua kuzusha maneno mengi sana ya kunichafua wakidhania kwamba sitaweza maisha ya bongo, now sio siri imeshaeleweka kwamba ninayaweza maisha ya bongo na sijamruhusu yoyote yule zaidi ya Marafiki zangu muhimu tu wa karibu kujua ninafanya biashara gani, so sasa yamekuwa haya.

- Ok lets mimi nawauza Wanawake ambao ni marafiki zangu kama unavyodai, ok kosa langu linakuwa ni nini hata kama ni kweli I mean uliyeandika hii post kama ni Mwanaume kwa kweli lazima una matatizo makubwa sana haiwezekani kuandika maneno mengi mazito uliyoyaandika kwa kutumia hoja ya "Huenda" that is sad, mimi ninaishi maisha yangu ninajilpia maisha yangu mwenyewe, ni kweli nina marafiki matajiri na nina marafiki masikini na kwenye Instagram yangu ninaweka picha na marafiki zangu sipangiwi na mtu yoyote na wala simpangii mtu yoyote maisha yake,

- Mnanichekesha sana mnapoajaribu kila siku kunitafutia matatizo wakati sina matatizo wenye matatizo ni nyinyi wenyewe sure mimi ninapenda sana topic kama hizi cause zinazidi kuniongezea umaarufu kwa sababu mnaandika uongo nikija kujibu mnachekesha sana so mnanipa ubingwa wa bure tatizo lenu ni CHUKI maana mmezaliwa Tanzania maisha yenu yote mpo hapa hamna maendeleo kama yangu ya Miaka 4 tu toka nirudi, sasa mnatafuta excuses kila siku kwamba kuendelea kwangu kwa haraka haraka ni kwa sababu ninauza Wanawake marafiki zangu ninaokula nao bataz so mkizusha majungu kama hayo ndio mtalala usingizi mzuri hahahahaha poleni sana, kama nimeweza kuishi miji mikubwa kama Hongkong na New York siwezi kushindwa kuishi Dar,

- hahahaha nina tabia moja muhimu sana huwa kama sikujui sikujui na kama nakujua nakujua na besides katika uzushi wenu mwingi mnakosea one thing mnasahau kwamba mimi ni Mtoto wa Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu na Waziri Mkuu, hawa marafiki zangu wote wanalijua hilo ndio maana hatuwezi kuwa sawa kwenye kufahamiana na watu najua linawakera sana ila ninajua kwamba Wazee wote walioenda Shule zamani wanajulikana sio kosa langu kwamba Wazazi wako hawakwenda Shule, maana huwezi kuwa na elimu kubwa kama yangu ukaja Mitandoni na kutumia majina ya bandia kutukana na kuwazushia watu wanao onekana kukuzidi kimaisha lazima utakuwa umepungukiwa akili sana kuliko unaowatukana kama mimi ninayeingia kwa jina langu na kuweka mambo yangu Instagram yangu bila kumuogopa mtu.

I HOPE NIMEKUSAIDIA SANA NA NIMEWASAIDIA WAJINGA WENGINE WENGI WALIOCHANGIA HII MADA BILA KUJUA WANACHOKISEMA HAHAHAHA

THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK!!

Le Mutuz
 

- Kama ingekuwa ni rahisi hivi watu wote wangejipendekeza tu na kupiga nao picha na kuwa marafiki wa matajiri maana all it takes ni kujipendekeza tu hahahahahaha pole sana matatizo yako ya maisha sio mimi mtafute mchawi wako hahahahahaha U know!!

Le Mutuz
 

- Kwanza mimi sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara toka nizaliwe na pili mimi toka siku nazaliwa nilizaliwa na Baba aliyekuwa maarufu cause alikuwa DC Wa Tukuyu enzi ambazo DC alikuwa ni mtu mkubwa sana na since then akawa RC Mwanza, akawa Balozi Adis, then akawa WAziri wa East Africa akawa Balozi UN, kawa Waziri wa Nje, akawa RC Iringa kawa Balozi London akawa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, akawa Makamu wa Mwenyekiti wa CCM I mean sijawahi kununua umaarufu nilizaliwa nao, pole sana maana for sure umeandika maneno mengi ya chuki bila FACTS hahahahahahaha AKILI NDOGO hahahaha

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…