Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
​Mzee Malecela alikula hasara hapa.
huyu baba ni kimbelembele hatareee... sioni hata ana umaarufu gani labda huo ukuhadi, sidhani kama mtu mwenye akili zake timamu honestly anaweza kuomba kupiga nae picha, zaidi ya yeye kuomba kupiga picha na watu maarufu. jitu Zima lakini lina mambo ya mtoto wa miaka 10. alitangaza kifo cha Secky utadhani yeye ndio baba yake Secky mzazi. kuna mdada kweny IG alikanusha kua muda aliosema ameongea na Secky na muda marehemu alipofariki haviendani, hivyo alikua hapati picha aliongea na Secky wakati gani, kwa sababu muda aliosema kaongea nae Secky alikua keshafariki. ndio mshangae ni mtu wa aina gani huyu. watu wote wenye vimbelembele akifa mtu maarufu lazima atasema "niliongea nae, muda si mrefu, nilikua nae jana, kanipigia simu" ili mradi aonekane nae anajulikana lakini hamna kitu. alivyo na kimbelembele kama kweli Secky alikua mtu wake wa karibu, mbona kwenye IG
​Mzee Malecela alikula hasara hapa.
Mie sawa naweza nikawa sina faida kama unavyodai lakini vile vile sina utoto na ujinga ujinga kama huyo swahiba wako le mutuz...kingine ninapoongelea hio hasara kwa mzee Malecela wala sio kwa ubaya ila ninamlinganisha Le mutuz na watoto wengine wa huyo mzee, ndio naconclude hapo mzee Malecela alikula hasara. Kumbuka kua huyu mzee alishawahi kuwa PM na pia aliwahi kuingia kwenye watu wenye akili sana barani afrika kwahio kutoa mbegu kama hio ni HASARA ...100%.. uzuri wangu simung'unyi maneno natoa makavu live!!!Kwani wew una faida gani kwenye familia yenu? kushinda kwenye mitandao ukiandika ujinga?
mbona kitambo tu jamaa kuwadi hilo...
Mie sawa naweza nikawa sina faida kama unavyodai lakini vile vile sina utoto na ujinga ujinga kama huyo swahiba wako le mutuz...kingine ninapoongelea hio hasara kwa mzee Malecela wala sio kwa ubaya ila ninamlinganisha Le mutuz na watoto wengine wa huyo mzee, ndio naconclude hapo mzee Malecela alikula hasara. Kumbuka kua huyu mzee alishawahi kuwa PM na pia aliwahi kuingia kwenye watu wenye akili sana barani afrika kwahio kutoa mbegu kama hio ni HASARA ...100%.. uzuri wangu simung'unyi maneno natoa makavu live!!!
Kumrekibisha mtu tabia yake mbaya sio mpaka akugongee ugali...i'm off now naona na wewe ndio wale wale watu wa hajabu..LOLkwani hasara ya mshkaji ipo wapi? au kuna siku alisha wahi kukugongea ugali?
Kumrekibisha mtu tabia yake mbaya sio mpaka akugongee ugali...i'm off now naona na wewe ndio wale wale watu wa hajabu..LOL
Nimekuwa nikimuona Le mutuz mara kwa mara akionyesha picha alizopiga na watu maarufu wa kiume na kike, na amekuwa akisema ana nyota ya kupendwa na watu maarufu na pia ni strategy ya kuinua biashara zake...anyway huenda ni kweli, lakini i am trying to connect the dots kuhusu Le mutuz alivyopost kuumizwa na kifo cha Secky( nafikiri wengi pia wameguswa kwa msiba huu nikiwemo na mimi ingawaje we never met and knew each other, nimeguswa kwa sababu ni binadamu mwenzang na pia he was at the peak of his success,as they claim he was financially stable, ........)
Miezi kadhaa ya nyuma Le mutuz alipost picha akiwa na Lulu somwhre at one of the big hotel, nafikiri ilikuwa Double tree, if you connect the dots,Le Mutus alikuwa na demu wa rafiki yake, kumbe inawezekana pamoja na biashara anazodai kufanya huyu mshikaji huenda pia nimiddle men, dalali au kuwadi wa mademu celebrity kwa big boys with cash in town.....
Tafakari.
le mutuz huwa anafatilia sana where abts za mastar,ili akaombe kupiga nao picha.hana jipya huyo anataka kuaminisha watu yupo karibu na ma star na wenyenazo,huwa anajipendekeza sana,wala hakuna bilionea ama star anaemtafuta wala kuomba apige picha na le kitambiz
huyu baba ni kimbelembele hatareee... sioni hata ana umaarufu gani labda huo ukuhadi, sidhani kama mtu mwenye akili zake timamu honestly anaweza kuomba kupiga nae picha, zaidi ya yeye kuomba kupiga picha na watu maarufu. jitu Zima lakini lina mambo ya mtoto wa miaka 10. alitangaza kifo cha Secky utadhani yeye ndio baba yake Secky mzazi. kuna mdada kweny IG alikanusha kua muda aliosema ameongea na Secky na muda marehemu alipofariki haviendani, hivyo alikua hapati picha aliongea na Secky wakati gani, kwa sababu muda aliosema kaongea nae Secky alikua keshafariki. ndio mshangae ni mtu wa aina gani huyu. watu wote wenye vimbelembele akifa mtu maarufu lazima atasema "niliongea nae, muda si mrefu, nilikua nae jana, kanipigia simu" ili mradi aonekane nae anajulikana lakini hamna kitu. alivyo na kimbelembele kama kweli Secky alikua mtu wake wa karibu, mbona kwenye IG hakuwapi ku post hata picha moja ya Secky wakati wa uhai wake wakila bata kama anavyodai, picha yake Secky ka post baada ya kufa tena ile ile waliyo post watu wote. atuondokee hapa na uongo wake. najua atakuja hapa kupaka, lakini huu ndio ukweli. asitafute umaarufu kwenye migongo ya watu maana hana umaarufu wowote zaidi ya kununuliwa pombe kila anapotoka.
Anapiga mizinga huyo hatarii zaidi y matonya pia ukuwadi inawezekana ila jb ndio kuwadi bora usione umri n tambi lake ni kuwadi balaa tena hela mbuzi tu
Mkuu umenitengua bandama hii kalii mnoooo,haha haaaa ha.
Hahaha halafu mkimzungumzia hivi anajiona super star!