Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Comments nyingi kwenye huu uzi zimenichekesha sana. Hasa pale mwenyewe alipojitokeza kusema na watu wake hahaha 😀😀😀

Binafsi sidhani kama kuna siku nitajipa nafasi ya kujadili mtu anavyoendesha maisha yake, labda nitajihusisha na maisha ya mtoto wangu ambaye bado namlea na mtu ambaye anaweza kuniambukiza ugonjwa. Mimi nakwenda sana kiwanja ila sijawai kupiga picha huko kwa vile sina pa kuzipeleka... sijawai kupost chochote facebook, intagram nina followers 110 hivi ambao sielewi wanafollow nini kwa vile sijapost chochote, naitumia kucheki vitu ninavyovitaka mwenyewe

Lakini hiyo hainipi hasira ya kushambulia watu ambao wana vitu vya kupost
 


- hahahahahaha batazzz batannnn U know LE AKILI KUBWAZZZ hawa wabebezzz wote ni akili kubwazzz UDSM U know hahahaahahahha and I love it U know

le Mutuz
Hahaha, thread imenichekesha sana hii.
Hey mzee retard ya supa mutindizz next time ukipiga picha na hao wajukuu zako tafadhali usifanye mazingaombwe u knoww,, maana hapo it seems your legs are missing missing you know!! Kwa tumbo lako hiyo miguu ni unfair you knoww,, muzee ya mutiindiizzyy na wabebe wakali!!
U know, u know, u know le supa mutindizz wabebe wakali anha anha anha.. Ok if you know what I mean.... Ila mkuu, nilitaka tu kukuuliza, hivi si hao watoto huwa wanakutoboa sana kila unapolazimisha kupiga picha nao!??

"maturity is knowing when to act immature "... Digest hyo wewe akili kubwa
 


- Hizi ni batazzz za Jumapili juzi na Wabebezzz Wakareezzz U know at downtown hahahahahaha ama nene? hahahahahaha kijana mdogo hebu safisha macho hapo kidogo halafu piga kazi ule batazzz na hawa wabebezzz wa ukweli U know uwachane na kulia lia huku JF hahahahahahaa KURA MAISHA U KNOW

le Mutuz Nation

56 Yrs? how can u act like a teenager? Shame..... shame.... shame!!!
 
Honestly, am very much inspired by the spirit this man shows.
Regardless how bad people talk about him, he keeps on doing his things, he keeps on moving, he keeps on getting busy with his business...
 
Life style hii huwa naiona kwa kina Platinumz/Kiba &likes ' nafikiri kwa age zao wapo sahihi , sina uhakika kwa huyu bro pichani...

Inawezekana mimi ndio mshamba........
 
Le Mtindizzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz wa mbebezzzzzzzzzzzzzzzz mkarezzzzzzzzzzzzzzz
You Know, le mashatizzzzzzzzzzzzzzzz makubwazzzzzzzzzzzz ka shukazzzzzzzzzzzzzzzzzzz you know
 
Sred ya kutafutia usingizi after a long busy day in dar....dah nimecheka sana aisee.***** walai.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom