Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
hahahaha saa hizi huko kwenye page yake wote waliomwambia huyo sio TOTI kawa block na ku edit kimya kimya! mtu mzima kuadhirika aibu sana ...
 
- hahahahahaha le mburulazzzz eti umesema nini hapa hahahahahahahahah

le Mutuz
Okay tumeelewa kwamba huwezi ku grow up, atleast acha kutumia "hahahahha" kila mahali [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Alsf mpaka leo sielewi kwanini umeniblock Ig.. fanya kuni unblock basi
 
Nia yake,ni kwamba jina lake liwe household name Tanzania,ili awe kama brand Fulani hivi-akiingia kwenye business venture iwe inaji market yenyewe-tatizo ana overstep the mark,ameshaona amefika,kiasi kwamba kwa kutumia jina lake anaweza msafisha mtu yoyote-anasahau katika background kuna watu wanamjua inside out na wanaweza kumshusha any moment- yaliyomkuta kwa Mange yatakuwa yamempa fundisho kwamba in future he should thread carefully-lets hope magazeti ya udaku ya kesho yatam ignore
 
ni mbaya sana mtu akishafikisha umri sawa na nusu karne kuwa na tabia ya uongo uongo.
 
Leo nimecheka sana huko ista miaka yote lemutuz alikuwa akitulisha matango pori ati degree 3
 
Ha h ha! le mutuz .... umri umeshaenda brother hebu sikiliza basi ht unavyoshauriwa na uliowazidi umri!!!

Kuna mtu huko anajiita mangekimambi_ aliyoyaandika juu yako ni aibu tupu!!!!!
 
- hahahahahaha batazzz batannnn U know LE AKILI KUBWAZZZ hawa wabebezzz wote ni akili kubwazzz UDSM U know hahahaahahahha and I love it U know

le Mutuz
Afu unatuharibia mboga aisee .. hao wanatakiwa wawe wanatumika na sio kurembua rembua kwenye camera, delegate power bna t seems wazidiwa.
 
Ha h ha! le mutuz .... umri umeshaenda brother hebu sikiliza basi ht unavyoshauriwa na uliowazidi umri!!!

Kuna mtu huko anajiita mangekimambi_ aliyoyaandika juu yako ni aibu tupu!!!!!

- Leo siku nzima nilikuwa Vodacom Shop Masaki ninatengeneza Video maalum ya Promo for Vodacom 4G, ndio nimerudi ofisini, otherwise Majizo is my friend I am glad kwamba I stood Up for him na wanaotaka kumharibia kama nilivyosimama na Dr. Mwaka na wengine wengi.

- Kabla ya kuamua kumsaidia Majizo nilijua kutakuwa na matusi ila niliamua kwamba uraifiki wangu na majizo ni more important kuliko matusi so nikasimama na kumtetea my friend na siku zote ndio msimamo wangu.

- Na pia hakuna jipya huko maana mimi huwa siwasomi wajinga wajinga ila nasikia yamerudiwa yale yale ya kila siku, na by the way mkuu kwani unanilipia maisha hapa mjini? hahahahahahahhaha

le Mutuz
 
Mange kimambi sio chizi kwamba akurupuke tu kuanza kusema kwamba majizo ni muuza unga ukiona hivyo ujue amefanya utafiti na kugundua kwamba kweli huyo majizo anauza unga wewe endelea kumutetea iposiku utakuja kuumbuka kwa kutetea hao wauza unga
 
- Amesema Majizo ana jumba la ajabu Kigamboni ambalo amelijenga kwa kutumia hela za unga ukweli ni kwamba Majizo hana hata kiwanja Kigamboni anaishi Bahari Beach, pole sana mkuuu ila Majizo hauzi unga

le Mutuz
 
- hahahahaha so far nilitegemea ataleta ushahidi wa Majizo kuuza unga like hekalu la majizo Kigamboni so far sijaliona so na wewe unatetea Kuona kijana mwenzako amefanikiwa anasingiziwa kuuza unga? Please muwe mnafikiri kabla ya kuandika

le Mutuz Nation
 
life is not about acting... it's all about one's definition.

sio ndio hapo sasa...kuna watu akili zimefungwa ndani ya boksi...mtu anaenjoy maisha yake tena na kaincome kanaingia labda roho anaumia mwingine.
 
sio ndio hapo sasa...kuna watu akili zimefungwa ndani ya boksi...mtu anaenjoy maisha yake tena na kaincome kanaingia labda roho anaumia mwingine.
-

- Sure boss wakati wanapiga kelele mimi nilikuwa Vodacom Shop Masaki natengeneza Video ya Promo za 4G, ndio maana ya msemo wa wajinga ndio waliwao wengine wanapiga kelele sisi tunatengeneza pesa U know hahahahahah

le akili kubwaaaz u know...keep grinding
 
Mannge atakinukisha sasa hivi, ona ssasa alivyosema

We baba unajiaibishaaaaaa Sasa hii ni degree???? ...nimechekaaaaaa Huyu Kweli Le mburulaz ... Tuseme cheti ni cha Kweli sio feki hii ni degree Sasa??? Kwa Marekani hii inaitwa associate degree Tena ya community college wala sio ya chuo kikuuuuu... Kwa bongo ni Sawa na advanced diploma. Sasa Ndo hi unawaambiaga watu una degree sijui ya criminology?? Degree ya Marekani unaichezea wewe?? degree ya Marekani unayo Unadhani ungekuwa unaendesha magari ya kunyonya mavi Marekani na ulivyopandishwa daraja ukaanza kuendesha magari ya Taka? Mtu mwenye degree ya mmarekani anaendesha gari za kuzoa Taka?? Jiheshimu we mzeeeeeee. Kwendraaaaaaa.. By the way vyeti is nothing watu wana vyeti vya Harvard na hawajui hata Harvard iko state gani? . Umeombwa graduation photos, Au Utuambie ndugu na marafiki waliokujaga kwenye graduation zako... au wewe mwenzetu vyeti ulipokeaga Posta???
 
Mbona hao wabebez wenyewe wana vitambi kuliko wewe??

Hao ni wabebez au vipipaz vipenda Maji ya ilala???
 
Hao wabebez kweli wakare...@@
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…