Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.

- hahahahaha sijawahi kuficha wala kusema uongo ili kusoma Shule USA nilikuwa ninafanya kazi ya kuendesha Malori ya mizigo ndiyo iliyokuwa inalipa infact nilikuwa ninalipwa Mshahara mkubwa kuliko almost wabongo wote watafutaji New york, Mdada kwanza alisema nina Diploma tu ya Ubaharia hahahahahahaha sasa kabadilika hahahahahahah

- Nilitegemea atatoa ushahidi wa Majizo kuuza unga sijauona vipi ukimuuliza uko wapi? hahahahahahaha

le Mutuz
 
Huyu jamaa mbona kama anatumia nguvu nyingi kuaminisha watu

- sijawahi kutumia nguvu yoyote zaidi ya FACTS, Ardhi hawawezi kukupa Title bila namba na sio lazima iwe hapo juu so kwenye hili nalo amefeli hahahahahah nyumba ni yangu hahahahahahaha

le Mutuz Nation
 
Nakukubali bwasheeeee
 
mangekimambi_Mzee vipi bio yako inasema unayo degree BS Marine engineering we baba una mchezo wewe engineering unaijua wewe? Unadhani ni rahisi Kama mabebez Ziko wapi hizo degree?? na Hiyo degree ya criminology iko wapi?? Au Ndo ile diploma ya police academy sijui ushuzi gani ndo Hiyo ulimaanisha bachelor of criminology
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…