Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Hahahaa. Kama una akili utakua nayo kiduchu sana, na kama ni nyingi basi itakua imeganda kabisa. Hivi halafu hiyo miaka thelathini nje ya nchi ulikua ukiishi na watu timamu kabisa? Hahahaa.

- inasema nini kuhusu wewe na wengine kwenye this topic, mnaochangia na kusoma hahahahahaha ina maana hamna akili timamu kama mimi au what? hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
duuuh watoto wa le mutuz nao wana hasara kuwa na baba kama huyu anaejisifia kupewa ticket na kina diamond/zari.kwa umri wake that will be the last thing to go public.. kua mwana umri mkubwa huo eboo.

- hahahaha ona mwingine huyu vipi kuhusu watoto wako mkuu wenye baba mwenye akili kubwa kama yako ya kutumia majina ya bandia kutukana watu asiowajua unasema watoto wako wana baba super sana au what? hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
- inasema nini kuhusu wewe na wengine kwenye this topic, mnaochangia na kusoma hahahahahaha ina maana hamna akili timamu kama mimi au what? hahahahahahahaha

Le Mutuz

Punguza shobo le mbululazz, kwa umri na exposure uliyonayo kuna vitu unatakiwa uwe hata hauvifanyi kiivyo kwa kushupaa.
 
Aah le mutuz acha uongo mimi binafsi nimeshakuona ukinywa pombe, nimeshakununulia pombe pale East 24, tulikuwa na steve
 
- hahahahahaha nipo ofisini kwangu hapa Posta Mpya Tancot House 2nd fl ndipo ninapofanyia kazi zangu vipi na wewe una ofisi hapa Posta Mpya au maana tuwe tunabishana huku tunafanana japo kidogo au? hahahahahahahahha

- Steve yupi mkuu mbona hujitambui hahahahaha wewe uninunulie pombe mimi na mimi sijawahi kunywa hata siku moja hahahahaha kweli umeishiwa bora ungenyamaza tu hahahahahahahahahhaa

Steve Nyerere we le mutuz wewe, HUKUNIOMBA pombe nilinunua pombe na ukanywa nadhani ni ndovu kama siyo castle lite, acha uongo le mutuz
 
- hahahahahaha nipo ofisini kwangu hapa Posta Mpya Tancot House 2nd fl ndipo ninapofanyia kazi zangu vipi na wewe una ofisi hapa Posta Mpya au maana tuwe tunabishana huku tunafanana japo kidogo au? hahahahahahahahha

Le Mutuz

Hahahaaa wenye kazi za maana wala huwa hatujisemi le mbululaz. Madebe matupuz kama wewe ndio kelele mingiz. Ila isiwe case ukija Arusha nipm upaone ofisini labda utajifuza kufunga mdomo. Hahahaaa.
 
Steve Nyerere we le mutuz wewe, HUKUNIOMBA pombe nilinunua pombe na ukanywa nadhani ni ndovu kama siyo castle lite, acha uongo le mutuz

- Labda ulikutana na mzimu unaofanana na mimi sijawahi kukaaa pamoja na Steve East 24th, hapo ndipo ulipokosea na siajwahi kuomba kununuliwa kinywaji hata siku moja maana siku zote mfukoni nina pesa ya kununulia maji na soda ninazokunywa so umekosea mbali sana pole sana aibu sana kwa mtumzima kutunga uzushi kama wako wa kitoto sana maana mnashusha hadhi ya jukwaa, hahahahahaha nina rent ya kulipia ofisi Posta Mpya na ninaweza kulipia Apartment Posta Mpya, nina hela ya kuendesha gari langu mpaka Mikochen East 24th lakini sina hela ya kinywaji, hahahahahaha

Le Mutuz
 
Hahahaaa wenye kazi za maana wala huwa hatujisemi le mbululaz. Madebe matupuz kama wewe ndio kelele mingiz. Ila isiwe case ukija Arusha nipm upaone ofisini labda utajifuza kufunga mdomo. Hahahaaa.

- Ok una ofisi kubwa sana Arusha lakini una time ya kutumia majina ya bandia kutukana watu huku JF hahahahahaha hahahahaha si unajua kuwa huwa ninakuja hapo Arusha all the times na ninapokaa nikija au niseme? hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Haha ngoja siku nikikununulia tena nitaku PM

Najua utabisha tuu, we ni mlevi labda ulikuwa umelewa acha uongo
 
- Ok una ofisi kubwa sana Arusha lakini una time ya kutumia majina ya bandia kutukana watu huku JF hahahahahaha hahahahaha si unajua kuwa huwa ninakuja hapo Arusha all the times na ninapokaa nikija au niseme? hahahahahahaha

Le Mutuz

Unakipenda sana hicho kibwagizo cha jina bandia ukidhani kila mwenye jina bandia huku ni mtu wa kawaida lkn unasahau kwamba kuna watu na heshima zao wapo humu humu na majina bandia, mwenyekiti mwenyewe wa chama chetu naye huwa anapita kimya kimya pia le mbululaz..
 
- hahahahaha akitokea mtu mwenye heshima zake akapitia hapa na jina la bandia nitajie jina la bandia na jina lake halisi inaelekea hata maana ya mtu mwenye heshima huijui maana ungeijua usingesema kabisa hahahahahahaha

Hahaha. Kwa hiyo le debe tupuz unataka kutuambia wote wenye Id fake ni watu wa ajabu ajabu tuu ila wanaotumia majina yao halisi ndio 'Akili Kubwa' na wenye degree tatu kama wewe sio..
 
- hahahahahahahah yaaani unasema yote hata sihitaji kusema anything akili bwana kweli ni nywele kila mtu na zake sasa unakataa nini na unakubali nini mkuu? hahahahahaha

Ila babu let mutu unapenda sifa kaka utadedi masikini
 
- Kwa sababu hupendi sifa utadedi tajiri na ukifa tajiri utaenda moja kwa moja kwa Mungu peponi ungesema hivi ungemake sense sana kuliko ulivyoisema hahahahahaha naona sasa hata mada hamuigusi ila mengineyo vipi na mda mmeleta wenyewe? hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
- hahahahahahahah yaaani unasema yote hata sihitaji kusema anything akili bwana kweli ni nywele kila mtu na zake sasa unakataa nini na unakubali nini mkuu? hahahahahaha

Le Mutuz

Hahaha. Kwa hiyo na mimi nikianza tuu kutumia jina langu halisi ninakua 'akili kubwa' sio.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…