Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Kubwa jinga

- hahahahahahaha umekuja mbio kunichangia hahahahahaha U know naona hamna kitu hapa ok mkinihitaji tena nifahamisheni ila punguzeni umbeya watoto wa kiume nyie hapa ni mjini shauri lenu hahahahahahha

Le Mutuz
 
- Kama ingekuwa ni rahisi hivi watu wote wangejipendekeza tu na kupiga nao picha na kuwa marafiki wa matajiri maana all it takes ni kujipendekeza tu hahahahahaha pole sana matatizo yako ya maisha sio mimi mtafute mchawi wako hahahahahaha U know!!

Le Mutuz
Le mcongoz yupo wapi?,maana kipindi Kile ulizidi, wewe Secky humjui wala nini?umejipendekeza kwake juzi juzi tu hapa,yaani Mining engneer awe rafiki yako? Uongo mtupu. Acha kujipendekeza kwa wenye nazo
 
- Marehemu Seky, Mungu amuweke pema peponi alikuwa ni rafiki yangu wa karibu sana alikuwa ananiheshimu sana akisema kwamba anaheshimu AKILI YANGU KUBWA aliniambia na kuwaambia watu wengine mara nyingi sana kwamba anahitaji kuwa karibu na mtu mwenye AKILI KUBWA kama mimi pamoja na utajiri wake wa ajabu alilisema hili neno kila wakati bila kusita, ushahidi wangu mkubwa on this ni Siku Tano kabla ya kufa kwake tulikuwa Mliman City mimi nimesimama na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Makonda tunaongea Marehemu akaja na gari lake kwa karibu sana na kumsalimia Makonda, haya ni maneno ya mwisho aliyomuambia Mh. Makonda " Mheshimiwa DC huyu Le Mutuz ni kichwa kikali sana nashangaa CCM hamumtumii inavyotakiwa, waambie wakuu wenu kuhusu hiki kichwa" Mheshimiwa Makonda alimjibu pole pole "Ndio maana nipo naye hapa kaka" Marehemu akaondoka.

- Jumamosi ya Wiki aliyofariki Mke wake aliugua ghafla, Marehemu akanipigia Simu kama Saa Moja na Nusu kwamba Mke wake anaumwa sana nipo wapi, mimi nilikuwa Escape One Mikochen, akaniambia anaenda Baraka Plazza kuna Hospitali gorofa ya pili nikamfuata tukakaa hapo mpaka baada ya masaa kama 4 Mke wake akapona. Ijumaa mimi yeye Marehemu na Mke wake na majirani zao mtu na mke wake tulikuwa tunakula bataz Tripple 7 Club, ilipofika usiku sana tukaachana.

- Jumapili Asubuhi Marehemu akanipigia simu kwamba anaelekea benki kuchukua pesa kwa ajili ya safari ya kwenda Iringa, kama ninataka kwenda naye nikamwambia hapana nina kazi sana ofisini, akaniambia nakwenda narudi kesho na kesho akanipigia akiwa anarudi. Kesho yake akanipigia Asubuhi Saa 12 na Nusu Asubuhi hakunipata nilipoona missed call nikampigia Saa Moja na Nusu, akanijibu kuwa atanirudishia ana kitu anafanya. Saa Mbili na Nusu akanipigia tukaongea kwa lisaa limoja na kukubaliana kwamba atanipigia back in One hour kuhusu wapi twende Usiku kula bataz. Masaa Matatu later Assistant wake akanipigia simu kwamba Seky amefariki, nikampigia mke wake aliyekuwa na yule jirani tuliyekuwa naye Ijumaa Trpple 7 Club wakanihakikishia kwamba ni kweli na wao wapo Hospitalini palipotokea kifo hicho.

- Tokea kumfahamu mpaka kufa kwake Marehemu Seky hakutaka picha kabisa so sikuwahi kupiga picha naye, ingawa alinitaka nipige na mkewe bila tatizo na sikuwahi kumuona akipiga picha so ndio maana hata alipofariki sikuwa na picha yake wala picha naye, but hata picha zilizotolewa hakuna hata moja ya hivi karibuni maana yake ni kwamba aliamua kutotaka picha kwa muda mrefu sana sasa ndio maana hata picha zilizojitokeza zote ni za zamani sana, sijaona picha hata moja ya hivi karibuni inayomuonyesha kama alivyokuwa siku chache kabla ya kufa kwake.

- Urafiki wa mimi na Super Star Lulu Michael unaanzia kwa Mjomba wake Super Bilionea Ben ambaye ni jirani yangu kwenye Shamba na Nyumba yangu Kinyerezi na rafiki yangu sana , Ben ndiye aliyepigana sana mpaka kumtoa Lulu jela na Ben amekuwa Mdhamini mkubwa wa Show zangu zote na hasa ninapofanya mashindano ya Miss Ilala so uhusiano wangu na Lulu na Seky haukuwa anything to do with anything na sijui kama walikuwa ni wapenzi I have absolutely no clue. Nimekuwa na Lulu sehemu nyingi sana kuna wakati tulikuwa Moshi alipokuwa anatengeneza Show yake, na tumekuwa pamoja kwenye events nyingi sana za Ma Super Star kama kwenye Party ya Birthday ya Aunt Ezekiel, kwenye mashindano ya Miss Ilala huwa ninampa Complimentary tikets anakuja.

- Ok Post yako nzima na kutaka kunichafua kunategemea neno moja nalo "Huenda" maana yake ni moja hata wewe huna uhakika na ulichokiandika, hao unaowasema wanamjua sana Marehemu wote hakuna aliyekuwa anajua Ratiba ya nzima ya Msiba ni mpaka mimi ndiye niliyekuwa nazitoa Instagram, nilipoamua kurudi bongo baada ya Miaka 30 nje kuna Waliobaki ambao hawakufurahishwa pamoja na my ex Wife ambao waliamua kuzusha maneno mengi sana ya kunichafua wakidhania kwamba sitaweza maisha ya bongo, now sio siri imeshaeleweka kwamba ninayaweza maisha ya bongo na sijamruhusu yoyote yule zaidi ya Marafiki zangu muhimu tu wa karibu kujua ninafanya biashara gani, so sasa yamekuwa haya.

- Ok lets mimi nawauza Wanawake ambao ni marafiki zangu kama unavyodai, ok kosa langu linakuwa ni nini hata kama ni kweli I mean uliyeandika hii post kama ni Mwanaume kwa kweli lazima una matatizo makubwa sana haiwezekani kuandika maneno mengi mazito uliyoyaandika kwa kutumia hoja ya "Huenda" that is sad, mimi ninaishi maisha yangu ninajilpia maisha yangu mwenyewe, ni kweli nina marafiki matajiri na nina marafiki masikini na kwenye Instagram yangu ninaweka picha na marafiki zangu sipangiwi na mtu yoyote na wala simpangii mtu yoyote maisha yake,

- Mnanichekesha sana mnapoajaribu kila siku kunitafutia matatizo wakati sina matatizo wenye matatizo ni nyinyi wenyewe sure mimi ninapenda sana topic kama hizi cause zinazidi kuniongezea umaarufu kwa sababu mnaandika uongo nikija kujibu mnachekesha sana so mnanipa ubingwa wa bure tatizo lenu ni CHUKI maana mmezaliwa Tanzania maisha yenu yote mpo hapa hamna maendeleo kama yangu ya Miaka 4 tu toka nirudi, sasa mnatafuta excuses kila siku kwamba kuendelea kwangu kwa haraka haraka ni kwa sababu ninauza Wanawake marafiki zangu ninaokula nao bataz so mkizusha majungu kama hayo ndio mtalala usingizi mzuri hahahahaha poleni sana, kama nimeweza kuishi miji mikubwa kama Hongkong na New York siwezi kushindwa kuishi Dar,

- hahahaha nina tabia moja muhimu sana huwa kama sikujui sikujui na kama nakujua nakujua na besides katika uzushi wenu mwingi mnakosea one thing mnasahau kwamba mimi ni Mtoto wa Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu na Waziri Mkuu, hawa marafiki zangu wote wanalijua hilo ndio maana hatuwezi kuwa sawa kwenye kufahamiana na watu najua linawakera sana ila ninajua kwamba Wazee wote walioenda Shule zamani wanajulikana sio kosa langu kwamba Wazazi wako hawakwenda Shule, maana huwezi kuwa na elimu kubwa kama yangu ukaja Mitandoni na kutumia majina ya bandia kutukana na kuwazushia watu wanao onekana kukuzidi kimaisha lazima utakuwa umepungukiwa akili sana kuliko unaowatukana kama mimi ninayeingia kwa jina langu na kuweka mambo yangu Instagram yangu bila kumuogopa mtu.

I HOPE NIMEKUSAIDIA SANA NA NIMEWASAIDIA WAJINGA WENGINE WENGI WALIOCHANGIA HII MADA BILA KUJUA WANACHOKISEMA HAHAHAHA

THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK!!

Le Mutuz

Babuuuuuz wewe mwongo ratiba ilikuepo unatumia nguvu nyingi sana kuongea kuhusu seki kua unamjua sana piga kimya utaharibu cz umemjua mda mfupi kwa ..................humjui kiundani tulia
 

Attachments

  • 1429720696063.jpg
    1429720696063.jpg
    29.9 KB · Views: 405
Babuuuuuz wewe mwongo ratiba ilikuepo unatumia nguvu nyingi sana kuongea kuhusu seki kua unamjua sana piga kimya utaharibu cz umemjua mda mfupi kwa ..................humjui kiundani tulia

- Hiyo ni ratiba iliyotolewa pale pale msibani wakati wa kuaga nyumbani kwake, hahahahahaha poleni sana sina muda wa kugombea kumjua my friend hahahahaha

- Wewe for sure ulikuwepo kama unakumbuka nilipofika tu niliingia kumuona mkewe siku ya Jumapili, nikamwambia awafukuze wajinga wote waliokuwa wamejazana pale karibu yake nikamwambia ni wanafiki watupu au umesahau hukuona sister mwenye miwani anakuja kuwafukuza hahahahaha U know

Le Mutuz
 
Le mcongoz yupo wapi?,maana kipindi Kile ulizidi, wewe Secky humjui wala nini?umejipendekeza kwake juzi juzi tu hapa,yaani Mining engneer awe rafiki yako? Uongo mtupu. Acha kujipendekeza kwa wenye nazo

- Le Mucongoz amerudi kwao last week alikuwa Kampala now amerudi kwao sikuzidi ni rafiki yangu wa karibu sana ndio maana hata sasa yupo kwao tunawasiliana na Mama yangu alipokuwa mgonjwa alinitumia msaada mzito sana kama wengine hapa, kuhusu Seky nenda kwenye instagram yangu tafuta spost niliyoitolea shukrani ya walionisaidia kumuuguza mama yangu nani nilimtaja wa kwanza kama sio Seki, pole sana maisha yamekushinda hapa mjini rudi kwenu mtazusha zusha maneno hapa sisi tunaendelea na maisha, hahahahahahaha U know pole sana mtuwanguzzz

Le Mutuz
 
- Mamen wasap maana U know I always have to straighten up this nigaz, that talk shit all the times U know but I gat them mazafantazz hahahaha wasap maan?

Le Mutuz

I'm cold chillin' ma nigga.

I like how you cut these mofos down to size.

That's what's up.
 
le mutuz huwa anafatilia sana where abts za mastar,ili akaombe kupiga nao picha.hana jipya huyo anataka kuaminisha watu yupo karibu na ma star na wenyenazo,huwa anajipendekeza sana,wala hakuna bilionea ama star anaemtafuta wala kuomba apige picha na le kitambiz

Bilionea anaweza kumtafuta kapuku ili apige nae picha...?
 
- Le Mucongoz amerudi kwao last week alikuwa Kampala now amerudi kwao sikuzidi ni rafiki yangu wa karibu sana ndio maana hata sasa yupo kwao tunawasiliana na Mama yangu alipokuwa mgonjwa alinitumia msaada mzito sana kama wengine hapa, kuhusu Seky nenda kwenye instagram yangu tafuta spost niliyoitolea shukrani ya walionisaidia kumuuguza mama yangu nani nilimtaja wa kwanza kama sio Seki, pole sana maisha yamekushinda hapa mjini rudi kwenu mtazusha zusha maneno hapa sisi tunaendelea na maisha, hahahahahahaha U know pole sana mtuwanguzzz

Le Mutuz

Hahahaha! we ni gunius man! majibu yako yanawakimbiza hawana cha kuliza tena!
 
bila kumuongelea willy malecela big boss AKILI KUBWA hamuoni raha You know
 
Nimekuwa nikimuona Le mutuz mara kwa mara akionyesha picha alizopiga na watu maarufu wa kiume na kike, na amekuwa akisema ana nyota ya kupendwa na watu maarufu na pia ni strategy ya kuinua biashara zake...anyway huenda ni kweli, lakini i am trying to connect the dots kuhusu Le mutuz alivyopost kuumizwa na kifo cha Secky( nafikiri wengi pia wameguswa kwa msiba huu nikiwemo na mimi ingawaje we never met and knew each other, nimeguswa kwa sababu ni binadamu mwenzangu na pia he was at the peak of his success,as they claim he was financially stable)

Miezi kadhaa ya nyuma Le mutuz alipost picha akiwa na Lulu somewhere at one of the big hotel, nafikiri ilikuwa Double tree, if you connect the dots,Le Mutus alikuwa na demu wa rafiki yake, kumbe inawezekana pamoja na biashara anazodai kufanya huyu mshikaji huenda pia nimiddle men, dalali au kuwadi wa mademu celebrity kwa big boys with cash in town.

Tafakari.


Kama kuwadi au dalali tatizo liko wapi?

Na kwa nini mimi au yeyote ajali?

Angalia wewe usigeuke kuwadi umkuwadie bila kujijua hapa.
 
- Kwanza mimi sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara toka nizaliwe na pili mimi toka siku nazaliwa nilizaliwa na Baba aliyekuwa maarufu cause alikuwa DC Wa Tukuyu enzi ambazo DC alikuwa ni mtu mkubwa sana na since then akawa RC Mwanza, akawa Balozi Adis, then akawa WAziri wa East Africa akawa Balozi UN, kawa Waziri wa Nje, akawa RC Iringa kawa Balozi London akawa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, akawa Makamu wa Mwenyekiti wa CCM I mean sijawahi kununua umaarufu nilizaliwa nao, pole sana maana for sure umeandika maneno mengi ya chuki bila FACTS hahahahahahaha AKILI NDOGO hahahaha

Le Mutuz

Nilikua bado sijaamini kua una akili ya kitoto lakini hapa nimeamini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom