Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Hawa watoto wanaozaliwa kwenye uzinzi ni majanga sana... huwezi kushindana nao, yote hii wamekosa malezi ya wazazi wote wawili.
 
Mkuu wewe nikuwajua tu ma billionea lakini wewe mwenyewe huwi billionea, sasa sijui ukikutanao unaomba tu kupiga nao picha, sio kujifunza kutoka kwao mawazo na mikakati wanayo tumia, kuwa mabilionea, Amka brother hawo mabilionea baba zao walikuwa wa kulima tu wa kawaida wamebigana wao na kuwa mabilionea kuwa mtoto wa waziri mkuu bila akili yako mwenyewe hakukufanyi kuwa bilionea.
 
Le mutuz star ugoro anadai ana fllowers 60k lakini cha ajabu akipost huo ujinga wake hapati hata like 1000. Huruma sana.
 
Le mutuz star ugoro anadai ana fllowers 60k lakini cha ajabu akipost huo ujinga wake hapati hata like 1000. Huruma sana.

- hahahahaha sawa sawa muhimu ni likes au pesa za matangazo ambayo nina charge Tsh. 150,000 sasa kwa tangazo moja, look here Instagram yangu inatumiwa na Airtel, Vodacom, Samaki Samaki, Windhoek Beer, ASAS Dairies, PSPF, NSSF hawa ni permanent now acha matangazo ya wengine ya kila siku waulize wenye likes 1000 wana matangazo mangapi? hahahaha pole pole mtajifunza tu maana ya akili kubwa na ndogo,

- Now baada ya majibu yangu jipime mwenyewe kama akili yako ni kubwa au ndogo?

Le Mutuz
 

- Umeandika ujinga mtupu ni lini nilikuja kukuomba unilipe maisha? Wewe ndiye unahitaji kuamka I mean unaropoka ropoka tu kama umelewa wewe unanijua mimi na shughuli zangu au unasema sema tu njoo hapa ofisini nikuonyeshe faida ya kujuana na Mabilionea pole sana kaka wewe ndio kichwani hamna kitu cause unaropoka bila facts, hahahahahah jipange tena

Le Mutuz
 
Hahahahaaa!
haya babu...
you are 37 years away from me..

so naamini unachofanya kitakuwa na busara ndani yake, japo kwa haraka haraka naweza kuona, kama kijana, si sahihi.

By the way, uwe na week-end njema.

- hahahahahaha kwa sababu unaandika umenuna ina maana una akili sana na kwamba una umri mdogo sana yaani JF siku hizi imejaa mburulazzz sijawahi kuona hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Hawa watoto wanaozaliwa kwenye uzinzi ni majanga sana... huwezi kushindana nao, yote hii wamekosa malezi ya wazazi wote wawili.

- hahahahahaha ok lets say wewe hukuzliwa kwenye uzinzi why bother na waliozaliwa kwenye uzinzi au wewe ndio namba moja hahahahahahah

Le Mutuz
 
Le mutuz au baba leona na Agapeo, mzee wa misifa, mpigwa kibuti na neema ngululupi, mzee wa misifa, kuwadi na kaka mtamu uliyejificha salam kaka ama baada ya salam ile michango ya kumuuguza yule kichaa wako pale tunduma uliyopewa na mabilionea umsitiri yule kikongwe na kibaridi na atleast umnunulie nguo lakini umeshindwa badala yake umemaliza pesa zote kwenye kula tu na kale ka kibanda kako vilevile tu na yule mama lemutuz bado anashindia matambara ya deki ambako kwa kina neema hata mbwa havai, kama kweli umeitengeza ile nyumba tunaomba upige picha japo kidogo watu waone na ukishindwa mimi nitatuma watu waipige picha kile kibanda matope chenu na jinsi yule mama alivyo vaa nguo za kifukara ili watu waone masifa yako ya kijinga kumbe hauna lolote mtu mzima ovyo kuishi mjini kwa kuwasifia matajiri tu haha, na kwa taarifa yako hawa wake wa matajiri unaowakuwadia wanakufanyia mpango utafutiwe watu wakule mtungo au wakubake vizuri na mapicha juu ili iwe funzo uache kuharibu ndoa za watu dume zima ovyo, huoni aibu unamkuwadia hadi katoto kadogo kama lulu halafu bado unakwenda kula pilau kwa mke wa seki, ndio maana mke wa Davis kakupiga marufuku kwenda nyumbani kwake na pale bureau de change kwa ukuwadi wako, juzi umekwenda pale container mikocheni watoto wanakucheka hadi unataka kupiga picha na dada yake Radhia yule Rabia akakutolea nje kwa sababu kaogopa kwenda kuuzwa, umeshindwa kuka hadi umesubiri Ridhiwani aje akununulie kuku na kwa uchoyo ukaenda kula pembeni haha, mtoto Ridhiwani anaendeshwa na driver ndani ya v8 wewe babu zima na degree tatu za uongo hata english ya maana huijui unatembelea daladala le noah halafu bado unajisifu, eti una nyumba na shamba kinyerezi mshukuru mama neema kwenda kulinunua kijumba zaidi ya miaka 20 hakiishi tu na masifa yote hadi unakaa kwenye kijumba cha ndege cha msajili kodi sh elfu 50000 kwa mwezi na bado unajisifu, haki kaofisi unachojisifu nacho ni kichochoro tu ulichopewa kwa muda ujishikize na kodi hulipi na mchechu sababu ya conection ya baba yako na bado unapiga kelele haha.Kama unataka nieendelee kukuchamba baba Leona useme babu jinga.
 

- hahahahahahaha toka umeanza na uzushi wako mbona JF haijakusaidia nikurudie? hahahahaha endelea labda itakusaidia hahaha the more you do this ni the more unanihakikishia kwamba una maumivu ya kuachwa ulidhani mchezo kupata mwanaume kama mimi hahahahahahahahaha

- halafu jipime hapo kwenye picha kama unatosha hahahahahaha


Le Mutuz
 

Jana nilikuambia najua sababu ya wewe kukana kwamba sio kawadi. Kumbe wake zao wameanza kukutimua majumbani kwao, acha hiyo tabia sio nzuri le super kuwadiz.
 
Jana nilikuambia najua sababu ya wewe kukana kwamba sio kawadi. Kumbe wake zao wameanza kukutimua majumbani kwao, acha hiyo tabia sio nzuri le super kuwadiz.

- HAHAHAHAHAhahaha huyo ana maumivu ya kumuacha sasa anahangaika nilipoondoka USA kazusha sana akidhani nitashindwa kuishi bongo sasa imagine mtu yupo USA anaandika kama mtu wa uswazi mambo ya mtaani mtaani hahahahaha Davis Mosha ni my business patner tupo njiani kufungua Radio na TV Station sasa huoni kwamba huyu mama ni wa kumuonea huruma sana hahahahaa kumbe wewe na yeye mpo sawa kwa akili finyu hahahahahaha

- Hamuwezi kushindana na AKILI KUBWA si unaona mnashindwa tu hahahahahah Imagine mimi saa hizi kurudiana na kimama cha miaka 50 si itakuwa huzuni hapa mjini hahahahaha


- Mwambie huyo mama ajipime kwa Le Mbebezz kama huyu hapa majuzi nilikuwa Tripple 7 Club Mikochen nakura batazzz za bongo, yeye aendelee kuhangaika na mabarafu huko US sisi bongo tumetulia tunakula batazzz atalia mpaka atachoka simrudii never hahahahaha
Le Mutuz
 
Huyu baba Leona au lemutuz ana matatizo sana kufikiria vitu ambavyo havipo hasa vikiwa vya ukweli, unafikiri neema na u busy wote pale UN atakuwa na time na kubishana na mtu aliyempiga kibuti mwenyewe jamani, mtu ambaye miaka zaidi ya 25 ya maidha yake US alikuwa ni mfanyakazi wa gari la taka haha, mtu ambaye baada ya kuchoka kulazwa kwenye sofa sitting room ndio akaamua kukimbilia kwenye kiservant quarter cha baba yake pale seaview haha, mtu ambaye baada ya miaka 3o ya kukaa ulaya bado anakaa kwenye kijumba cha msajili cha chumba kimoja na kodi haizidi hata sh50000 haha, kwa taarifa yako lemutuz mimi naishi hapa hapa bongo na ni mtu wa karibu yako sana ila najua mambo yako mengi personal na wala sina uhusiano wa kindugu na xwife wako so acha kumpakazia uongo, kama Neema unamuita kibibi cha miaka hamsini na wrwe na yeye umempita miaka kumi inamaana kwa simple mathematics tayari umegota 60yrs haha, unakumbuka ulianza kupanda meli za sinota kuanzia 1970 na kitu ambapo ulikuwa na zaidi ya miaka 20 inaonyesha jinsi gani ulivyokuwa kikongwe haha, na kukuthibitishia nakujua vizuri unakumbuka ulivyogombana na wachina melini hadi wakataka kukushusha Singapore lakini wasingapore wakawakatalia wachina ukaenda kushushwa Thailand na ukaleta vurugu hadi wakakulipa pesa zako haha bisha kama ni uongo nilete mambo mengine.Neema anaenjoy life New york ndani ya UN na huku watoto wakimuita yeye ndio baba na mama yao kwa jinsi wanavyompenda na kuweza kumpeleka Agapeo college bila msaada wako wewe kazi kubishana tu na watoto, unakumbuka watoto walivyokukataa walivyokuja bongo hadi ujalia kwenye gari lako pale ukonga haha na bado watakuliza sana sababu wameshakutoa kwenye maisha yao, bora uoe tu machangudoa yako ya escape one wakuzalie watoto wa uzeeni kama mengi haha, siku hizi hao masuper billionaires wako hawakualiki majumbani mwao sababu washatambua kama wewe kuwadi number moja wa wanaume zao kama mke wa Davis mosha asivyokupenda na kwake kakupiga marufuku kukanyaga basi hata mke wa chicago pia hakupendi pamoja na wa marehem seki ambaye ndio anaongoza kwa kukulaumu kwa wewe kumkuwadia mune wake kwa lulu haha, kuwa makini hawa wake za watu ni watoto wa mjini na wana hela chafu so sasa wanaorganize watu wa kukupiga mtungo ili iwe fundisho kwa babu mzee kama wewe kuliwa tigo na vijana wadogo itakuwa aibu yako ya milelele haha babu pole yako utasutwa na majivu.
 
-


- Le bataz za ubatan Le Mutuz Nation with Super Star Actress Irene Uwoya at East 24th Bar & Grill, having fun U know hahahahaha me I love it!!

Le Mutuz

Mbona sura ya mtu mwingine mwili wa IRENE UWOYA au ni mabebez wakali wawili tofauti?
 

Nimekupenda Bureee....
 

1- Mwaka 1970 - Sinotaship ilikuwa haijaanzishwa hahahaha

2. Miaka 60 - hahahaha ina maana nin umri mkubwa kuliko mke wa baba yangu wa sasa hahahahah unaona unavyohangaika hahahahah

3. Singapore - Ubaharia niliachia Singapore na niliacha mwenyewe na kuamua kuhamia USA so Tiketi niliyosafiria from Singapore to Dar via Bombay na Adis ipo Instagram hahahahahahh unaona hahahaha

4. Chicago ni my business patner kwenye ICD bandarini ndio maana huwa ninaenda bandarini kila tunapopewa meli hahahaha pole sana

5. Marehemu Seky - ningekuomba umuache maana humjui na ameshapumzika wewe endelea kuhangaika na mabarafu huko USA hapa bongo sisi tunakula bataz tu

6. Davis Mosha - Sasa hivi tunahangaika pamoja kujenga Studio ya Radio Morogoro baada ya kuleta vyomb vipya toka Italy so unaona unavyohangaika hahahahahahahah na ni jana tu nilikuwa na mke wake so tuliza boli hahahahaha

7. Lulu - Mjomba wake Ben ndiye rafiki yangu wa karibu aliyenifanya nikamjua so unauna again upo mbali sana na ukweli hahahahahahah

- Well mengine ni maumivu ila utazoea pole pole mimi naendelea na maisha bongo ya kazi na bataz hahahahahaha pole sana kumbe uliumia hivi duh!! maana hayo ni mamumivu ya ajabu sana sikutegemea ila ungeachana na mimi maana maisha yangu yataendelea kukutesa hahahahahahaahahah

Le Mutuz
 
- College tulifundishwa kuwa balanced maana yake ni kwamba ukitaka kujua umri wa mtu kwanza unataja wako na sababu and then ndio unakuwa na haki ya kuuliza wengine, au?

Le Mutuz

Uh king mbona mi ndio nmekua wa kwanza kuuliza King

King unakubalikA sana na mambulula hapa mjini umewezAje? Mtundu sana King wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…