Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Wewe welfare sio pesa zako zilizokiwa invest acha uongo,welfare ni for low income people,the only ungekuwa unakatwa child support then hapo it will make sense
 
Pole babu lemutuz inaonyesha how kichaa u r, yaani unakuwa proud watoto waki wawe kwenye welfare halafu hapa unajifanya billionaire jamani no wonder mama yako anaishi kwenye kibanda cha mmbwa pale tunduma na kuvaa nguo za kutoboko bila wewe mwenyewe kujali cause u r a heartless stupid semi retarded creature, unajisikiaje wale watoto wanavyokuita wewe that stupid fat sperm doner haha, yani bado tu na kujifanya wewe una akili kubwa na una degree ya criminology and political science hujaweza kujua mimi nakupa madongo ni nani haha kweli we mburula, Neema hawezi kujishusha ba kuwa kama wewe na wala haitaji kibanda chako kile cha kuku miaka 20 hakijamalizika kwa njaa zako na wakati yeye ana nyumba zake tena sio moja na watoto wake on her side na huo ndio utajiri wake, dada wewe mwenyewe ulivyokuwa obese after few years na mtumbo huo utakuwa tayari bedridden sijui nani atakuwa karibu yako na ndio utajua thamani ya watoto wako kama yalivyomkuta ur friend Rupia, hawa mademu unapiga nao picha wanakuchora na wanakucheka wanakuona wewe ni babu jinga lakini sababu wewe lemutuz ni zero brain hujielewi kabisa haha, grow up acha kumsingizia neema ujinga wako hana time na wewe kabishane na mbuta nanga ndio ur type haha.
 
- Huwa ninajuliza sana niliwezaje kuishi na mama mwenye akili ndogo kama hii for 15 years, I mean how maana this is a very low thinking human being again ninakushuru sana kwa kuweza kuja hapa maana now wale wote uliokuwa unadanganya na uzushi wako sasa wanajionea ukweli na uongo ulipo hahahaha again ninakushuru sana kwa kuja now ukweli na uongo unaonekana ulipo huwezi kushindana na Shule mama ishi maisha yako na kama unaweza nenda Shule now hahahahahahahahah

Le Mutuz
 
Wewe babu itabidi tukununulie skirt maana upo kwa mwanamke
 
Nimekuelewa bilionea w jf ila mambo,mahusiano,maisha yenu kuweka public c sawa istoshe mnavuana nguo humu tutawaona wote hamnazo c lazma umjibu hadharani.pia watoto wko ni wakubwa inawezekana nao wanakusoma mitandaoni.busara itumike kuachana c uadui au uhasama istoshe kuna leo n kesho huwezi jua y mbeleni mwako.malizia nyumba yko mana itaanza kuanguka 20yrz unajenga mnara w babeli nini

- Hapana ninarudia tena huyu mama amenichafua sana chini kwa chini na amewatumia sana watu hapa JF siku za nyumba kunichafua nilijua kuna siku yatamshinda atajitokeza mwenyewe na unaona sasa hana hoja zaidi ya kelele za mlango hahahaha mimi naenda shule yeye analala halafu unategemea kuja kunichafua hahahaha poleni sana wote maana sio siri wote akili ni moja sana!! ila hapa hamuwezi ni AKILI KUBWA SANA!!

Le Mutuz
 
Wewe welfare sio pesa zako zilizokiwa invest acha uongo,welfare ni for low income people,the only ungekuwa unakatwa child support then hapo it will make sense

- Mbona unshindwa kusema Serikali ya USA inapata wapi hela za Welfare? hahahahahaha

Le Mutuz
 
Yani nashangaa mwanamke wa miaka hamsini kuitwa kibibi.
Bila shaka yeye alikua na umri mkubwa kuliko huyo x mama watoto wake kipindi wanaoana.
Ila ajabu yeye hataki kuitwa KIBABU!

- hahahahahahaha yaaani Imagine mimi niwe na girlfriend kimama chenye miaka 50 si watu wote hapa mjini watanicheka hahahahahahahah hichi kimama kizee kimekosea mahesabu sasa kinalia lia hapa JF hahahahahaa inanichekesha sana hahaha

Kwa hiyo le ngumbaruz umekubali kwamba umetoboa 60 na ushee. Hahahaaa.
 
- hahahahahahaha yaaani Imagine mimi niwe na girlfriend kimama chenye miaka 50 si watu wote hapa mjini watanicheka hahahahahahahah hichi kimama kizee kimekosea mahesabu sasa kinalia lia hapa JF hahahahahaa inanichekesha sana hahaha

Le Mutuz

The so called 'kimama' gave birth to your so called children.
kama mzazi mwenzio tu unamwita majina ya dhihaka kwanini hupendi dhihaka juu ya mama yako?
Huyo case mtanga anavokuvua chupi hapa jukwaani una uhakika gani kuwa ndo x wife wako?
Sasa kama ulioa kibibi je wewe hufai KUITWA kibabu? Tena chenye mambo ya kitoto kabisa?😕😕😕😱
 
Last edited by a moderator:
Ila km kweli anaeandika hapa ni ex wa le big show bas anakosea sana!wanawake hatuko hvyo at all!kumuanika aliekua mme wako hvyo!tena bila adabu eti unamuita mama ake ni kichaa anavyaa matambara!hapana kwa kwel nmekua so disappointed na huyu mwanamke mwenzangu
 
- Hapana ninarudia tena huyu mama amenichafua sana chini kwa chini na amewatumia sana watu hapa JF siku za nyumba kunichafua nilijua kuna siku yatamshinda atajitokeza mwenyewe na unaona sasa hana hoja zaidi ya kelele za mlango hahahaha mimi naenda shule yeye analala halafu unategemea kuja kunichafua hahahaha poleni sana wote maana sio siri wote akili ni moja sana!! ila hapa hamuwezi ni AKILI KUBWA SANA!!

Le Mutuz

Wa2 ambao mmeshare vikojoleo more than 15yrz heshima n kuvumiliana lazma iwepo mtakuja kutukanana hadharani n wa2 watawaona wote hamnazo narudia yena kuachana cyo uadui au uhasama.jiheshimuni n maisha yataenda tu kuliko kugo public hivi kila ki2 tujue mnakua kma vijana w 25yrz domo n wema.wewe humu n baba,kaka umeona mengi kwenye maisha so tumia busara tu kumalizana nae.

Pia cidhani huyu case y ex wako anaweza kua mtu w karibu yko sana mpka anajua wake w mabilionea hawakutaki makwao
 
The so called 'kimama' gave birth to your so called children.
kama mzazi mwenzio tu unamwita majina ya dhihaka kwanini hupendi dhihaka juu ya mama yako?
Huyo case mtanga anavokuvua chupi hapa jukwaani una uhakika gani kuwa ndo x wife wako?
Sasa kama ulioa kibibi je wewe hufai KUITWA kibabu? Tena chenye mambo ya kitoto kabisa?😕😕😕😱

- Huwezi kunivua chupi never utajivua mwenyewe kwa sababu nina AKILI KUBWA huwa ninatumia akili sana kwa kila ninalolifanya na kulisema this is my best chance ya kuweka ukweli wangu wazi baada ya kuchafuliwa sana na huyu mama ambaye sio siri kwamba hayuko sawa pole sana kama ni ndugu yako, yeye alifikiri anaweza kutumia jina la bandia ikamsaidia kumbe kajivua nguo mwenyewe najua anahangaika sana kujaribu kuonekana sio yeye ila hahahaha honestly ananischekesha sana hahaha maana this is just good for me!! and I love it!!

Le Mutuz
 
Ila km kweli anaeandika hapa ni ex wa le big show bas anakosea sana!wanawake hatuko hvyo at all!kumuanika aliekua mme wako hvyo!tena bila adabu eti unamuita mama ake ni kichaa anavyaa matambara!hapana kwa kwel nmekua so disappointed na huyu mwanamke mwenzangu

- Mama yangu is just fine na yeye mwenyewe alishakuja na watoto akaenda na kuishi naye for two weeks, lakini baada ya kuachwa sasa ndio amegeuza hadithi hahahaha wala usiwe na wasi wasi hapa ukweli utasemwa na uongo utaonekana ila mimi I will always defend myself mpaka damu yangu ya miwsho kwamba nilikuwa nimeoa mama asiye na uwezo mkubwa wa kufikiri na one big FACT is here baada ya kujaribu kila njia za kutaka nimrudie alikuja likizo hivi karibuni akagundua kwamba sina mpango kama huo ndio kwa mara ya kwanza amekubali ukweli ndio aliporudi tu akaanza huu mchezo wa kuja hapa JF na kunisaidia sana maana watu wengi nikikutana nao wananiambia kwa mara ya kwanza kwamba wanashukuru wameona ukweli maana huko nyuma walidanganywa sana na huyu mama so worry not this is good for me!!

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom