ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
pole na maumivuYanga wahuni walishawahi kudanganya morison kasaini miaka mitatu kumbe ni uongo mtupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole na maumivuYanga wahuni walishawahi kudanganya morison kasaini miaka mitatu kumbe ni uongo mtupu.
Wazee wa janja janjapole na maumivu
ila msimu ukiisha yanga bingwa japo sasa hivi kila mtu anaondoka kwa mujibu wa makoloBaada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga.
Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, Rais anaingilia mipaka mpaka majukumu yanayopaswa kufanywa na Mkurugenzi.
Mtine ni mtu aliyenyooka, hapendi mapindo pindo. Anahitaji kutimiza majukumu yake kwa uhuru na uwazi. Sasa Msomali anaingilia majukumu yote as if Yanga ni mali yake binafsi.
Ukata pia umetamalaki. Mpaka sasa Wachezaji hawajalipwa mishahara ya mwezi June. Watendaji ndiyo hawajalipwa takribani miezi miwili sasa.
Mtine kaamua kuwaachia timu yao.
ndio njia tulio chaguaWazee wa janja janja
umeona ulivyoaibika,mtine si huyo karudiBaada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga.
Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, Rais anaingilia mipaka mpaka majukumu yanayopaswa kufanywa na Mkurugenzi.
Mtine ni mtu aliyenyooka, hapendi mapindo pindo. Anahitaji kutimiza majukumu yake kwa uhuru na uwazi. Sasa Msomali anaingilia majukumu yote as if Yanga ni mali yake binafsi.
Ukata pia umetamalaki. Mpaka sasa Wachezaji hawajalipwa mishahara ya mwezi June. Watendaji ndiyo hawajalipwa takribani miezi miwili sasa.
Mtine kaamua kuwaachia timu yao.
Source ni chilly sauce!
Hivi kuna kitu huwa kinawapwita?Baada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga.
Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, Rais anaingilia mipaka mpaka majukumu yanayopaswa kufanywa na Mkurugenzi.
Mtine ni mtu aliyenyooka, hapendi mapindo pindo. Anahitaji kutimiza majukumu yake kwa uhuru na uwazi. Sasa Msomali anaingilia majukumu yote as if Yanga ni mali yake binafsi.
Ukata pia umetamalaki. Mpaka sasa Wachezaji hawajalipwa mishahara ya mwezi June. Watendaji ndiyo hawajalipwa takribani miezi miwili sasa.
Mtine kaamua kuwaachia timu yao.
Wewe ni tomato sauce.Mimi mwenyewe[emoji3578]
Hebu tuambie wewe unayejua inaendeshwaje?Tatizo hamuelewi jinsi Club inavyoebdeshwa. Mtine yupo sana tu.
Tuonyeshe card yako ya uanachama kwanzaHebu tuambie wewe unayejua inaendeshwaje?