Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
- Thread starter
-
- #201
Kabla ya 94 Rwanda genocide, congo vikundi virikuwepo ila virukuwa ni vichache sana , na havikuwa na madhara kama sasa, ila VINGI kiriibuka baada ya congo war, na ukatili ULE wa majeshi ya rwanda na Uganda na ya burundi ya kitutsi,Mkuu matatizo ya Kivu mengi yameanza kitambo mno....ila tatizo limekuwa baya zaidi baada ya mauaji ya 1994 huko Rwanda yaliyosababisha maelfu ya wakimbizi wa kihutu kutimkia huko Drc na baadae Vita vilivyoanza toka mwaka 1996....Kuna chanzo kingine zaidi ya hiki ?
JokaKuu
Ila kagame Yazidi mpaka kwa watutsi wenzie.Kagame its not evil ila vitendo vya serikali yake kwa Wahutu its evil deed!!!The same kwa Habriymana kwa Watusi those days it was evil deeds too
Unarukia mambo! Mimi hoja yangu ilikuwa katika kujibu wapuuzi ambao walisema kinyambo kinashabihiana na kinyarwanda. Wewe ukaingiza hoja ya kipumbavu kuwa nasema hivyo kwa kuwa nina chuki na Kagame. Nikakueleza ukweli wangu kuwa Rais wa nchi anawajibika katika nchi husika. Kama anailetea tangible infrastructure development, kwangu mengine ni minor. Hivyo nampenda Kagame maana ameitoa from Zero mpaka hapo juu Rwanda. Mengine ni ya kwenu na sitaki kuyaingiliaHebu jadili hoja
Kiri kuwa hujanielewa ili tumalize mjadala kiungwanaWewe ukaingiza hoja ya kipumbavu kuwa nasema hivyo kwa kuwa nina chuki na Kagame
Acha kuandika kwa herufi kubwa maana tunaita ni kupiga kelele.Unaelewa maana ya superpower mkuu.
KENYA NDIO SUPERPOWER WA EAST AFRICA KAKA .
KENYA IMEIZIDI RWANDA ZAIDI YA MARA KUMI.
KENYA NDIO SUPER POWER MKUU USICHANGANYE..
KIGALI UWEZI FANANISHA NA JIJI LA KINSHASA AU NAIROBI.
TOFAUTI YA KIGALI NA MIJI MINGINE KAMA DAR ES SALAAM NI USAFI TUU.
MIJI MINGINE NI UCHAFU KWENDA MBELE.
ILA KIGALI SEHEMU KUBWA NI KUSAFI THAT IS TRUE.
HUWEZI FANANISHA NA KINSHASA JIJI LENYE WATU MILLION 15. NA KIGALI JIJI LENYE WATU 1.3MILLION.
NAIROBI KUNA WATU ZAIDI YA 5 MILLION.
MK254
MSAIDIE KUHUSU RWANDA KUJA KUIKUTA KENYA ITAKUWA LINI.
MAANA KENYA GDP NI ZAIDI YA $ BILLION 111 NA RWANDA NI 11 BILLION $.
- KENYA IPO JUU EAST AFRICA KAKA.
Acha upumbavu na acha kujadili kitu hujui.Kiri kuwa hujanielewa ili tumalize mjadala kiungwana
Chanzo cha HIZO chuki ni ideology ya watutsi baada ya wabeligiji kuwabandikiza kuwa wao ni special WANATAKiwa wale ni viongozi KULIKO wengine.Swali ni nani chanzo cha hizi chuki?
Ukiuliza utaambiwa na hao watutsi eti ni wakoloni.
And then tuulize nani chanzo cha kuendeleza chuki?...tuanzie hapo ili tuweze kupata amani ya kudumu.
Kule kwetu kaka mababu wa mababu zangu walitokea kule na hata tamaduni zao ni sawa na kule japo ni koo za kinyambo walipofika karagwe wakaanzisha himaya za kinyambo kabla hata ya ukoloni!!!!Siwezi kukataa asili yangu MkuuAAA KUMBE WE NI KWENU KULE , SASA UNACHOJIFANYA UMEKUJA BONGO MIAKA YA NYUMA
wewe ni zaidi ya wapumbavu wote, endelea tu na upumbavu wakoAcha upumbavu na acha kujadili kitu hujui.
Upo sahii kakaIle HAUKUWA kulipa kisasi , RPA waliuwa wahutu na baadhi ya watutsi hasa wa bagogwe hata kabla ya 1994.
Kipindi cha siku miamoja cha genocide RPA waliuwa wahutu wengi tuu eneo la byumba stadium, kuuwa wahutu wakadumbukiza mto kagera na walikubaliana na MU7 waseme hawa ni watutsi waliouwawa na wahutu.
Na baada ya kuchukua nchi waliendelea kuuwa , wengi waliwauwa kwenye NY'ungwe forest.
Gama achana na huyo mtu kashatutukana katuita wapuuziwewe ni zaidi ya wapumbavu wote, endelea tu na upumbavu wako
Ndio hata Watusi wengine hawamkubali!!!!Kila kitu anataka sifa apewe yeye tuIla kagame Yazidi mpaka kwa watutsi wenzie.
Hata WAKE waliomsaidia kuchukua nchi anawaweka gerezani wengine anawauwa wengine wanamkimbia.
Huenda katumwa kwahiyo hatumii muda wake kusoma vizuri kinachobandikwakwa kuwa anafikiri kila mtu anagusa ujira wake. Hawa wanaotetea mateso ya wakongo kuna mtu wameamuachia ubongo waoGama achana na huyo mtu kashatutukana katuita wapuuzi
wacongo walikuwa wanawachukia watutsi ( banyamulenge ) hata kabla ya PK kuchukua nchi kule rwanda.And then tuulize nani chanzo cha kuendeleza chuki?...
Nimemwambia mimi mtusi na ninajua haya mambo kaniita mpuuzi!!!!Basi nikaachana nae kiutu uzima!!!!Mwache aamini anachoamini ndio uhuru wa fikira MkuuHuenda katumwa kwahiyo hatumii muda wake kusoma vizuri kinachobandikwakwa kuwa anafikiri kila mtu anagusa ujira wake. Hawa wanaotetea mateso ya wakongo kuna mtu wameamuachia ubongo wao
naomba urekebishe mwaka, pleaseLakini 1996 walivamia congo(zaire)
Huwa nahisi kuwa hii siyo kweli, kimsingi wanyarwanda wa asili ya ki-tutsi walianza kukimbia rwanda miaka ya 1956, 1965 et cetera. Of recent, 1965 kulitokea mzozo mkubwa baina ya utawala wa Rwanda na wanyarwanda wa jamii ya watutsi na watutsi wakakimbilia Zaire na Uganda kwa wingi. Huko Zaire wakashambuliwa na makundi ya wapiganaji wa jadi na dunia ikaingilia so, wengi wakawa re-settled to Tanzania nahapo ndipo Nyerere akawapa makazi pale Mwese_Mpanda-Katavi na baadae Nyerere akawapa mass naturalization(Uraia). Nachotaka kusema ni kuwa hawa watu si wa asili ya Kongo, ni matokeo ya ugomvi baina ya Habyarimana na Kaibanda. Kimsingi, hawa wahanga waliendelea kufanya majaribio kadhaa ya kumuondoa madarakani rais wa Rwanda mara kadhaa chini ya viongozi mbalimbali mpaka alipotokea Rwigema aliyekuwa senior officer katika jeshi la Uganda alipoanzisha RPF ambapo akamkaribisha Kagame na Kagame akamzawadia zawadi wa kifoLakini hawa watu ni wazawa wa kongo kabisa ,
We mtutsi usituletee ujinga wako humu, acha jamaa atume video tuone mnvayoangamia. Mbona ninyi mmewaua wacongo wengi tu.Mkuu usiludie kutuma video za hivi hawa ni ndugu zetu
Mjinga kabisa wewe.Ma Hutu yana roho mbaya wanaua watutsi