Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Binafsi nikionacho Rwanda ya hivi sasa na ya kesho yake akina tofauti sana na former Apatheid South Afrika, tusijidanganye na ngojera za kila siku eti "Rwanda inabadirika for the better politically almost kila siku", je, kuna ukweli gani katika hilo??

Historia inatufundisha kila siku kwamba tangu enzi za Yesu - minority hawajawahi hata siku moja kuwatawala majority indefinetly - hakuna, it may take time alright, but only as a desperate attempt to delay "the inevitable"na hicho ndicho kilitokea South Afrika licha ya Taifa hilo kumiliki thermonuclear bombs wakisaidiwa na Waisrael.

Nawashauri viongozi wa hivi sasa huko Rwanda wajaribu walao kuwaiga watawala wa hivi sasa Afrika Kusini akina Ramaphosa,kifanya hivyo Taifa lenu lenyewe kwanza litaishi kwenye amani ya kudumu, vile vile na majirani wenu nao mtaishi nao kwenye amami ya milele - maoni yangu.
 

Ok, namba kufahamu kirefu chake tafadhali ili nielimike. pia sorry kwa reply yangu maana nilidhani umechapia
Ni lugha ya kifaransa hilo neno RPA siijui vizuri ila RPF ni neno la kingereza I think its RWANDA PATRIOTIC FRONT Kama sijakosea
 
Hiyo ni dhana tu wala haina usahihi, kuna watusi maskini mpaka utashangaa na kuna vilaza vilevile, so kila kabila kuna vichwa na vilaza ndo maisha yalivyo
 
PK kwa sasa ni tatizo tena kwa watu wa asili yake.
 
We acha uzushi, wapi anadai au alidai kitu kama hiki? Can you give the quote? We endeleza chuki zako kwake kivyako lakini usichonge uongo iri mradi tu upate watu wakumchukia kwa maneno yako. Nimekuelewa we ni mtu wa aina gani.
Hawa watu sijui wanapatia wapi haya maneno. Yote kwa yote waafrika tuna shida afu shida inaanzia kwenye ubongo.
 
Mkuu, kwanini unatafuta justification ya kukubalika?, if you're Tanzanian tutsi then you're. Don't prove yourself to no one. Just don't.
Hujaelewa Mkuu hakuna tanzania tutsi nazungumzia koo za wanyambo zilizochangamana na watusi,wanyankole,wahaya, ila kila mmoja anajua asili za mababu zake japokua in general wanaitwa wanyambo!!!Ngoja nikupe mfano hai!!!Mimi mzee wangu alizaliwa karagwe na mababu wa mababu zangu wa koo za kinyambo wamekuepo karagwe kwa karne nyingi!!!!Unaponiambia mababu zangu sio watanzania nakushangaa sababu hata tanganyika 1800,s
imewakuta Wanyambo karagwe!!!Tanzania imekuja mwaka 1964 wewe unadhani mtemi Lulenze au Mwami Ntare au Tata Rumanyika alikuja karagwe baaada ya mkutano wa Berlin 1800,s????Mipaka waliweka wakoloni wakawagawa mababu zetu au hujui historia!!!Fuatilia historia za WANYAMBO,WANGONI,WAJALUO WAMASAI,WAHAYA,WAHANGAZA,WAHA,WAJITA,WAMANYEMA ndio utajua!!!Sijasema natafuta justification nikubalike ila nazungumzia ukweli wa historia za mababu zetu akina RUMANYIKA WA KWANZA na wengineo kua kuna koo nyingi za Wanyambo wa karagwe ni watusi na hatuwezi kukataa asili YETU na tupo very proud kama Wanyambo wa koo mbalimbali!!!!Au hujui historia ya makabila ya Tanganyika???
Hiyo ni dhana tu wala haina usahihi, kuna watusi maskini mpaka utashangaa na kuna vilaza vilevile, so kila kabila kuna vichwa na vilaza ndo maisha yalivyo
Wazee wa kitusi hasa Rwanda huwambii kitu!!!!Kwao jamii nyingine ni vijakazi wana ego na ubaguzi sana!!!Lakini kumbuka sio wote ila most of them
 
Mbona hawana hela? Kazi kukimbizana na ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…