Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Haina shida kaka una uhuru wa maoni ucjaliNi msaliti unajua mshahara wa msaliti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina shida kaka una uhuru wa maoni ucjaliNi msaliti unajua mshahara wa msaliti
Binafsi nikionacho Rwanda ya hivi sasa na ya kesho yake akina tofauti sana na former Apatheid South Afrika, tusijidanganye na ngojera za kila siku eti "Rwanda inabadirika for the better politically almost kila siku", je, kuna ukweli gani katika hilo??War is politics. Political nature ya DRC imebadilika sana. 1998 alikua Mabutu huyu alikua amechokwa na raia Pamoja na majirani. That's why mataifa mengi yaliweka okay. Unaona walipojaribu kwa Kabila Disere walishindwa.
Ikaja hii mitindo ya waasi nayo iko ukingoni. Kama Kagame ataendelea na huu mchezo, next stage itakua whole out war with DRC ambapo ni dhahiri Kagame atapoteza. Vita ikiwa ndefu Hutu wanaweza kumgeuka
Ok, namba kufahamu kirefu chake tafadhali ili nielimike. pia sorry kwa reply yangu maana nilidhani umechapiaHapana kabla haijawa RPF walikua wanatumia jina hilo kule uganda miaka ya themanini mwishoni
Binafsi nikionacho Rwanda ya hivi sasa na ya kesho akina tofauti na former Apatheid South Afrika, tusijidanganye na ngojera za kila siku eti Rwanda inabadirika for the better politically almost kila siku, je kuna ukweli gani katika hilo - historia inatufundisha kila siku kwamba tangu enzi za Yesu - minority hawajawahi hata siku moja kuwatawala majority indefinetly - hakuna, it may take time alright, but only as a desperate attempt to delay "the inevitable"na hicho ndicho kilitokea South Afrika licha ya Taifa hilo kumiliki thermonuclear bombs wakisaidiwa na Waisrael - waigeni watawala wa Afrika Kusini, Taifa lenu lenyewe kwanza litaishi kwenye amani ya kudumu vile vile na majirani wenu nao mtaishi nao kwenye amami ya milele - maoni yang
Ni lugha ya kifaransa hilo neno RPA siijui vizuri ila RPF ni neno la kingereza I think its RWANDA PATRIOTIC FRONT Kama sijakoseaOk, namba kufahamu kirefu chake tafadhali ili nielimike. pia sorry kwa reply yangu maana nilidhani umechapia
RPF NI CHAMA ILA JESHI LINAITWA RPA ( Rwandese patriotic army)Ni RPF -Rwandese Patriotic Front siyo RPA usiandike kwa papara.
Yani namanisha HIZO akili zao zimewasaidia nn?Wapo hapa hapa Tanzania.vyuoni mbona huwa wapo wengi Tu lakini ni Watusi watanzania.
Asante kaka kwa kutukumbushaRPF NI CHAMA ILA JESHI LINAITWA RPA ( Rwandese patriotic army)
Unajua historia za makabila yaliyokua kanda za maziwa makuu????KajifunzeUko sahihi huyo ni mhamiaji haram
Mkuu, kwanini unatafuta justification ya kukubalika?, if you're Tanzanian tutsi then you're. Don't prove yourself to no one. Just don't.Mipaka aliweka mkoloni
Hiyo ni dhana tu wala haina usahihi, kuna watusi maskini mpaka utashangaa na kuna vilaza vilevile, so kila kabila kuna vichwa na vilaza ndo maisha yalivyoKama mimi kiongozi ni mtusi ninaezungumza kinyambo na kiswahili!!!Lakini wananiita mnyarwanda sababu ya wajihii!!!Lol za mababu zangu walioleana na Wanyambo na wahaya na wanyankole pia!!!Kuhusu influence ni tabia yetu ya asili kupenda kudominate na kutawala haijalishi wapo Maeneo gani sababu hata mababu zangu walikua wanasema koo zao ni bora kuliko koo zote za Wanyambo na Wanyankore nimekuta hayo masimulizi!!!!
PK kwa sasa ni tatizo tena kwa watu wa asili yake.Mnaozungumza kuhusu makabila ya asili Tanzania unaweza usikute kabila lolote hapa labda ikawa milima tu ndo ya asili. Wote wahamiaji.
Banyamulenge nadhani siku zite hizo wameishi kwa amani huko DRC shida ni pale wananapokubali kutumika na PAKA. Alafu wanatabia ya kujiona so special kuliko wengine. Nimesoma nao mipakani huko hao watu nawafahamu sana.
Hawa watu sijui wanapatia wapi haya maneno. Yote kwa yote waafrika tuna shida afu shida inaanzia kwenye ubongo.We acha uzushi, wapi anadai au alidai kitu kama hiki? Can you give the quote? We endeleza chuki zako kwake kivyako lakini usichonge uongo iri mradi tu upate watu wakumchukia kwa maneno yako. Nimekuelewa we ni mtu wa aina gani.
Hujaelewa Mkuu hakuna tanzania tutsi nazungumzia koo za wanyambo zilizochangamana na watusi,wanyankole,wahaya, ila kila mmoja anajua asili za mababu zake japokua in general wanaitwa wanyambo!!!Ngoja nikupe mfano hai!!!Mimi mzee wangu alizaliwa karagwe na mababu wa mababu zangu wa koo za kinyambo wamekuepo karagwe kwa karne nyingi!!!!Unaponiambia mababu zangu sio watanzania nakushangaa sababu hata tanganyika 1800,sMkuu, kwanini unatafuta justification ya kukubalika?, if you're Tanzanian tutsi then you're. Don't prove yourself to no one. Just don't.
Wazee wa kitusi hasa Rwanda huwambii kitu!!!!Kwao jamii nyingine ni vijakazi wana ego na ubaguzi sana!!!Lakini kumbuka sio wote ila most of themHiyo ni dhana tu wala haina usahihi, kuna watusi maskini mpaka utashangaa na kuna vilaza vilevile, so kila kabila kuna vichwa na vilaza ndo maisha yalivyo
Dunia kijiji huwezi kuficha yanayofanyika Rwanda yapo waziHawa watu sijui wanapatia wapi haya maneno. Yote kwa yote waafrika tuna shida afu shida inaanzia kwenye ubongo.
Mbona hawana hela? Kazi kukimbizana na ng'ombeHujaelewa Mkuu hakuna tanzania tutsi nazungumzia koo za wanyambo zilizochangamana na watusi,wanyankole,wahaya, ila kila mmoja anajua asili za mababu zake japokua in general wanaitwa wanyambo!!!Ngoja nikupe mfano hai!!!Mimi mzee wangu alizaliwa karagwe na mababu wa mababu zangu wa koo za kinyambo wamekuepo karagwe kwa karne nyingi!!!!Unaponiambia mababu zangu sio watanzania nakushangaa sababu hata tanganyika 1800,s
imewakuta Wanyambo karagwe!!!Tanzania imekuja mwaka 1964 wewe unadhani mtemi Lulenze au Mwami Ntare au Tata Rumanyika alikuja karagwe baaada ya mkutano wa Berlin 1800,s????Mipaka waliweka wakoloni wakawagawa mababu zetu au hujui historia!!!Fuatilia historia za WANYAMBO,WANGONI,WAJALUO WAMASAI,WAHAYA,WAHANGAZA,WAHA,WAJITA,WAMANYEMA ndio utajua!!!Sijasema natafuta justification nikubalike ila nazungumzia ukweli wa historia za mababu zetu akina RUMANYIKA WA KWANZA na wengineo kua kuna koo nyingi za Wanyambo wa karagwe ni watusi na hatuwezi kukataa asili YETU na tupo very proud kama Wanyambo wa koo mbalimbali!!!!Au hujui historia ya makabila ya Tanganyika???
Wazee wa kitusi hasa Rwanda huwambii kitu!!!!Kwao jamii nyingine ni vijakazi wana ego na ubaguzi sana!!!Lakini kumbuka sio wote ila most of them
😂😂😂😂😂Kuna mzee mmoja kule Nkwenda Ana ngombe kama mia hivi anazipenda kuliko hata gari zake😂😂😂!!!!Ni utamaduni kufuga ngombeMbona hawana hela? Kazi kukimbizana na ng'ombe
Analala katika zizi la ng'ombe zake ndo akili hiyo? Huko ndo kuwa smart?😂😂😂😂😂Kuna mzee mmoja kule Nkwenda Ana ngombe kama mia hivi anazipenda kuliko hata gari zake😂😂😂!!!!Ni utamaduni kufuga ngombe
Umesomeka mkuu, ila unavyojieleza ndio maana wakina muhweza wana wasiwasi na wewe. Sema ni mtazamo wangu usinijengee chuki.Dunia kijiji huwezi kuficha yanayofanyika Rwanda yapo wazi
Halali anafuga kisasa tu ila ana mahaba na ngombe zake😂😂😂😂Analala katika zizi la ng'ombe zake ndo akili hiyo? Huko ndo kuwa smart?