Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Acha kutumia nguvu bana kujitetea wewe ishi. Hii mipaka waliweka wakoloni na afrika ilikuwa moja. Mbona Kama mpakani na Kenya mmasai wa Kenya na Tanzania,mmeru wa Kenya na Tanzania na Kuna wakurya wapo Kenya na tanzania. Wao waliangalia ukubwa wa eneo wakagawana ili watawale Basi. Lakini sio kuwa asili ya watu ilikuwa inaangaliwa. Kama vipi mkubalie kuwa wewe Ni mkimbizi ili aridhike. Watu wanajitoa akili. Wakati wa Germany rule Rwanda na Burundi pia na Tanganyika ilikuwa kitu kimoja sema mwingereza ndio akamuachia Napoleon Rwanda na burundi
Homie unazingua sasa jana tulikua tunajadiliana sio kubishana kila mmoja anatoa maoni yake kwa utashi wake na wasomi(Watafiti) wenzangu sasa wewe vipi mbona unazingua kama wakuja unafeli homie!!!Huu uwanja huru kama Mada hauipendi acha wengine tujadiliane!!!!
 
Mabwana zake wamshamchoka wakiona video hii wataamua. Tena video hii wangetumiwa mabwana zake waone matunda yao
 
Duh!... hii ni dharau kwa wapigania Uhuru.....umepotoka mkuu
Dharau ipo SAsa wakati ndo ukweli halisi, uoni maisha mabovu wanayoishi waafrika baada ya UHURU. Wapigania UHURU walipigania maslai yao binafsi na sio maslai ya waafrika wote. Thus wao waliishi peponi huku mamilioni ya waafrika wakiishi sawa na jehanamu.
 
Ni kweli wapigania Uhuru (viongozi) waligeuka kuwa wakoloni weusi baada ya uhuru (wasaliti wa Uhuru)..

..ila wazalendo kupigania Uhuru halikuwa jambo baya kufanya japo walisalitiwa na viongozi wapya baada ya uhuru.
 
Baada ya UHURU ni wao ndio wakaweka mifumo mibovu ya kuwalinda wao na maslai yao mfano wakaunda vikundi vya kigaidi kwa jina la kikosi cha kumlinda rais ( wasiojulikana) hivi viliteka, kutesa na kuua waafrika wengi sana Ili kulinda tumbo la mtawala SAsa ipi tofauti yao na mkoloni angalau hata mkoloni alileta maendeleo.Kamuzu banda,mugabe,mobutu,moi,nk kwa ukatili waliowatendea waafrika ni bora hata ya mkoloni.Kupigania UHURU huwa na maana kama mnaweza kuendelea zaidi baada ya UHURU na sio kurudi nyuma.
Unawaondoa wakoloni KISHA unawaita tena kwa mlango wa wawekezaji means tulikurupuka kudai UHURU,nini tofauti Kati ya mkoloni na muwekezaji,tena hawa wawekezaji ni hatari na wabaya zaidi kuliko hata mkoloni.
 
Baada ya mtoto wa mjini Tsekedi kukaa meza moja na mabeberu na kuwapa garantii ya kupata supply ya madini kwa urahisi ikiwemo kuwaruhusu kuwekeza congo, mabeberu wamembwaga middle men soon atafungashiwa virago vyake hadi kigali huo ni mwanzo tu wa operation safisha mji kuwarudisha kwao middle men atajua awapeleke wapi watu wake. Hatari yake uenda wataanza kumpiga mwenyewe ndani kwa ndani.
 
Dawa ni kuwaita tu mabeberu wawekeze congo huone kama kutakuwa na takataka yoyote inaleta vurugu kule
 
Unawaondoa wakoloni KISHA unawaita tena kwa mlango wa wawekezaji means tulikurupuka kudai UHURU,nini tofauti Kati ya mkoloni na muwekezaji,tena hawa wawekezaji ni hatari na wabaya zaidi kuliko hata mkoloni.
Kuna tofauti kubwa mno kati ya uwekezaji na ukoloni, huko China kuna uwekezaji mkubwa mno kutoka kampuni za kimagharibi sababu ya soko lake kubwa na ujuzi wa gharama nafuu. ...ina maana huo nao ni ukoloni ?

Tatizo lipo kwa watawala wetu wanaokumbatia wawekezaji uchwara, wakwepa Kodi na mengineyo mengi.
 
Back
Top Bottom