Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda wako sahihi kuwa na imani hiyo maana wanawaona wakifanya wanachokifanyaWacongo wao wanaamini hawa watu ndo chanzo cha matatizo yote huko congo
Hivi huwa mnadanganya kwa faida ya nani? Una uhakika na hicho ulichoandika hapo juu?Nakuelewa hata falme ya Rumanyika ilikuwa ni Watutsi kama ndio kundi hili hupenda kujitambulisha kuwa wao ni Wanyambo.
.:.::
“
Ila kinyambo kinashahabiana na kinyarwanda, Kinyankole ila sio kihaya.
Shukrani
Jaribu kuandika unachofahamu si kupotoshaWapo
umeitembelea Karagwe?
Umeitembelea Kyerwa?
Umeitembelea Umurushaka?
Umefika Kibingo?
Usiisahau Kaisho na vijiji vyake?
Unafahamu familia tu ya Chief Rumanyika ni watutsi?
Je nao Wakimbizi?
Waliopewa Uraia miaka ya 1960 na Nyerere nao ni Wakimbizi?
Wapo pia Tabora kule kaliua na Ng'ombe zao
Wapo pia Mpanda
Wapo Sumbawanga
Usibishe jambo usilo lijua ila wote wanajitambulisha kuwa ni Wanyambo
Kwa hiyo sura we ni li HutuSiungi mkono ila Watusi mabingwa wa kulalamika kuliko Wahutu!!!!Sio watusi pekee wanaouawa DRC hata wahutu wanauawa sana na banyamulenge (Watusi wazawa wa DRC)!!!!!Jamii zote zina makosa sio wahutu pekee au wabantu wa DRC!!!!Sema Watusi hatupendagi kuzungumza ukweli wakati mwingi
Sijakuelewa kiswahili chako mdogo wangu????Kwa hiyo sura we ni li Hutu
Nadhani ana hakika ndio maana kaandika kakaHivi huwa mnadanganya kwa faida ya nani? Una uhakika na hicho ulichoandika hapo juu?
Msoga akawa mpole bila hivyona hajawahi kuleta pua yake ndefu maana atafanywa hakuna na TZ
Ni Mpuuziiiiiii tu! Hizo ni story za kutunga. Kwa bahati nzuri kijana wangu mmoja anaoa Mnyambo. Kabla hajaoa nilifanya parental homework! Nawafahamu sana. Kinyambo hakioani na kinyarwanda ! Kinyarwanda kinashabihiana na kihangaza au Kiha. Kama ana ubavu anyoshe mkonoNadhani ana hakika ndio maana kaandika kaka
Kinyarwanda ni Kirundi na kihangaza na kiha ndo wanaelewana sio wanyambo wala wahayaNi Mpuuziiiiiii tu! Hizo ni story za kutunga. Kwa bahati nzuri kijana wangu mmoja anaoa Mnyambo. Kabla hajaoa nilifanya parental homework! Nawafahamu sana. Kinyambo hakioani na kinyarwanda ! Kinyarwanda kinashabihiana na kihangaza au Kiha. Kama ana ubavu anyoshe mkono
Mimi mababu wa mababu zangu ni koo za watusi(Wafugaji) waliotokea tawala za Kikoo za kinyarwanda(Lushana,Ntare and ect..) ila walipofika karagwe kulikua na imaya za kichifu na kifalme za Wanyambo koo tofauti tofauti na koo nyingine sina asili ya kinyarwanda,zingine zina asili ya kinyankole na zingine asili ya kihaya!!!Wakachangamana nao kwa kuoleana zama hizo na hasa hasa zile koo za machifu wa kinyambo wenye asili ya kinyarwanda na wote walikua wafugaji wa ngombe zile zenye pembe ndefu!!!Miaka zaidi ya 400 kabla hajaja mkoloniNi Mpuuziiiiiii tu! Hizo ni story za kutunga. Kwa bahati nzuri kijana wangu mmoja anaoa Mnyambo. Kabla hajaoa nilifanya parental homework! Nawafahamu sana. Kinyambo hakioani na kinyarwanda ! Kinyarwanda kinashabihiana na kihangaza au Kiha. Kama ana ubavu anyoshe mkono
Okay, tufanye wakimbizi waliopewa uraia.Wapo
umeitembelea Karagwe?
Umeitembelea Kyerwa?
Umeitembelea Umurushaka?
Umefika Kibingo?
Usiisahau Kaisho na vijiji vyake?
Unafahamu familia tu ya Chief Rumanyika ni watutsi?
Je nao Wakimbizi?
Waliopewa Uraia miaka ya 1960 na Nyerere nao ni Wakimbizi?
Wapo pia Tabora kule kaliua na Ng'ombe zao
Wapo pia Mpanda
Wapo Sumbawanga
Usibishe jambo usilo lijua ila wote wanajitambulisha kuwa ni Wanyambo
Mipaka aliweka mkoloniOkay tufanye wakimbizi waliopewa uraia.
Achana na hizo stories tueleze Kinyambo na Kinyarwanda vinashabihiana?Mimi mababu wa mababu zangu ni koo za watusi(Wafugaji) waliotokea tawala za Kikoo za kinyarwanda(Lushana,Ntare and ect..) ila walipofika karagwe kulikua na imaya za kichifu na kifalme za Wanyambo koo tofauti tofauti na koo nyingine sina asili ya kinyarwanda,zingine zina asili ya kinyankole na zingine asili ya kihaya!!!Wakachangamana nao kwa kuoleana zama hizo na hasa hasa zile koo za machifu wa kinyambo wenye asili ya kinyarwanda na wote walikua wafugaji wa ngombe zile zenye pembe ndefu!!!Miaka zaidi ya 400 kabla hajaja mkoloni
Muulize aliesema I mean mleta Uzi hapa jukwaani mimi binafsi nimesema ni mnyambo wa karagwe ila mtu akiongea lugha hizo tano kwa kiasi namuelewa na mnyambo!!!Kuna maneno yanaingiliana kwenye lugha hizi za kibantu!!!Afu tupo humu kuelimishana kupeana historia na hata kukosoana kwa hoja zenye mlengo wa kujifunza na sio mashindano nani anajua na nani hajui kaka!!!Achana na hizo stories tueleze Kinyambo na Kinyarwanda vinashabihiana?
Ni kweli Watusi tuna tabia ya kujikweza sana na kudharau Jami I nyingine kama za wahaya,Wanyambo,wanyankole,waangaza,warundi,na wabangubangu and ect.......!!!Hiyo ni tokea zamani enzi za mababu na mababu na hayo ndio madhaifu yanayoleta ugomviMnaozungumza kuhusu makabila ya asili Tanzania unaweza usikute kabila lolote hapa labda ikawa milima tu ndo ya asili. Wote wahamiaji.
Banyamulenge nadhani siku zite hizo wameishi kwa amani huko DRC shida ni pale wananapokubali kutumika na PAKA. Alafu wanatabia ya kujiona so special kuliko wengine. Nimesoma nao mipakani huko hao watu nawafahamu sana.