Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Hivi huwa mnadanganya kwa faida ya nani? Una uhakika na hicho ulichoandika hapo juu?
Huenda yuyko sahihi: Kipare kinashabihiana na ki-kisii, kikurya-ruhya; kiha-kirundi----- siyo dhambi kukubali ukweli huu
 
Awo wakongo kama wanataka vita wakapigane na m23 sio kuuwa watu waliokuwa hawana hatia mitaani.
Unajuaje kuwa hao waliouliwa hawana affiliation na M23; infact watu wanaofananana banyamulenge wanachukiwa sana kwasababu kwa east congo wam,ekuwa wakiwatesa wasio wa kabila lao, kwahiyo, kwasasa ni vigumu kuwatetea. wanatakiwa kujitakasa ili watu wawaelewe
 
Huenda yuyko sahihi: Kipare kinashabihiana na ki-kisii, kikurya-ruhya; kiha-kirundi----- siyo dhambi kukubali ukweli huu
Kinyambo kinashabihiana na kinyankole, kichiga (upande wa Uganda) hata museveni akiongea ni Mnyambo wanaelewana! Kihaya kinalandana na wala si kushabihiana tu na Kinyambo ila kinyarwanda ni tofauti na Kinyambo. Kagame akiongea Mnyambo haambulii hata neno moja. Achani kudanganya hapo maana hao wapuuzi wawili wazazi wao ni wanyarwanda waliohamia karagwe. Kwa vile mnyarwanda haachi asili, huwa wanafundisha watoto wao kinyarwanda. Hivyo hawa wapuuzi kutokana na kuzaliwa karagwe wanafahamu pia Kinyambo wanadhani kila Mnyambo anajua kinyarwanda.

Kinyarwanda kinashabihiana na kiha, kihangaza, kirundi.
 
ila kinyarwanda ni tofauti na Kinyambo. Kagame akiongea Mnyambo haambulii hata neno moja.
Mi sina hoja, ila lugha kushabihiana siyo dhambi: naanza kuona shida kuwa kuna mtu hataki kushabihishwa na Kagame kwakuwa kagame is evil
 
Mi sina hoja, ila lugha kushabihiana siyo dhambi: naanza kuona shida kuwa kuna mtu hataki kushabihishwa na Kagame kwakuwa kagame is evil
Mimi nachukia uongo! For your information Kagame ameinyanyua Rwanda na Karibuni itakuwa superpower ya EA. Sasa hivi Rwanda imeendelea kuzidi Tanzania. Huwezi kulinganisha Kigali na Kampala ujue. Ila Ukweli ni lazima usemwe.

To me PK au JPM ndiyo marais bora maana kama JPM alitaka kuifanya Tanzania iwe superpower ya EA ujue kwa kuendeleza miundombinu. PK is the best na hivyo kwa kueleza kuwa Kinyambo na kinyarwanda havishabihiani naeleza ukweli, siyo kuwa namchukia Kagame. Na msimamo wangu hapa JF unajulikana kuhusu JPM
 
Mimi nachukia uongo! For your information Kagame ameinyanyua Rwanda na Karibuni itakuwa superpower ya EA. Sasa hivi Rwanda imeendelea kuzidi Tanzania. Huwezi kulinganisha Kigali na Kampala ujue. Ila Ukweli ni lazima usemwe
Tunazungumzia evil deeds za kagame unaleta story za Kagame kujenga miji?get serious. Leta indices nyingine; mfano: hapness index kwa wanyarwanda vzvz Kagame regime, tueleze economicaly Kagame anapataje resources za Kujenga Kigali vzvz Kampala. Key issue ni namna ambavyo watu wenye asili ya kitutsi wanachukiwa because of Kagame deeds, jadili hili please
 
Hayo mahangaiko yako!
 
Mimi nachukia uongo! For your information Kagame ameinyanyua Rwanda na Karibuni itakuwa superpower ya EA. Sasa hivi Rwanda imeendelea kuzidi Tanzania. Huwezi kulinganisha Kigali na Kampala ujue. Ila Ukweli ni lazima usemwe.

To me PK au JPM ndiyo marais bora maana kama JPM alitaka kuifanya Tanzania iwe superpower ya EA ujue kwa kuendeleza miundombinu. PK is the best na hivyo kwa kueleza kuwa Kinyambo na kinyarwanda havishabihiani naeleza ukweli, siyo kuwa namchukia Kagame. Na msimamo wangu hapa JF unajulikana kuhusu JPM
Ushawahi kufika na kuishi Rwanda!!!Kujenga mji mbona hata Habriymana angekua hai angejenga!!!Hapa zinazungumziwa dhaama za serikali ya Kagame kwa Wahutu wa Rwanda hata ambao hawakushiriki genocide (1993-1994) baada ya yeye kuchukua madaraka!!!
 
Back
Top Bottom