Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Madhara ya kutengeneza uadui na ukabila sasa yanawarudia
 
wacongo walikuwa wanawachukia watutsi ( banyamulenge ) hata kabla ya PK kuchukua nchi kule rwanda.
Kwa sababu ya wao waliamia miaka ya nyuma congo , wakocngo walikuwa wanawaambia warundi, kwao tangu kipindi hicho.
Ila chuki ilizidi pale baada PK na RPA kuvamia rwanda vijana wao wengi walijiunga RPA rwanda ili kumsaidia PK kuchukua nchi na walifanikiwa.
Lakini 1996 walivamia congo(zaire) kwa lengo la kumuondoa mobutu na kumuweka kabila, ila nyuma wacongo wenyewe WANASEMA watutsi walitaka kuichukua north na kivu IWE rwanda KISA wamemsaidi kabila kuchukua nchi.
Japo kabila aliwashukuru kwa kumsaidia lkn mwishowe aliwafukuza watutsi warundi rwanda.
Na hii ndo chanzo cha vita vya pili vya congo.
Maana PK hakukubali kuwa kabila amfanyie uhuni.
Walivamia congo na kufanya ukatili MKUBWA sana.
So wacongo hawawapendi kwa sababu wanaonekana wanataka kuigawa congo.
Umenena yote
 
Kinyambo kinashabihiana na kinyankole, kichiga (upande wa Uganda) hata museveni akiongea ni Mnyambo wanaelewana! Kihaya kinalandana na wala si kushabihiana tu na Kinyambo ila kinyarwanda ni tofauti na Kinyambo. Kagame akiongea Mnyambo haambulii hata neno moja. Achani kudanganya hapo maana hao wapuuzi wawili wazazi wao ni wanyarwanda waliohamia karagwe. Kwa vile mnyarwanda haachi asili, huwa wanafundisha watoto wao kinyarwanda. Hivyo hawa wapuuzi kutokana na kuzaliwa karagwe wanafahamu pia Kinyambo wanadhani kila Mnyambo anajua kinyarwanda.

Kinyarwanda kinashabihiana na kiha, kihangaza, kirundi.
Uko sahihi huyo ni mhamiaji haram
 
Tunazungumzia evil deeds za kagame unaleta story za Kagame kujenga miji?get serious. Leta indices nyingine; mfano: hapness index kwa wanyarwanda vzvz Kagame regime, tueleze economicaly Kagame anapataje resources za Kujenga Kigali vzvz Kampala. Key issue ni namna ambavyo watu wenye asili ya kitutsi wanachukiwa because of Kagame deeds, jadili hili please
Utakuwa intarahamwe sio bure
 
Ushawahi kufika na kuishi Rwanda!!!Kujenga mji mbona hata Habriymana angekua hai angejenga!!!Hapa zinazungumziwa dhaama za serikali ya Kagame kwa Wahutu wa Rwanda hata ambao hawakushiriki genocide (1993-1994) baada ya yeye kuchukua madaraka!!!
We ni intarahamwe sio mtutsi
 
Back
Top Bottom