Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hesabu ya siku ya 10k inakuja kwa vitaboss wa pikipiki unamkopesha kijana alate mtaji analip kidog kidog
Ni zaidi ya unyaniHuku kwetu boda anatozwa elfu 20 tu akiingizwa kama member
Hiyo laki ngapi sijui duh hatari sana
Noma mwananguNi zaidi ya unyani
Huku kwetu vijiwe vingi ni kuanzia laki 1 na nusuHuku kwetu boda anatozwa elfu 20 tu akiingizwa kama member
Hiyo laki ngapi sijui duh hatari sana
Kuna vijiwe mtu anatozwa Milioni 1 kama kiingilio. Mf. Mbalizi (Mbeya), Kibamba (Dsm).Huku kwetu boda anatozwa elfu 20 tu akiingizwa kama member
Hiyo laki ngapi sijui duh hatari sana
Hatari sanaKuna vijiwe mtu anatozwa Milioni 1 kama kiingilio. Mf. Mbalizi (Mbeya), Kibamba (Dsm).
Ni viingilio visivyo na uhalisia, yaani havijaangalia hali halisi za wanachama.
Aisee!Huku kwetu vijiwe vingi ni kuanzia laki 1 na nusu
Sasa kwanini wasikuelimishe kwanza au ulikua mkaidi?Jamaa wakali mno,huu utaratibu nilkuwa siujui sasa kipind nimemaliza chuo nikawa na utaratibu wa kuchukua pikpik jion naenda kupak popote ambapo kuna maboda boda pembeni yao ili niwe napata vihela hela vya matumiz,sasa siku moja nikashangaa wananivamia ghafla wakanipiga mkwala kweli kweli wakataka wanipige cheni au wanipeleke kwenye kituo cha polis bahat nzur ile pikpik ilikuwa ya serikal nilijitetea kwa kukana kuwa mimi sibebi abiria baadae wakaniacha nikasepa
Siyo kwamba watu wote wenye boda boda ambao wapo vijiweni kweli ni "boda boda halisi*, walio wengi hapo wapo kama geresha tu, wanazuga huku wakiwa na shughuli zao halisi zinazowaingizia kipato cha halali na haramu. Wezi nao wapo humohumo kwenye kazi za boda boda. Aidha, hata "mumiani" nao wapo humohumo kwenye kundi la boda boda, na ndio hao walitumika sana wakati ule wa mwendazake katika "kuchora ramani" za watu ambao kwao walikuwa ni 'target's' zao. Bodaboda wengi (surveillance agents) walitumika sana ktk kufanikisha mipango yao (mumiani) kwenye misheni za kuteka watu na hata kuwafanyia watu (walengwa wao) vitendo mbalimbali vya hujuma, na ktk wakati huo pikipiki nyingi sana mpya aina ya boxer zilinunuliwa na walipewa watu hao ili waweze kufanikisha mipango yao hiyo ya kidhalimu. Pikipiki hizo nyingi unaweza kuzitambua (endapo kama utakkuwa na macho makali sana ya mwewe ) kwani utaona zimewekwa alama fulanifulani za utambuzi za kificho ili kuwafanya baadhi ya "members" kutambulika kiurahisi na wahusika au members wenyewe kuweza kutambuana wao kwa wao wawapo kwenye missions zao huko kwenye vilinge vya bodaboda. Kwa hiyo usione ukadhani.Hili kundi la bodaboda a.k.a Maafisa usafirishaji mostly ni watu wakatili na wenye roho mbaya.
Kijana mwenzao kapata pikipiki ya mkataba akipeleka pua tu kwenye kijiwe wanamtoza laki 2, 3, 4 au aondoke haraka kabla hawajamwitishia mwizi.
Laki 3 kijana ambaye ni jobless ndo kwanza kapata pikipiki ataitoa wapi?
Bodaboda huyo anayemtaka mwenzake atoe laki 3 hajawahi kuishika hiyo pesa cash tangu azaliwe.
Hili kundi wakimshika mwizi wanamuua kama kuku, unaona kabisa hakuna utu ndani yao.
Hii hali ni magonjwa ya akili au ni msongo wa mawazo kutokana na maisha magumu?