Siyo kwamba watu wote wenye boda bida ambao wapo vijiweni kweli ni "boda boda halisi*, walio wengi hapo wapo kama geresha tu, wanazuga huku wakiwa na shughuli zao halisi zinazowaingizia kipato cha halali na haramu. Wezi nao wapo humohumo kwenye kazi za boda boda. Aidha, hata "mumiani" nao wapo humohumo kwenye kundi la boda boda, na ndio hao walitumika sana wakati ule wa mwendazake katika "kuchora ramani" za watu ambao kwao walikuwa ni 'target's' zao. Bodaboda wengi (surveillance agents) walitumika sana ktk kufanikisha mipango yao (mumiani) kwenye misheni za kuteka watu na hata kuwafanyia watu (walengwa wao) vitendo mbalimbali vya hujuma, na ktk wakati huo pikipiki nyingi sana mpya aina ya boxer zilinunuliwa na walipewa watu hao ili waweze kufanikisha mipango yao hiyo ya kidhalimu. Pikipiki hizo nyingi unaweza kuzitambua (endapo kama utakkuwa na macho makali sana ya mwewe ) kwani utaona zimewekwa alama fulanifulani za utambuzi za kificho ili kuwafanya baadhi ya "members" kutambulika kiurahisi na wahusika au members wenyewe kuweza kutambuana wao kwa wao wawapo kwenye missions zao huko kwenye vilinge vya bodaboda. Kwa hiyo usione ukadhani.