Ukatili na roho mbaya katika kundi hili la bodaboda vinasababishwa na nini?

Hii huwezi kukwepa popote na nchi yeyote, kuweka gharama kubwa ni kuwakomoa wanaoanza kazi.
 
Hii huwezi kukwepa popote na nchi yeyote, kuweka gharama kubwa ni kuwakomoa wanaoanza kazi.
Huwezi kujua, yawezekana pengine hicho kilinge cha bodabida ni Ofisi yao ya Siri ya kimkakati ya hao mumiani, kuweka gharama kubwa ya kiingilio pengine ni mbinu mojawapo ya kimkakati ya kuwazuia watu wengine/bodaboda ambao siyo members wa kundi lao, wala siyo kuwakomoa bodaboda wapya wageni au wanaoanza kazi.
 
Nimekuelewa!
 
Baadhi yao ni wema kabisa lakn sometimes wanakuaga na ka ushirikiano kasiko na akili.Kuna jamaa juzi apa wamempiga hadi kutaka kumuua kisa boda mwenzao kawaambia kuwa jamaa alitaka kumuibia pikipiki siku za nyuma.Kumbe ki uhalisia yule jamaaa walikua na ugomvi nae wa madem,saiv tunavoongea jamaa amepata ulemavu kisa ushirikiano wa kijinga.SOMETIMES WAWE MAKINI😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…