Wakati wa Magu tulikuwa tunajua ni mtu anayeamini njia yake pekee sio mtu ambaye alikuwa mrahisi kumshauri. Kwa ufupi Magufuli alikuwa mtu wa msimamo mkali. Hivyo haikushangaza sana kwa yake yaliyokuwa yanatokea. Lakini Magufuli alikasirikia kila kitu hadi rushwa na uzembe.
Raisi Samia mwanzoni hakuwa hivi alishukuru kwa bahati ya kuwa Raisi. Lakini baada ya miaka miwili tamaa za madaraka zikatawala na akaanza kwa ku punic kibaya Mama Samia yeye rushwa hajali, uzembe hajali anachojali ni yeye na familia yake ipewe miaka mingine 5 kwa njia yoyote hata kama ni kuuwa watu.
Kufunga makanisa, kuteka vijana, kukosa misaada, kunyanyasa wana harakati, kuaribu mahusiano na majirani, kufunga upinzani, kufuta chadema, kuhonga wapinzani na machawa. Ingawa miradi hasa ya treni haina pesa kuna miradi mikubwa ya pesa za polisi na jeshi ili vigogo wamuunge mkono
Sasa Mama huyu kanda ya ziwa kaaribu kwa mpina, gwajima na heche, kusini wameteka watoto wao huko mbeya bila kujali siasa kaaribu huko, kaskazini kama kawaida wanapenda uhuru na haki, Tanga wamepoteza mzee wao wanahasira, mtwara na lindi umasikini na wizi wa rasilimali zao
Sasa Mama kabaki na kanda ya kati ambayo Lissu ni mwenyeji na magharibu kwa ACT ambako ni sehemu wa machawa
Ukatili wa Mama ni uchu wa madaraka tu na ushauri mbaya