HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,328
- 1,666
Hivi wewe una mtoto ama hata mdogo wako anayesoma kweli?Mhamishe akasome Mugabe sekondari...mwenye shule ni marehemu so hakuna wa kumchapa tena!
Una malezi ya hovyo na ya kikatili sana.Leo madogo home wameamkia viboko, yan ile ghafla tu tumemaliza ibada ya alfajir saa 11, nikaliamsha.
Watoto saa zingine bila viboko ni ngumu sana kuelewa. Hasa sisi waafrika.
Mwanangu wa form 1 alikua anafel hesabu toka aanze kidato cha kwamza january, nikachukua jukum la kumfumdisha mimi home , na kiboko pembeni, sasa hiv anapiga hesabu balaa.. ni uzembe uzembe tu
Ila kama usemavyo viboko navyo visizid sana.
Vizur sana.. sasa hao ni watoto wako chief na hongera sana kwa hilo. Usi force uniformity maana kuna factors nyiingi sanaaa kuhusu hili . Watoto wengine ni trouble some by blood. Na tunawazaa kabusa ukiwaangakia unaona huyu hiz tabia ni zangu kabisaaaa na hatabuongee vipi hii haitoki.Una malezi ya hovyo na ya kikatili sana.
Yaani ulimwengu wa leo bado kuna watu wanaamini viboko ndiyo suluhisho la matatizo?
Wanangu sijawahi hata kumtishia kiboko achilia mbali kumchapa lakini sauti yangu tu ya upole na yenye mamlaka wakiisikia wanafanya jambo kwa usahihi na performance inaonekana.
Kuna watoto wa majirani wanachezea vipigo kutoka kwa wazazi wao lakini ndiyo wamezidi kuwa watukutu.
Wakoloni walitumia mbinu ya kuwatandika viboko watu weusi kama kuwadhalilisha halafu huko kwao wala hawawachapi watoto wao badala yake Waafrika wenye uelewa finyu wakaendeleza ukatili ulioachwa na Wakoloni. Shame on you.
Ni kweli ni muhim kuzingatia sheria. Na haya mambo yapo sana shule za serikali. Japo huko ndio kumejaa watoto wengi watukutu.Kuna wakuu wa shule hawayajui haya kwa sababu hamlalamiki
Nenda kwa mkuu wa shule na ukalalamike kwa mtoto kupigwa viboko 10 ni haki?
Nina uhakika lazima mwalimu atashughulikiwa
Kuna Wakurugenzi pia hawana habari wao wanafurahia matokeo mazuri tu lakini kusema la haki Kuna watoto hata wakipata 80% wanapigwa haswa
Wale wa kuandamana kwanini wasiandamane na kusema viboko basi?
Wanasiasa wanapiga kelele kwenye maslahi yao tu ikiguswa au kutafuta wapi pa kuiba ila masuala kama haya hayawahusu na ni lazima likemewe
Haki za binadamu my foot hao nao kama NGO tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mhamishe akasome Mugabe sekondari...mwenye shule ni marehemu so hakuna wa kumchapa tena!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mtoto ninjeuri acha akunguntwe mboko akili zimkae sawa
Usikute kakamisi kamshikaji kake kitaa anafanya ujeuri ili arudishwe home akaulilie
Well said mkuu, hizi fikra za kikatili za kushushia watoto viboko kama mbinu ya kuwafanya wa-act kwa usahihi ni za kulaani kwa nguvu zote.Una malezi ya hovyo na ya kikatili sana.
Yaani ulimwengu wa leo bado kuna watu wanaamini viboko ndiyo suluhisho la matatizo?
Wanangu sijawahi hata kumtishia kiboko achilia mbali kumchapa lakini sauti yangu tu ya upole na yenye mamlaka wakiisikia wanafanya jambo kwa usahihi na performance inaonekana.
Kuna watoto wa majirani wanachezea vipigo kutoka kwa wazazi wao lakini ndiyo wamezidi kuwa watukutu.
Wakoloni walitumia mbinu ya kuwatandika viboko watu weusi kama kuwadhalilisha halafu huko kwao wala hawawachapi watoto wao badala yake Waafrika wenye uelewa finyu wakaendeleza ukatili ulioachwa na Wakoloni. Shame on you.
Una uhakika mimi ndiye mkuu wa hiyo shule?Hivi wewe una mtoto ama hata mdogo wako anayesoma kweli?
Au umezaliwa peke yako kwenu hivyo huna huruma na ukatili dhidi ya watoto wasioweza kujitetea?
Matukio ya vifo na ulemavu wa kudumu yamekuwa yakiripotiwa ambapo hutokea mashuleni na walimu wamekuwa wakipelekwa mahakamani badala uwe mstari wa mbele kupinga ukatili wewe unajibu kama umekatwa kichwa.
Afrika maendeleo ni duni kwasababu aina ya watu kama nyinyi mpo wengi kuliko werevu.
Sasa mnapopiga huwa mnatarajia nini kwa mtoto?Ni kweli ni muhim kuzingatia sheria. Na haya mambo yapo sana shule za serikali. Japo huko ndio kumejaa watoto wengi watukutu.
INgawa nasukumwa kuamini kabisaa hakuna mwalim anapenda kuchapa chapa watoto, hasa hawa waalim wa miaka ya leo, wala hawana time ya kukimbizana na viboko maana huo muda wanaona bora wachape shida za maisha yao zinazowasumbua.
NB
Fimbo muhimu
Haya ni ninyi mnayakuza mzee wangu baada ya kukaa sana ulaya na kuzielewa culture zao. Ila hayana ukwel hata kidogoSasa mnapopiga huwa mnatarajia nini kwa mtoto?
Kuna wengine wana autistic na wengi hawajui kwanini mtoto ni mtukutu kumbe mgonjwa
Wazungu hawapigi ndio wanatengeneza kila kitu
Nyie mnapiga na mtoto anaogopa hata kukuuliza kitu maana umeishamjengea hofu
Siyakuzi hata kidogoHaya ni ninyi mnayakuza mzee wangu baada ya kukaa sana ulaya na kuzielewa culture zao. Ila hayana ukwel hata kidogo
You understand cultural diversity, am pretty sure!!!? So this stuff huwez comment straighly kama ni wrong..Siyakuzi hata kidogo
Huku hata mbwa hapigwi kuna watu wamesomea behavior zao na ni taaluma
Ukiruhusu kupiga fimbo tatu wao wanapiga 10
Ni kama kuwaambia watu ibeni kiasi