Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nakubaliana na wewe 💯You understand cultural diversity, am pretty sure!!!? So this stuff huwez comment straighly kama ni wrong..
You can be legally right but morally wrong and vice versa is true.
Sheria zote zina hitaji usimamiz na ufuatiliaji.
Mimi nina watoto wengi na mkubwa ni 33, sijawahi kuwapiga hata siku moja na tunaelewana nao sana
Naona siku nikifa watanimiss sana 😄
Just a look 👀 inatosha kuwaonyesha kuwa ni kosa wametenda
Lakini ni maamuzi wewe unaweza kuwakuza kwa makofi na wakawa wabaya
Sheria na sheria lakini haiwafanyi watoto wetu ni watukutu kuliko wazungu
Juzi juzi kulikuwa na vurugu huku kuna mtoto aliwatupia mawe polisi amehukumiwa kwenda jela
Kwa hiyo hata huku wapo watukutu lakini wameona kupiga sio suluhu