Ukatili wa viboko umekithiri Sekondari ya Salma Kikwete

You understand cultural diversity, am pretty sure!!!? So this stuff huwez comment straighly kama ni wrong..

You can be legally right but morally wrong and vice versa is true.

Sheria zote zina hitaji usimamiz na ufuatiliaji.
Nakubaliana na wewe πŸ’―
Mimi nina watoto wengi na mkubwa ni 33, sijawahi kuwapiga hata siku moja na tunaelewana nao sana
Naona siku nikifa watanimiss sana πŸ˜„
Just a look πŸ‘€ inatosha kuwaonyesha kuwa ni kosa wametenda
Lakini ni maamuzi wewe unaweza kuwakuza kwa makofi na wakawa wabaya
Sheria na sheria lakini haiwafanyi watoto wetu ni watukutu kuliko wazungu

Juzi juzi kulikuwa na vurugu huku kuna mtoto aliwatupia mawe polisi amehukumiwa kwenda jela
Kwa hiyo hata huku wapo watukutu lakini wameona kupiga sio suluhu
 
Ni kwel kabisa na ninakubaliana na wewe mzee wangu. Mimi ni mwanao kabisa ujue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Sema nimemzid kidogo about 2 yrs first born wako
 
Kaka humu kuna wajuaji sana ila wangejua hawa watoto wao ambao wamewarithisa tabia za kiwaki bila fimbo hawaendi kabisaaa.

Yahn vitoto vitukutu na vitundu sana unataka uende nao kizunguzungu.
 
Kaka humu kuna wajuaji sana ila wangejua hawa watoto wao ambao wamewarithisa tabia za kiwaki bila fimbo hawaendi kabisaaa.

Yahn vitoto vitukutu na vitundu sana unataka uende nao kizunguzungu.
Kiafrika ni taabu sana, unaweza shindwa kuwasaidia.. ujue ishu moja watu hawapemd kukubali kuwa waalimu wala hawapendelei hiz ishu za kupiga watoto, ni katika kujaribu namna za kuwasaidia wenyewee na wakifanikiwa ni kwa manufaa yao..

Nakumbuka miaka ile naingia kidato cha kwanza, nikaenda na utoto wangu sekondari, kwa kumbukumbu za harakanharaka ile week ya kwanza nilikula fimbo 52.
Siku ya kwanza tuu headmaster nilifukuzana nae kwenye mahindi akaloa kishenz suti yake , siku ya kwanza imagine, nimepandishwa assemble kwa utovu wa nidhamu.

Zile fimbo ile week ya kwanza tu, nikaona daah!!! Hapa nitakufa acha nitulie tu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
viboko viwe vya kadiri wala haina shida
Tatizo linakuja hapo kuruhusu maana wanaambiwa vitatu tosha wanapandwa Mori wanapiga mpaka mtoto anaogopa shule tena
Mtoto anaamua kukariri tu anapasi kukariri lakini zaidi ya hapo ni mtupu kichwani
Unategemea nini wenye PhD wanakunywa juice ya Madagascar kama dawa ya corona badala watengeneze AstraZeneca yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…