Ukavu sehemu za siri

Ukavu sehemu za siri

Sio kwamba mwenzio anakuwa tungi.. anazembea kwenye kukuandaa!

Hamna....me hata nisipokunywa nikiliona dushe tu basi utereziiiiii huo au hata nikiwa nae ndo balaa nna hamu nae muda wote
 
Teh teh jamani......hata kama tunaanza inakuwa hivyo,yaani mpaka kuingia dushe inagomagoma shem sasa me naumia.

Nasita kukushauri utumie vilainishi kwa kuwa nina shaka na madhara yake, ila ungejaribu mate kiduchu tu inafaa kulainisha kwa muda. Utasikia dushelee inapenye myuuu... Tumia mate ya chini ya ulimi ambayo yana utelezi.
 
Njoo hospitali kwa vipimo zaidi...
 
Nasita kukushauri utumie vilainishi kwa kuwa nina shaka na madhara yake, ila ungejaribu mate kiduchu tu inafaa kulainisha kwa muda. Utasikia dushelee inapenye myuuu... Tumia mate ya chini ya ulimi ambayo yana utelezi.

Uterez nnao mzur tu wa wastani nisipokunywa ila nikinywa unakuwa kidogo sana.
Ingawa shem wenu ndo anasema inazid kuwa tamu jamani
 
Back
Top Bottom