barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Sio kavu kabisa bali ute hauwi kama kawaida.
Uanaume kazi, nimejenga picha nishasimamisha kiaina sababu ya sentesi yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kavu kabisa bali ute hauwi kama kawaida.
Sema weyee... Mi nimeshangaa kimya kimyaa..!
Sitaki hii kampeni yako inayolenga kupunguza pato la taifa. Wewe ni adui wa ukuwaji wa uchumi wa inji hii na hufai, unaweza kutibu watu bila kuathiri masharti ya Sheria ya Kodi ya mwaka ... na Sheria ndogo ya Vilevi.
cc: Baba V
Uanaume kazi, nimejenga picha nishasimamisha kiaina sababu ya sentesi yako.
Umeshangazwa na nini???condom haina kazi moja tu yakuzuia huo ukimwi.Hata hivyo mada inazungumzia kutotokwa ma ute pindi ninapotumia kilaji.
Umedai mate yana uwezo wa kubeba virus! Ina maana humuamini ni bora ungesema hupendi kutumia huko chini, lakini upo tayari kuyalamba ( kissing) ha ha ha, I'm just sayin
Ha ha ha me nimuoga sana hata nipime na mwanaume HIV bado siamini kavu.Kavu nilikulana sana na first boyfriend wangu lakin nahis ni utoto lakin toka hapo siwezi.
Pole sana ila naona kama umekuja kuturingishia how sweet ur bt my advice tafuta tsh 7,500 nenda pharmacy yoyote ulizia K-Y Jelly itakusaidia ndo mafuta pekee kwa shughuli hiyo na hakuna side effect.Daaaaah mate kama nimechubuka si ndo balaa....me mate hapana
Habari zenu wana jamvii....
Me nina swali jamani....nikinywa kilevi wakati nnataka kusex na shemu wenu ute unakata na papuchi inakuwa kavu zaidi.Je ni ugonjwa au???
Pole sana ila naona kama umekuja kuturingishia how sweet ur bt my advice tafuta tsh 7,500 nenda pharmacy yoyote ulizia K-Y Jelly itakusaidia ndo mafuta pekee kwa shughuli hiyo na hakuna side effect.
Nimekusoma boss ha ha ha
Anakuandaa vya kutosha? Ulambo unapata wa kutosha?
Ngoja kwanza nile ugali halafu nitarudi