Teh teh utanikabidhisha kwa daktar??maana sijui kama kaka anaruhusiwa kunichunguza.
Nasina mpango wakulabwa hahahaha
Kwa nini nikukabidhishe bi mkubwa wakati miye ndio daktari mwenyewe?
labda una kilema cha huko chini wahi hosp
Eh! Mbona jibu unalo mwenyewe. Ni sawa na kwenda hospitali, kisha wamwambia Dr. Kwamba ukikaa kwenye jua kichwa kinakuuma. Dr. Atakwambia usiwe unakaa kwenye jua, simple!! JiBU LAKO: ukitaka kuseks na uwe unateleza kiulaiiini basi usinywe kilevu, Simple! Mwili wako ndo uko hivyo, si ugonjwa!
Nachojua mm....fluid yoyote ina uwezo wakucarry virus,sasa kama kuna michubuko ndo utata
Dah hivyo vitu watu wanavisaka kwa UDI na uvumba !kwahiyo inakua kavu kabisa!
Kunywonywa tamu ila kabla yaku do
Me sio dada yako????
Kitaalamu pombe ina tabia ya kuwa aphrodisiac...
Aphrodisiac ni kitu kinachoongeza matamanio ya ngono kwa mwanaume au mwanamke...
Pamoja na sifa hii ya pombe lakini kuna madhara mengi hasi kuliko chanya haswa inapotumika kwa watu wafanyao ngono...
Pombe yoyote is a central nervous system depressant.
Kwa kawaida mfumo wa fahamu wa kati umetengenezwa mahususi ka ajili ya mambo kama matamanio ya ngono na kufika mshindo, mfumo wa hewa na damu pamoja na mfumo wa neva za hisia.
Ukiacha hili pia pombe husababisha ukavu wa uke kwa kuwa ina sifa ya kufanya dehydration inapoingia mwilini mwa binadamu...(walevi wengi huwa ni marafiki wa choo).
Kuna madhara mengine mengi kwa wanaume na wanawake ila nimeyataja hayo mawili kulingana na tatizo ulilolibainisha...
Mwisho nakushauri uache uzinzi na matumizi ya pombe bi mkubwa, acha ngono isubiri hadi utapoolewa..
Mkipigana mabusu nayo huwa mnavaa condom midomoni? Nendeni mkapime afya zenu, Kama humuamini! What's the point of being with him anyway?
Mkipigana mabusu nayo huwa mnavaa condom midomoni? Nendeni mkapime afya zenu, Kama humuamini! What's the point of being with him anyway?
Uterez nnao mzur tu wa wastani nisipokunywa ila nikinywa unakuwa kidogo sana.
Ingawa shem wenu ndo anasema inazid kuwa tamu jamani
Sitaki hii kampeni yako inayolenga kupunguza pato la taifa. Wewe ni adui wa ukuwaji wa uchumi wa inji hii na hufai, unaweza kutibu watu bila kuathiri masharti ya Sheria ya Kodi ya mwaka ... na Sheria ndogo ya Vilevi.Kitaalamu pombe ina tabia ya kuwa aphrodisiac...
Aphrodisiac ni kitu kinachoongeza matamanio ya ngono kwa mwanaume au mwanamke...
Pamoja na sifa hii ya pombe lakini kuna madhara mengi hasi kuliko chanya haswa inapotumika kwa watu wafanyao ngono...
Pombe yoyote is a central nervous system depressant.
Kwa kawaida mfumo wa fahamu wa kati umetengenezwa mahususi ka ajili ya mambo kama matamanio ya ngono na kufika mshindo, mfumo wa hewa na damu pamoja na mfumo wa neva za hisia.
Ukiacha hili pia pombe husababisha ukavu wa uke kwa kuwa ina sifa ya kufanya dehydration inapoingia mwilini mwa binadamu...(walevi wengi huwa ni marafiki wa choo).
Ukiacha ukavu wa uke pia huleta madhara mengine kama uchovu, maumivu ya kichwa n.k