Ukavu sehemu za siri

Sema weyee... Mi nimeshangaa kimya kimyaa..!

Umeshangazwa na nini???condom haina kazi moja tu yakuzuia huo ukimwi.Hata hivyo mada inazungumzia kutotokwa ma ute pindi ninapotumia kilaji.
 
Sitaki hii kampeni yako inayolenga kupunguza pato la taifa. Wewe ni adui wa ukuwaji wa uchumi wa inji hii na hufai, unaweza kutibu watu bila kuathiri masharti ya Sheria ya Kodi ya mwaka ... na Sheria ndogo ya Vilevi.

cc: Baba V

Nashangaa.....wakati nchi inajengwa na mwanachi.Teh teh
 
Last edited by a moderator:
Umeshangazwa na nini???condom haina kazi moja tu yakuzuia huo ukimwi.Hata hivyo mada inazungumzia kutotokwa ma ute pindi ninapotumia kilaji.

Umedai mate yana uwezo wa kubeba virus! Ina maana humuamini ni bora ungesema hupendi kutumia huko chini, lakini upo tayari kuyalamba ( kissing) ha ha ha, I'm just sayin
 
DEMBA njoo huku pacha wako nina tatizo tumboo shost nimekwama mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Umedai mate yana uwezo wa kubeba virus! Ina maana humuamini ni bora ungesema hupendi kutumia huko chini, lakini upo tayari kuyalamba ( kissing) ha ha ha, I'm just sayin

sokwe hebu acha zako loooh.Mate sio siri kutumia huku chini sifagilii na haswa pale imegomagoma nahisi tayar nimepata mchubuko
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha me nimuoga sana hata nipime na mwanaume HIV bado siamini kavu.Kavu nilikulana sana na first boyfriend wangu lakin nahis ni utoto lakin toka hapo siwezi.

Kibamia inaenea kwenye ndomu?
 
Last edited by a moderator:
Daaaaah mate kama nimechubuka si ndo balaa....me mate hapana
Pole sana ila naona kama umekuja kuturingishia how sweet ur bt my advice tafuta tsh 7,500 nenda pharmacy yoyote ulizia K-Y Jelly itakusaidia ndo mafuta pekee kwa shughuli hiyo na hakuna side effect.
 
Pita na ky hapo ni mtelezo manake ndio hutumika kula nyara za serekale
 
Aisee!!!!Miss Strong loooh!!! JF bwana we acha tuu.
Habari zenu wana jamvii....

Me nina swali jamani....nikinywa kilevi wakati nnataka kusex na shemu wenu ute unakata na papuchi inakuwa kavu zaidi.Je ni ugonjwa au???
 
Pole sana ila naona kama umekuja kuturingishia how sweet ur bt my advice tafuta tsh 7,500 nenda pharmacy yoyote ulizia K-Y Jelly itakusaidia ndo mafuta pekee kwa shughuli hiyo na hakuna side effect.

Soma thread upya......kwani ukavu ndo usweety???Sio siku zote nikinywa ndo nataka kujua ni kwangu tu o??maana jf ina wanawake wanao do nakunywa pia.Kwahiyo kupitia wao naweza kujua hatua zakuchukua
 
Anakuandaa vya kutosha? Ulambo unapata wa kutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…