Ukavu sehemu za siri

Habari zenu wana jamvii....

Me nina swali jamani....nikinywa kilevi wakati nnataka kusex na shemu wenu ute unakata na papuchi inakuwa kavu zaidi.Je ni ugonjwa au???

Hata sio ugonjwa, wewe na huyo shem wetu hamjarelax , muwe munajiamdaa sio vikopo viwili tu vya castle basi anakimbilia kuingiza...foreplay muhimu jama!
 
jaribu red wine..inaleta genye..jaribu amarula ndio usiseme utalowesha shuka inaleta mzuka
 
Hata sio ugonjwa, wewe na huyo shem wetu hamjarelax , muwe munajiamdaa sio vikopo viwili tu vya castle basi anakimbilia kuingiza...foreplay muhimu jama!

Kwelii eeeeh???tutacheck hyo mkuu.Ila nikinywa tu mkuu lakin nisipokunywa akaaa wala haisumbui sana
 
jaribu red wine..inaleta genye..jaribu amarula ndio usiseme utalowesha shuka inaleta mzuka

Natumiaga mpnz lakin sijaifanyia utafit kuwa nakuwaje coz mara nying zaidi sipendi kusex nikiwa nimekunywa sana maana beer 2/3 si za kawaida
 
Ha ha ha me nimuoga sana hata nipime na mwanaume HIV bado siamini kavu.Kavu nilikulana sana na first boyfriend wangu lakin nahis ni utoto lakin toka hapo siwezi.

We unatudanganya kuna mwanamke asiyependa kusuguliwa kavukavu haswa akishapima HIV! Hafu wewe useme eti kavu unaogopa haipo hiyo ukiona hivyo tunajua unachepuka.
 
We unatudanganya kuna mwanamke asiyependa kusuguliwa kavukavu haswa akishapima HIV! Hafu wewe useme eti kavu unaogopa haipo hiyo ukiona hivyo tunajua unachepuka.

Usipende kuishi kwa mazoea.....!!!Hao walio ndani ya ndoa na wanatumia mpira.Mpira una kazi ya zaidi ya kukikinga na HIV .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…