Ukavu ukeni

Ukavu ukeni

wanjira

Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
42
Reaction score
12
Naomba msaada wenu, rfk yangu ana tatizo la ukavu ukeni kila anapofanya mapenzi, afanye nini kuepuka hilo tatizo?

Nawasilisha
 
Sio vibaya ukakiri ni tatizo lako jamani
 
mwambie apake petrol ukeni kwa muda wa siku 3 mfululizo na tatizo lake litakuwa limeisha
 
Naomba msaada wenu, rfk yangu ana tatizo la ukavu ukeni kila anapofanya mapenzi, afanye nini kuepuka hilo tatizo?

Nawasilisha
Ungefunguka ningekusaidia sasa yeye atapataje ujumbee
 
Back
Top Bottom