Ukavu ukeni

Ukavu ukeni

Naomba msaada wenu, rfk yangu ana tatizo la ukavu ukeni kila anapofanya mapenzi, afanye nini kuepuka hilo tatizo?

Nawasilisha

Sio lazima ujibu lakini itasaidia kama huyu rafiki yako amekeketwa (female circumcision) au hapana.

Tiba ya rahisi ni kutumia vilainishi kama K-Y lotion. Hii itamfanya asiumie tu lakini haitahakikisha yeye kufurahia hilo tendo.

Kama hajakeketwa basi kuna haja ya kumuona daktari wa wakina mama.

Weka wazi hapa. Amekeketwa au hapana ili apate ushauri wa kina.
 
Huyo ni kati ya wanawake adimu sana kwa kipindi hiki. ni PM tatizo liishe
 
Sio lazima ujibu lakini itasaidia kama huyu rafiki yako amekeketwa (female circumcision) au hapana.

Tiba ya rahisi ni kutumia vilainishi kama K-Y lotion. Hii itamfanya asiumie tu lakini haitahakikisha yeye kufurahia hilo tendo.

Kama hajakeketwa basi kuna haja ya kumuona daktari wa wakina mama.

Weka wazi hapa. Amekeketwa au hapana ili apate ushauri wa kina.
Hajakeketwa
 
hilo ni tatizo la asili, ila kuna vyakula anatakiwa ale, vitamsaidia sana
 
Naomba msaada wenu, rfk yangu ana tatizo la ukavu ukeni kila anapofanya mapenzi, afanye nini kuepuka hilo tatizo?

Nawasilisha
Ila pia ni vema kabla hajatumia vilainishi vya ukeni akaenda kumuona gynecologist-daktari wa magonjwa ya wanawake kwa ushauri na tiba.
 
Mwambie anunue KY gel, inasaidia. Ila tu awe makini maana ni zaidi ya Oil yenye mfumo wa Synthetic
 
Hii inaashiria hormonal imbalance (inaweza kusababishwa na mengi). Nashauri akamuone daktari bingwa wa wakina mama. Kutumia vilainishi sio tiba.
Asante kwa ushauri wako mzuri
 
Back
Top Bottom