UKAWA acheni utoto!

UKAWA acheni utoto!

Kwanini UKAWA wamechukua Posho kisha "wakapita hivi?" kwanini wasingesusia na POSHO? swali liko hapa!

Posho haki yao, if anything they deserved more kwa kuweka masilahi ya taifa kwanza.
 
Rasimu ya warioba ina represent matakwa ya watanzania. kinachonishangaza ni CCM kutokubali ukweli. I believe watanzania wanafuatilia na 2015 wataoa madukuduku yao.
 
Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!

Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania waendelee na bunge la katiba. Nawasihi muonyeshe seriousness kwa KUTORUDI TENA BUNGENI. Mkirudi mtakuwa mmeonyesha UTOTO MKUBWA!
Hata KANU walitumia hila kama za ccm kutengeneza katiba fake!leo wapo wapi?mbona wewe ulianza kampeni kabla hata ya bunge la katiba kukataa rasimu?Nakuapia Nape Nnauye .Mbona hajamkemea Mkemea waziri Lukuvi kwa kuwabagua waislam ikiwa pamoja na marehemu baba yako maana alikua muislam waziwazi.Tunajua hii ni mbinu mahususi ya kuvunja ndoto za Kikwete juu ya kuwa na kativa mpya tanzania kwa kuwa halikua pendekezo lenu wana ccm bali ni kikwete mwenyewe.Nasi tutapita misikitini kueleza jinsi Lukuvi asivyotaka waislamu na mziki wa waislamu unautambua
 
Hata KANU walitumia hila kama za ccm kutengeneza katiba fake!leo wapo wapi?mbona wewe ulianza kampeni kabla hata ya bunge la katiba kukataa rasimu?Nakuapia Nape Nnauye ccm ndiyo itakayoketa mauaji ya kimbari tanzania.Mbona hajamkemea Mkemea waziri Lukuvi kwa kuwabagua waislam ikiwa pamoja na marehemu baba yako maana alikua muislam waziwazi.Tunajua hii ni mbinu mahususi ya kuvunja ndoto za Kikwete juu ya kuwa na kativa mpya tanzania kwa kuwa halikua pendekezo lenu wana ccm bali ni kikwete mwenyewe.Nasi tutapita misikitini kueleza jinsi Lukuvi asivyotaka waislamu na mziki wa waislamu unautambua
 
Last edited by a moderator:
Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!

Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania waendelee na bunge la katiba. Nawasihi muonyeshe seriousness kwa KUTORUDI TENA BUNGENI. Mkirudi mtakuwa mmeonyesha UTOTO MKUBWA!

Huyu ni kiongozi wa kitaifa wa chama cha siasa anazungumza maneno haya ya kushabikia mifarakano ndani ya nchi!

Hata kama kwenu hili ni goli la kisigino ungechekea kichinichini ungeweka heshima yako mbele ya jamii ya wapenda amani lakini hiki ulichokifanya ndugu yake kinakushushia hadhi.

Ni wakati muafaka sasa kutafuta maridhiano ya dhati ili kuendeleza amani na utulivu tulionao lakini tukiendekeza ubabe, majigambo na ufedhuli hatapatikana mshindi bali majuto makuu!!
 
Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!

Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania waendelee na bunge la katiba. Nawasihi muonyeshe seriousness kwa KUTORUDI TENA BUNGENI. Mkirudi mtakuwa mmeonyesha UTOTO MKUBWA!

Sioni kama kususa ni busara na
wanahoja za msingi, kwanini
hawakupinga tangu ile sheria
iliyoanzisha mchakato? Na
kwanini wamekaa hadi siku 60
ndo watoke? Je pesa waliotumia
na kisha wakasusa hawaoni
kama wanatuingiza hasara
wananchi? Hivi kama wanasusa
ni kwavipi watatutetea ka kweli
wanalengo hilo? This is totally
wrong dear Ukawa.
 
Nilitegemea Nape awe "serious" angalau kidogo. UKAWA wakisusia hiyo "katiba" mtakayoleta haitakuwa na Legitimacy hata kidogo. Itazidi kupondwa na haiwezi kudumu hata mika 10 ijayo. Akili yangu inanituma kwamba CCM kama chama tawala wangeleta Katiba iliyojrngwa katiba msingi imara kuliko iakayojengwa kwenye mchanga. Katiba inajengwa kwa maridhiano siyo mitulinga. It is self delusion.
 
Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!

Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania waendelee na bunge la katiba. Nawasihi muonyeshe seriousness kwa KUTORUDI TENA BUNGENI. Mkirudi mtakuwa mmeonyesha UTOTO MKUBWA!

We! nawe!!!
 
Kwa kauli kama za Lukuvi, kututishia na jeshi na wananchi na ile kauli ya Zaibabu Kawawa (mwenye ubunge wa kupewa) ilikuwa ni halali kwa UKAWA kutoka nje ya bunge. Wapinzani nao ni watu na heshima zao, sio vema kuwadhalilisha.
 
Sawa mjadili katiba ya chama chenu na wala si ya Watanzania. Ndio maana Uwaka wamejitoa ili wasihukumiwe na Watanzania kwa kupitisha katiba yenu. Maoni ya wananchi, ccm hamuyataki kabisa.
 
Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!

Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania waendelee na bunge la katiba. Nawasihi muonyeshe seriousness kwa KUTORUDI TENA BUNGENI. Mkirudi mtakuwa mmeonyesha UTOTO MKUBWA!

We mropokaji upo. Ndio kamati kuu ya ccm chini ya mwenyekiti wake JK imekutuma kuja kutoa maamuzi ya chama hapa?
 
Sioni kama kususa ni busara na
wanahoja za msingi, kwanini
hawakupinga tangu ile sheria
iliyoanzisha mchakato? Na
kwanini wamekaa hadi siku 60
ndo watoke? Je pesa waliotumia
na kisha wakasusa hawaoni
kama wanatuingiza hasara
wananchi? Hivi kama wanasusa
ni kwavipi watatutetea ka kweli
wanalengo hilo? This is totally
wrong dear Ukawa.

Yes kususa sio busara ila kushiriki kutengenza mbovu ni mbaya zaidi!!!????
Swali ni kuwa kwa nini hawakugoma tangu mwanzo ilhali dalili zilikuwa wazi kuwa hawatafikia muafaka wa kufuata matakwa ya Watanzania!!!?????

Hata hivyo, Nape ana point moja kubwa tu kuwa kama wametoka watoke for good sio tena waitwe Ikulu halafu warudi!!!!!
 
Kwa kauli kama za Lukuvi, kututishia na jeshi na wananchi na ile kauli ya Zaibabu Kawawa (mwenye ubunge wa kupewa) ilikuwa ni halali kwa UKAWA kutoka nje ya bunge. Wapinzani nao ni watu na heshima zao, sio vema kuwadhalilisha.

Kwani kaka wewe tangu mwanzo ulikuwa unaona muafaka!!!!????
Heshima zao huwa wanaziharibu pindi wanapoona kuwa hali sio nzuri ila wanakaa mpaka kuoze ndio wanastuka!!!!!

Kwenye suala la kura tu wangebwaga mzigo fasta!!!!
 
Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!

Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania waendelee na bunge la katiba. Nawasihi muonyeshe seriousness kwa KUTORUDI TENA BUNGENI. Mkirudi mtakuwa mmeonyesha UTOTO MKUBWA!

Ina maana walilipwa in advance posho yote?
 
Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!

Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania waendelee na bunge la katiba. Nawasihi muonyeshe seriousness kwa KUTORUDI TENA BUNGENI. Mkirudi mtakuwa mmeonyesha UTOTO MKUBWA!

Ungekuwa ulizaliwa ndani ya ndoa ungekuwa na staha kidogo. Sidhani kama waziri asiye na wizara maalum anafurahia tabia hizi za kishenzi unazoonyesha Nape
 
Hata KANU walitumia hila kama za ccm kutengeneza katiba fake!leo wapo wapi?mbona wewe ulianza kampeni kabla hata ya bunge la katiba kukataa rasimu?Nakuapia Nape Nnauye .Mbona hajamkemea Mkemea waziri Lukuvi kwa kuwabagua waislam ikiwa pamoja na marehemu baba yako maana alikua muislam waziwazi.Tunajua hii ni mbinu mahususi ya kuvunja ndoto za Kikwete juu ya kuwa na kativa mpya tanzania kwa kuwa halikua pendekezo lenu wana ccm bali ni kikwete mwenyewe.Nasi tutapita misikitini kueleza jinsi Lukuvi asivyotaka waislamu na mziki wa waislamu unautambua

MKUU wakati unaandika uwe unaweka na vidokezo uyo lukuvi amesemaje, maana wengine tulikuwa tuko busy tunajenga taifa la tanganyika na tanzania kwa ujumla wake, mkuu tutapenda kujulishwa ni vipi uyo mtu kawakashifu waislam, apa mm sitamuelewa kwa kuwa japo mm si muislam ila bibi yangu ni muislam, mdogo wenu binti omary ndio chaguo langu, alaf dada yangu ni muislam...kuukashifu uislam utakuwa unamnyanyasa dadangu, mtarajiwa wanu pamoja na bibi yangu na uzao wao wooote, apo nitakuwa mkali...
Back to topic ya katibu wetu mwenezi, sijajua uyu mtu anataka nini kwa kuandika apa jf mambo ya ajabu kiasi hiki!
 
mi kilio changu ni lukuvi tuu ingekuwa tuna raisi wa nchii angeshajiuzulu
 
Nape unachukulia mambo kitoto sana!kwa hiyo wasiporudi ndio katiba mpya itapatikana?No wonder kwasababu CCM hawajawahi kuwa na mpango wala hoja ya katiba mpya!
 
Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!

Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania waendelee na bunge la katiba. Nawasihi muonyeshe seriousness kwa KUTORUDI TENA BUNGENI. Mkirudi mtakuwa mmeonyesha UTOTO MKUBWA!
Msimu wa kutumia nguvu umepita na hili ni ttio kubwa sana kwenu ccm mnadhani wananchi mlio wazoea miaka ile ndio hao waliopo sasa kaa chini tafakari jinsi gani ccm mlivyo husika kuvuruga bunge,,usiongee kama mtoto was miezi miwili hapa kws kujifanya hujui ,,ccm ina laana kwa kwa kupuuza moni ya wananchi n kuingiza maoni yenu ambayo haysna nguvu ya wananchi msijifanye wanafiki hapa ,,tutakutana mtaani aisee hukuhuku mnako wahonga wenzenu vtishirt na vikofia na ubwabwa ili mpate kura,, shwain!
 
Back
Top Bottom