simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Kwanini UKAWA wamechukua Posho kisha "wakapita hivi?" kwanini wasingesusia na POSHO? swali liko hapa!
Posho haki yao, if anything they deserved more kwa kuweka masilahi ya taifa kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini UKAWA wamechukua Posho kisha "wakapita hivi?" kwanini wasingesusia na POSHO? swali liko hapa!
Hata KANU walitumia hila kama za ccm kutengeneza katiba fake!leo wapo wapi?mbona wewe ulianza kampeni kabla hata ya bunge la katiba kukataa rasimu?Nakuapia Nape Nnauye .Mbona hajamkemea Mkemea waziri Lukuvi kwa kuwabagua waislam ikiwa pamoja na marehemu baba yako maana alikua muislam waziwazi.Tunajua hii ni mbinu mahususi ya kuvunja ndoto za Kikwete juu ya kuwa na kativa mpya tanzania kwa kuwa halikua pendekezo lenu wana ccm bali ni kikwete mwenyewe.Nasi tutapita misikitini kueleza jinsi Lukuvi asivyotaka waislamu na mziki wa waislamu unautambuaYaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!
Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania waendelee na bunge la katiba. Nawasihi muonyeshe seriousness kwa KUTORUDI TENA BUNGENI. Mkirudi mtakuwa mmeonyesha UTOTO MKUBWA!
Hata KANU walitumia hila kama za ccm kutengeneza katiba fake!leo wapo wapi?mbona wewe ulianza kampeni kabla hata ya bunge la katiba kukataa rasimu?Nakuapia Nape Nnauye ccm ndiyo itakayoketa mauaji ya kimbari tanzania.Mbona hajamkemea Mkemea waziri Lukuvi kwa kuwabagua waislam ikiwa pamoja na marehemu baba yako maana alikua muislam waziwazi.Tunajua hii ni mbinu mahususi ya kuvunja ndoto za Kikwete juu ya kuwa na kativa mpya tanzania kwa kuwa halikua pendekezo lenu wana ccm bali ni kikwete mwenyewe.Nasi tutapita misikitini kueleza jinsi Lukuvi asivyotaka waislamu na mziki wa waislamu unautambuaYaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!
Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania waendelee na bunge la katiba. Nawasihi muonyeshe seriousness kwa KUTORUDI TENA BUNGENI. Mkirudi mtakuwa mmeonyesha UTOTO MKUBWA!
Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!

Sioni kama kususa ni busara na
wanahoja za msingi, kwanini
hawakupinga tangu ile sheria
iliyoanzisha mchakato? Na
kwanini wamekaa hadi siku 60
ndo watoke? Je pesa waliotumia
na kisha wakasusa hawaoni
kama wanatuingiza hasara
wananchi? Hivi kama wanasusa
ni kwavipi watatutetea ka kweli
wanalengo hilo? This is totally
wrong dear Ukawa.
Kwa kauli kama za Lukuvi, kututishia na jeshi na wananchi na ile kauli ya Zaibabu Kawawa (mwenye ubunge wa kupewa) ilikuwa ni halali kwa UKAWA kutoka nje ya bunge. Wapinzani nao ni watu na heshima zao, sio vema kuwadhalilisha.
Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!
Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania waendelee na bunge la katiba. Nawasihi muonyeshe seriousness kwa KUTORUDI TENA BUNGENI. Mkirudi mtakuwa mmeonyesha UTOTO MKUBWA!
Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!
Lakini kama mko serious MSIRUDI KABISA BUNGENI TENA. Mlishatishia kwenda barabarani nikawaambia MTATUKUTA BARABARANI. Karibuni sana!! waacheni wanaotaka katiba ya Tanzania waendelee na bunge la katiba. Nawasihi muonyeshe seriousness kwa KUTORUDI TENA BUNGENI. Mkirudi mtakuwa mmeonyesha UTOTO MKUBWA!
Hata KANU walitumia hila kama za ccm kutengeneza katiba fake!leo wapo wapi?mbona wewe ulianza kampeni kabla hata ya bunge la katiba kukataa rasimu?Nakuapia Nape Nnauye .Mbona hajamkemea Mkemea waziri Lukuvi kwa kuwabagua waislam ikiwa pamoja na marehemu baba yako maana alikua muislam waziwazi.Tunajua hii ni mbinu mahususi ya kuvunja ndoto za Kikwete juu ya kuwa na kativa mpya tanzania kwa kuwa halikua pendekezo lenu wana ccm bali ni kikwete mwenyewe.Nasi tutapita misikitini kueleza jinsi Lukuvi asivyotaka waislamu na mziki wa waislamu unautambua
Msimu wa kutumia nguvu umepita na hili ni ttio kubwa sana kwenu ccm mnadhani wananchi mlio wazoea miaka ile ndio hao waliopo sasa kaa chini tafakari jinsi gani ccm mlivyo husika kuvuruga bunge,,usiongee kama mtoto was miezi miwili hapa kws kujifanya hujui ,,ccm ina laana kwa kwa kupuuza moni ya wananchi n kuingiza maoni yenu ambayo haysna nguvu ya wananchi msijifanye wanafiki hapa ,,tutakutana mtaani aisee hukuhuku mnako wahonga wenzenu vtishirt na vikofia na ubwabwa ili mpate kura,, shwain!Yaani UKAWA kwanini mmesubiri mpaka mmelipwa posho ndio mmetoka bungeni? Kwanini hamkutoka toka mwanzo? Huu ni utoto!