Akili na siyo hakiri.
Mrema alishinda uraisi, akadhulumiwa, dr silaa alishinda akadhulumia, Maalim Seif alishinda Zanzibar akadhulumiwa.
Kushinda haiitaji wingi wa watu, kikwete mlimpa ushinda kwa kura za watu wangapi?
Hata lugha yako tu inakushinda, eti hakiri, mijitu mingine bana ka michawi yani
Nani asiyejua kwamba Mkapa alipigwa chini na Mrema ila CCM ikatumia ubabe?
Tiba
Hii kitu ukawa ni ya ku-handle kwa uangalifu sana. Inaweza kuujenga upinzani, lakini pia inaweza kuubomoa na kuturudisha nyuma sana. Humohumo ndani wamo wenye kinyongo sana na yaliyopita. Tumwombe Mungu atusaidie na kutuvusha salama.Comparative Advantage ikiweza kutumika vizuri watakuja na wabunge wengi sana.japo nauona mtihani kwenye urais.wafanye brainstorming kupata conflict free mechanism ya kumpata rais.hasa hasa CCM kuchomekea
huna jipya wewe,sema interahamwe wanajipanga na wizi wa kura kupitia hii tume yao ya uchaguzi na kwa kuwatumia policcm! Bila rushwa,hujuma za polisi na hii tume yao ya uchaguzi ccm wepesi sana,kabla ya misa ya kwanza tunashangilia ushindi kwa UKAWA
Boreshini daftari na wekeni tume huru si ya ccm muone moto wake.Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.
Dr.Slaa hana mvuto tena UKAWA wengi wanataka mgombea urais awe Prof.Lipumba mgombea mwenza ni Mbatia, Dr.Slaa akagombee ubunge Karatu.
Wewe utakuwaje wa kwanza? Maelfu kwa maelfu walishajitoa ccm.Hivi mnadhani ccm ni chama chepesi sana??? Hebu jaribuni kama mtaweza, mkipata hata nusu ya kura mimi nitakuwa wa kwanza kujitoa ccm.
Mandla.
No, ni mapema mno kuanza kutangaza hivyo hadharani. Hata kama wana mipango hiyo, lingebaki kuwa suala la ndani hadi hapo muda muafaka utakapofika. Akumbuke kwenye msafara wa mamba na kenge wamo! Ikitokea hilo halikufanikiwa itakuwaje? Ataonekana hakuwa makini; gharama nyingine kubwa kisiasa bila sababu za msingi ambayo ingeweza kuepukwa kama angechunga kauli tangu mwanzo.
Dr.Slaa hana mvuto tena UKAWA wengi wanataka mgombea urais awe Prof.Lipumba mgombea mwenza ni Mbatia, Dr.Slaa akagombee ubunge Karatu.
Kiswahili hujui, ndiyo maana mnasema APA badala ya HAPA.
Du hapo ndiyo ukawa utakapo vunjika, unadhani CUF au NCCR-Mageuzi watakubari wagombee majimbo machache? Thubutuuu! Au jimbo la lisu agombee CUF yeye na dada yake viti maalumu wakose unga watakubari?
Waambieni wapime maji kabla ya kuvuka.
LETS VOTE FOR DIAMOND PLATNUMZ betawards @international act africa kwa kuclick link hii
http://t.co/uqStSk7SCU
ni rahisi sana ,,,,lets vote and make our EAST AFRICAN PROUD!
#Nyumbani kwanza