Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

hahahahaha watakapo shikana mashati ni hapo wakati wa kumteua Mgombea na hapo ndipo wata sambaratikaa wote.

Maana Lema,yericko,ben,crash,Mungi hawato kubali Prof Lipumba kuchukua kijiti na wale wa CUF Ngangari hawato kubali Dr slaa au Mbowe kuchukua Kijiti.

Na katika hili tukae tayari kushuhudia ngumi ambazo hazijawai kutokea.

Maana Dr.W.Slaa yeye anajua lazima apperushe bendera na Lipumba naye anajua Lazima apeperushe na hapo ndio ngumi zitako anzia.
Mkuu MSALANI
UKAWA wametoka kwenye Katiba hadi kugawana madaraka.

Kikundi cha UKAWA hakitoweza kukanyaga Ikulu kamwe.
 
Last edited by a moderator:
Mrema alishinda uraisi, akadhulumiwa, dr silaa alishinda akadhulumia, Maalim Seif alishinda Zanzibar akadhulumiwa.
Kushinda haiitaji wingi wa watu, kikwete mlimpa ushinda kwa kura za watu wangapi?

Slaa alishinda jimboa gani? Au aligombea nchi jirani.
 
Hata lugha yako tu inakushinda, eti hakiri, mijitu mingine bana ka michawi yani

Tumewazoea yaani ukiona mchangiaje na matusi ujue changadema, babu amewaharibu na gongo, kamuulize mwalim wako kama ni Hakiri au akiri, au kama ni hapa au apa.
 
Comparative Advantage ikiweza kutumika vizuri watakuja na wabunge wengi sana.japo nauona mtihani kwenye urais.wafanye brainstorming kupata conflict free mechanism ya kumpata rais.hasa hasa CCM kuchomekea
Hii kitu ukawa ni ya ku-handle kwa uangalifu sana. Inaweza kuujenga upinzani, lakini pia inaweza kuubomoa na kuturudisha nyuma sana. Humohumo ndani wamo wenye kinyongo sana na yaliyopita. Tumwombe Mungu atusaidie na kutuvusha salama.
 
huna jipya wewe,sema interahamwe wanajipanga na wizi wa kura kupitia hii tume yao ya uchaguzi na kwa kuwatumia policcm! Bila rushwa,hujuma za polisi na hii tume yao ya uchaguzi ccm wepesi sana,kabla ya misa ya kwanza tunashangilia ushindi kwa UKAWA

Poleni sana, SIU hiyo mtalikimbia jukwaa wiki nzima, msiangalie idadi ya watu ktk mikutano yenu, unakumbuka Chopa 3 kata 3??!.
 
Mimi ninachokiamini upinzani wa CCM utatoka ndani ya CCM labda niulize ni nchi gani Africa chama tawala kilitoka madarakani bila ya kundi kubwa kujiengua na kuingia upinzani au kuanzisha chama cha upinzani?


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.
Boreshini daftari na wekeni tume huru si ya ccm muone moto wake.
 
Wassira alishatabiri kuwa kabla ya 2015 chadema kitasambaratika, wenye akili ndogo hawakumuelewa...

Leo hii Chadema haitajwi, sasa ni Ukawa,

Hongera Wassira.
 
Dr.Slaa hana mvuto tena UKAWA wengi wanataka mgombea urais awe Prof.Lipumba mgombea mwenza ni Mbatia, Dr.Slaa akagombee ubunge Karatu.

hahahaaha...hapo ndio itakapokuwa mwisho wa ukawa
 
Boreshini daftari na wekeni tume huru si ya ccm muone moto wake.

nkongo
Hayo ni maneno ya kujifariji... Ina maana Ubungo, Moshi, Arusha, n.k mlikoshinda mlitumia Tume ipi????


Tumieni akili...
 
Last edited by a moderator:
Hivi mnadhani ccm ni chama chepesi sana??? Hebu jaribuni kama mtaweza, mkipata hata nusu ya kura mimi nitakuwa wa kwanza kujitoa ccm.

Mandla.
Wewe utakuwaje wa kwanza? Maelfu kwa maelfu walishajitoa ccm.
 
No, ni mapema mno kuanza kutangaza hivyo hadharani. Hata kama wana mipango hiyo, lingebaki kuwa suala la ndani hadi hapo muda muafaka utakapofika. Akumbuke kwenye msafara wa mamba na kenge wamo! Ikitokea hilo halikufanikiwa itakuwaje? Ataonekana hakuwa makini; gharama nyingine kubwa kisiasa bila sababu za msingi ambayo ingeweza kuepukwa kama angechunga kauli tangu mwanzo.

Worry out Mkuu, CCM watamtosa Lowassa then UKAWA kwa kauli moja watamsimamisha kama mgombea wao! Hapo ndo itakuwa mwisho wa CCM ...
 
hivi hao viongozi wa ukawa wanawashirikisha wanachama wao kwenye maamuzi? Au wanawasukuma tu kama mazezeta....viongozi wa ukawa ni madikteta
 
Dr.Slaa hana mvuto tena UKAWA wengi wanataka mgombea urais awe Prof.Lipumba mgombea mwenza ni Mbatia, Dr.Slaa akagombee ubunge Karatu.


Exactly maalim Ritz, Padre Slaa hana mvuto hata chembe.

Pia nashauri arejee akaminyanie ubunge karatu.
 
Du hapo ndiyo ukawa utakapo vunjika, unadhani CUF au NCCR-Mageuzi watakubari wagombee majimbo machache? Thubutuuu! Au jimbo la lisu agombee CUF yeye na dada yake viti maalumu wakose unga watakubari?
Waambieni wapime maji kabla ya kuvuka.

kusimamisha mgombea 1 c shida nani atamuoachia mwenzie? wenzen2 wanaijua faida ya siasa
 
Back
Top Bottom