Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

imefika wakata wa kugomboa wana wa tanganyika tunayoitaka,mungu bariki ukawa mungu bariki tanganyika!
 
Hivi UKAWA wana Katiba yao inayowaongoza kwenye muungano wao? au kila mtu anajiamulia la kwake?
 
Hayo maneno ya 'mzinzi' yamezoeleka mno na hayajasaidia kumpunguzia umaarufu wake dr Slaa. Huyu ndiye aina ya kiongozi tunayemhitaji sana, Wemye upeo wanalijua hili.
 
Ni sawa tu..ata akigombea Lipumba ilimradi majambazi waondoke madarakani,ayo mengine mbele kwa mbele.
Mbona umejibu kinyonge hivyo, teh teh teh Lipumba yupo CUF na CUF na CCM wameungana kuunda serikali.
 
Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.

tathmini ya hovyo kabisa,jiulize ni wapiga kura wangapi wataingia kwenye daftari la kupiga kura kwanza,unawaza kama wenzako wa ccm kimatttt
 
Upinzani watashinda,matokeo ya urais 2010 waliojiandisha kupiga kura walikuwa 20,137,303 waliopiga kura 8,393,394.kura walizopata upinzani 4,121,577,ccm kura 5,276,827 tofauti ni kura 1,155,250,ambao hawakupiga kura 11,511,020 hatujui sababu ya kutopiga kura kama kweli UKAWA wataungana ccm wataiondoa 2015 hasa kama imeshindwa kutimiza ahadi zake,mbaya kupingana na maoni ya wananchi kuhusu muundo wa serikali 3.
 
Hahahahaha huku ni kujidanganya.
Hivi mgombea atakuwa nani?
Na mkumbuke Dr slaa kachokwa na Cuf hawato mkubali na hikiwezekana ngumi zitapigwa kati ya vijana wa Slaa na Vijana wa lipumba.

Cc MSALANI Ritz
 
Last edited by a moderator:
Mbona umejibu kinyonge hivyo, teh teh teh Lipumba yupo CUF na CUF na CCM wameungana kuunda serikali.
Mkuu Ritz Chadema hawamtaki Lipumba sema basi tuu hawana jinsi wanaogopa moto wa CUF Ngangari.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ruttashobolwa, UKAWA ni umoja ulioundwa katika misingi ya kilaghai, Mwanzo walisema nia yao ni kuwapatia wananchi wa Tanzania Katiba bora! lakini mara ghafla wakabadilika na kuanza kusema kuwa watasimamisha mgombea urais 2015. Je hiyo katiba bora ya wananchi (kwa mujibu wao) imeshapatikana? Au wanatuletea Usanii tu? Palipo na CHADEMA ulagahai hauchezi mbali!
 
Last edited by a moderator:
Kwanini mnakimbilia arusha tu???au ndo kuna walev wa viloba na wajinga???mbona hamuendii moshiii
 

CCM walisema CUF Chama cha Waislamu............
CCM walisema CHADEMA chama cha Wakristo ..........

sasa vyama vya wakristo na waislamu vimeamua kuungana .....sijui itakuwaje kwa chama cha Wasaka Tonge.........
 

We unadhani Slaa na Mbowe watakubali mgombea awe Mwingine nje ya chagadema! Thubutu, ni ulaghai tu huo.
 
We unadhani Slaa na Mbowe watakubali mgombea awe Mwingine nje ya chagadema! Thubutu, ni ulaghai tu huo.

CHADEMA Watawadanganya CUF na NCCR kuwa wao ndio wanakubalika hivyo wamuweke Mzee Slaa apiganie Urais
 

Mbowe na Slaa ni matapeli wa siasa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…