MBURE JASHA
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 200
- 46
imefika wakata wa kugomboa wana wa tanganyika tunayoitaka,mungu bariki ukawa mungu bariki tanganyika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maneno ya 'mzinzi' yamezoeleka mno na hayajasaidia kumpunguzia umaarufu wake dr Slaa. Huyu ndiye aina ya kiongozi tunayemhitaji sana, Wemye upeo wanalijua hili.Wote ni wanafiki tu, lengo si kumkomboa mTanzania lengo ni kutafuta hela. Kama lengo kweli lingekuwa ni kumkomboa mtanzania kwanini babu mzinzi aliweka sharti kwa chama chake 2010 kwa atagombea Urais na kuacha ubunge alipwe mshahara na marupurupu yote sawa na mbunge wa JMT kwa kipindi chote cha miaka mitano 2010-2015 atakapokuwa nje ya bunge!.
Afterall inakuwaje mtu kama babu mzinzi Slaa anaaminika?!.
Kama alishindwa kuwa mwaminifu kwa Mungu wake kanisani hadi akafanya uzinzi na kuzaa na wake za watu wawili ilhali yeye ni padre!
KAMA BABU MZINZI SLAA KASHINDWA KUWA MWAMINIFU KWA MUNGU WAKE ALIEMUUMBA, KAMWE HATOWEZA KUWA MWAMINIFU KWA WATANZANIA ATAKAPOPEWA NCHI HII.
Kwahiyo hafai kuwa rais.
Sent From My Nokia Lumia 1520 Using Jamii Forum.
Mbona umejibu kinyonge hivyo, teh teh teh Lipumba yupo CUF na CUF na CCM wameungana kuunda serikali.Ni sawa tu..ata akigombea Lipumba ilimradi majambazi waondoke madarakani,ayo mengine mbele kwa mbele.
Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.
Hahahahaha huku ni kujidanganya.Upinzani watashinda,matokeo ya urais 2010 waliojiandisha kupiga kura walikuwa 20,137,303 waliopiga kura 8,393,394.kura walizopata upinzani 4,121,577,ccm kura 5,276,827 tofauti ni kura 1,155,250,ambao hawakupiga kura 11,511,020 hatujui sababu ya kutopiga kura kama kweli UKAWA wataungana ccm wataiondoa 2015 hasa kama imeshindwa kutimiza ahadi zake,mbaya kupingana na maoni ya wananchi kuhusu muundo wa serikali 3.
Mkuu Ritz Chadema hawamtaki Lipumba sema basi tuu hawana jinsi wanaogopa moto wa CUF Ngangari.Mbona umejibu kinyonge hivyo, teh teh teh Lipumba yupo CUF na CUF na CCM wameungana kuunda serikali.
Mkuu Ruttashobolwa, UKAWA ni umoja ulioundwa katika misingi ya kilaghai, Mwanzo walisema nia yao ni kuwapatia wananchi wa Tanzania Katiba bora! lakini mara ghafla wakabadilika na kuanza kusema kuwa watasimamisha mgombea urais 2015. Je hiyo katiba bora ya wananchi (kwa mujibu wao) imeshapatikana? Au wanatuletea Usanii tu? Palipo na CHADEMA ulagahai hauchezi mbali!hahahahaha watakapo shikana mashati ni hapo wakati wa kumteua Mgombea na hapo ndipo wata sambaratikaa wote.
Maana Lema,yericko,ben,crash,Mungi hawato kubali Prof Lipumba kuchukua kijiti na wale wa CUF Ngangari hawato kubali Dr slaa au Mbowe kuchukua Kijiti.
Na katika hili tukae tayari kushuhudia ngumi ambazo hazijawai kutokea.
Maana Dr.W.Slaa yeye anajua lazima apperushe bendera na Lipumba naye anajua Lazima apeperushe na hapo ndio ngumi zitako anzia.
Mkuu MSALANI
UKAWA wametoka kwenye Katiba hadi kugawana madaraka.
Kikundi cha UKAWA hakitoweza kukanyaga Ikulu kamwe.
Kwanini mnakimbilia arusha tu???au ndo kuna walev wa viloba na wajinga???mbona hamuendii moshiii
Hii ndiyo UKAWA!.
Kuutunza ulaghai ni kazi inayohitaji nguvu za shetani lakini nguvu za shetani haziwezi kupambana na nguvu za Mungu.
Ukweli wa kikundi cha UKAWA umeanza kujidhihirisha!.
Hii inadhihirisha kuwa, UKAWA hawako kwa ajili ya maslahi ya Katiba bali kwa ajili ya kugawana vyeo lakini kikubwa zaidi, wameanza kugawana vyeo wakati hawafahamu hata matokeo ya Mchakato wa Katiba. Wao wana mchakato wao wa kugawana madaraka bila hata ya kuwauliza wanachama wa vyama vyao.
Hawawezi kufanikiwa!.
Akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la arusha mapema jana katika mkutano wa [ukawa]katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo,chadema,dr wilbod slaa, alisema,tumefikia makubaliano kama [ukawa] 2015 kumsimamisha mgombea 1 katika nafasi ya urais,lengo letu sio kutafuta vyeo bali kuwakomboa wananchi watanzania waliopigika na mfumo wa chama cha mapinduzi,nilifarijika sana niliposikia maneno haya kutoka kinywani mwake,maana ndio mwisho wa chama cha mapinduzi umewadia,kimsingi ni kujipanga bara bara kusuka kikosi kazi kitakacho fanya kazi ya ziada kuhakikisha ccm haifurukuti kabisa,bg up [ukawa] pa1tutashinda,
We unadhani Slaa na Mbowe watakubali mgombea awe Mwingine nje ya chagadema! Thubutu, ni ulaghai tu huo.
Mkuu Ruttashobolwa, UKAWA ni umoja ulioundwa katika misingi ya kilaghai, Mwanzo walisema nia yao ni kuwapatia wananchi wa Tanzania Katiba bora! lakini mara ghafla wakabadilika na kuanza kusema kuwa watasimamisha mgombea urais 2015. Je hiyo katiba bora ya wananchi (kwa mujibu wao) imeshapatikana? Au wanatuletea Usanii tu? Palipo na CHADEMA ulagahai hauchezi mbali!
Hivi ukawa ina uhusiano gani na suala la kusimamisha mgombea urais?