1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
wapo wengi tu,ila kazi ipo kwa ccm kila mtu anajiona ana sifa za kuwa raisi hadi king Majuto nae ametangaza nia,heri nimpe kura majuto kuriko wasira au sita!
kwa Tanzania hakuna mwenye sifa zaidi ya Dr.Slaa,sb ni kuwa anajua tatizo la nchi,hana usasi,ni msomi,ana ujasiri,ni mfuatiliaji,anapenda kusoma,anapenda demokrasia,anapenda kuona mali asili yetu inatunufaisha...waziri wake wa fedha awe lipumba,waziri wa mambo ya ndani lema....
Wewe Mandla Jr ni book 7 mzoefu. Mgombea Urais wa CHADEMA anakuhusu nini? Nenda Lumumba mkamjadili Lowassa na Wassira huko.
Tiba
Mzazi wa kike wa mleta mada
Afande Sele.
Elimu yako bado ni ndogo sana Tiba!! Rudi shule,Wahaya na chadema wapi na wapi???
Kama sio kamanda sugu basi afwande sele...😛eep:
Wana JF,
Nani anafaa kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA / UKAWA mwaka 2015???
Mandla,
Afande Sele.
Slaa labda msomi wa totoz za watukwa Tanzania hakuna mwenye sifa zaidi ya Dr.Slaa,sb ni kuwa anajua tatizo la nchi,hana usasi,ni msomi,ana ujasiri,ni mfuatiliaji,anapenda kusoma,anapenda demokrasia,anapenda kuona mali asili yetu inatunufaisha...waziri wake wa fedha awe lipumba,waziri wa mambo ya ndani lema....
Wewe Mandla Jr ni book 7 mzoefu. Mgombea Urais wa CHADEMA anakuhusu nini? Nenda Lumumba mkamjadili Lowassa na Wassira huko.
Tiba