Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

wapo wengi tu,ila kazi ipo kwa ccm kila mtu anajiona ana sifa za kuwa raisi hadi king Majuto nae ametangaza nia,heri nimpe kura majuto kuriko wasira au sita!

Daah!!
Lakini kweli,Majuto hana kashfa wala tuhuma.
Ni mtu safi.
Ila hana uwezo na uzoefu wa kuongoza labda tumjaribu tu kwenye serikali za mitaa kwanza.
 
Hivi ccm nani anafaa kugombea urais?, Rishiwani kawataja hawa na sifa zao:
1. Nchimbi huyu karuhusu haki za binadamu zivunjwe wakati wa uwaziri wake wa mambo ya ndani
2. Lowassa,huyu ni fisadi ,anapita kugawa fedha makanisani sijui katoa fedha hizo wizara gani,
3. Ngereja huyu ndani ya mwaka kama waziri akishirikiana na jairo wakafanya ufisadi wa kutisha hadi kajenga hekalu la mil400
5. January makamba huyu ndani ya unaibu wake wa mwaka mmoja,ananunua pikipiki za kutoa hongo,
6. Membe huyu ndio aliyesababia nchi yetu iwe na uhusiano wa mbaya na nchi majirani .
7. Asha Rose huyu ndie aliyesababisha nchi ikaingia mikataba feki
8.sumaye huyu anasifika kwa agwria ya takrima na kujichukulia maeneo pia sheria ya mafao ya wabunge
Hawa baadhi yao niliowataja kwa haya ni wasafii??
 
Kumshinda Lipumba?
kwa Tanzania hakuna mwenye sifa zaidi ya Dr.Slaa,sb ni kuwa anajua tatizo la nchi,hana usasi,ni msomi,ana ujasiri,ni mfuatiliaji,anapenda kusoma,anapenda demokrasia,anapenda kuona mali asili yetu inatunufaisha...waziri wake wa fedha awe lipumba,waziri wa mambo ya ndani lema....
 
Wewe Mandla Jr ni book 7 mzoefu. Mgombea Urais wa CHADEMA anakuhusu nini? Nenda Lumumba mkamjadili Lowassa na Wassira huko.

Tiba

Elimu yako bado ni ndogo sana Tiba!! Rudi shule,Wahaya na chadema wapi na wapi???
 
mtaweweseka sana kumtafuta atakaegombea hamtafanikiwa ila wakati ukifika mtashangaa,Chadema sio kama ccm ambayo kila mwana chama anataka urais
 
Elimu yako bado ni ndogo sana Tiba!! Rudi shule,Wahaya na chadema wapi na wapi???

Mimi na wewe nani anapashwa kurudi shule. Mimi nina kazi zinazoniingizia kipato wewe kazi huna kazi yako ni kushinda kwenye keyboard unaandika ujinga kwenye post za watu na jioni yake unatupiwa book 7. Na huo wimbo wenu wa ukabila kama hujui tayari umechuja, tafuta single nyingine, Chadema ni chama cha kitaifa, kama hutaki........

Tiba
 
Kama sio kamanda sugu basi afwande sele...😛eep:
 
kwa Tanzania hakuna mwenye sifa zaidi ya Dr.Slaa,sb ni kuwa anajua tatizo la nchi,hana usasi,ni msomi,ana ujasiri,ni mfuatiliaji,anapenda kusoma,anapenda demokrasia,anapenda kuona mali asili yetu inatunufaisha...waziri wake wa fedha awe lipumba,waziri wa mambo ya ndani lema....
Slaa labda msomi wa totoz za watu
 
Wewe Mandla Jr ni book 7 mzoefu. Mgombea Urais wa CHADEMA anakuhusu nini? Nenda Lumumba mkamjadili Lowassa na Wassira huko.

Tiba

Taratibu utaanza kuelewa kuwa Wassira ni Moto unaochoma.
 
Waziri wa ulinzi unamfaa sugu...Kagame na machokoraa wenzake watajuta...
 
Back
Top Bottom