Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo ndio mpango mzima wa UKAWA
Wana JF,
Nani anafaa kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA / UKAWA mwaka 2015???
Mandla,
Chadema wanamuandaa Godbless Lema kurithi mikoba ya Dr.Slaa
Chadema wanamuandaa Godbless Lema kurithi mikoba ya Dr.Slaa
kwa Tanzania hakuna mwenye sifa zaidi ya Dr.Slaa,sb ni kuwa anajua tatizo la nchi,hana usasi,ni msomi,ana ujasiri,ni mfuatiliaji,anapenda kusoma,anapenda demokrasia,anapenda kuona mali asili yetu inatunufaisha...waziri wake wa fedha awe lipumba,waziri wa mambo ya ndani lema....Wana JF,
Nani anafaa kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA / UKAWA mwaka 2015???
Mandla,