Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Wazee wa Lumumba tafadhari mpotee mbali
wana Ukawa mnadhani ni nani anafaa kuwa mgombea kupitia Ukawa bila kujali umri

Hapa ndipo penye figisufigisu! Mdau hii mada uliyoianzisha si ndogo hata kidogo..! Kusambaratika au kuimarika kwa Ukawa kunaweza kuanzia kwenye mada hii...! Naogopa hata kuanza kuijadili..!
 
wazee wa lumumba tafadhari mpotee mbali
wana ukawa mnadhani ni nani anafaa kuwa mgombea kupitia ukawa bila kujali umri

kwan katiba nayo inataji kiongoz ukawa si katiba tu.
 
Ukawa nikatiba tu.. Wenye uroho wa madaraka tusubir muda ufike watakavyoanza kpalungana.
 
hapa ndipo penye figisufigisu! Mdau hii mada uliyoianzisha si ndogo hata kidogo..! Kusambaratika au kuimarika kwa ukawa kunaweza kuanzia kwenye mada hii...! Naogopa hata kuanza kuijadili..!

umeona mbali sana, nakuambia huu muunganiko wa mashaka sikuukubali toka mwanzo, kuna watu hawaaminiki kabisa
 
Mgombea aliyeshika nafasi ya kwanza mwaka 2010 akachakachuliwa,, huyo ndiye mwenye nafasi ya kupeperusha bendera ya UKAWA,,Period

BACK TANGANYIKA
 
Mi naona huko kwenye urais wasimame wenyewe...cha msingi ni michakato majimboni...tukiwa na wabunge wengi kutoka ukawa basi hata rais akiwa wakwao moto atauona tu
 
Hapa ndipo penye figisufigisu! Mdau hii mada uliyoianzisha si ndogo hata kidogo..! Kusambaratika au kuimarika kwa Ukawa kunaweza kuanzia kwenye mada hii...! Naogopa hata kuanza kuijadili..!

ukawa waungane wakaongee na lowasa coz he can stand as presd of both parties
 
Msisahau na bomu la ccm yuu ya Rowasa, ccm yenyewe tiamajitiamaji hawajui wamsimamishe nani
 
Mada nzuri lakini mizaha imezidi. Wakati ukifika watajitokeza na watapiga/pigiwa kura apatikana mmoja anayekubalika na Watanzania wengi.
 
Back
Top Bottom