WAZIWAZI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 1,815
- 1,575
kwani mzee Warioba kakwambia naye ni bokoharam? vichaa tu ndo wanaweza kujiunga na hilo genge(ukawa) kama huyu akiwa na nyomi ya watu.kama taifa linahitaji mabadiliko basi ukawa kaeni chini na mh jaji joseph sinde warioba na muombeni agombee kiti cha uraisi hata kwa awamu moja tu kupitia umoja wa upinzani mnaweza kuja na jina la chnc nikimaanisha chadema, nccr na cuf. Bila shaka nchi itazizima na tutapata kiongozi aliye imara na anayejiamini.
Umri sio tatizo
kwa sasa sioni mtu wa kumsimamisha labda labda mchukue mtu kutoka chama tawala mfano magufuri, mkapa au lipumba mkishindwa kabisa apewe dr slaa
naomba sana wana ukawa - kama kweli mnania ya kutusaidia sisi watz.
Nawakilisha