Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Hii itasaidia kuokoa hundreds of billions of dollars katika mchakato mzima wa uchaguzi wa rais (NEC, Hongo etc).., pesa hizo zitasaidia kupeleka umeme na maji vijijini.., hii itapendeza sana..
 
avatar168549_1.gif
 
Ni mtizamo tuu na waweza kuwa na man tiki kwa upande mmoja lakini sina uhakika kama ni wangapi watakuelewa! Ni post rahisi lakini inafikirisha
 
Hayo mambo ya kurithishana uongozi tuiachie kampuni ya CHADEMA.

Dunia nzima kwa sasa inahimiza Demokrasia.
 
Hyo tuwaachie wakorea,walau koo zetu nazo zije bahatika kuukwaa uraisi,
 
Kwa Africa hamna democracy ya kweli kama first countries uchaguzi unatumia billions of money lakini no changes hali inayopoteza hela tu badala ya kufanyia mambo mengine ya muhimu kuliko magumashi yanayoendelea
 
...enzi za Mwl. Nilimshauri tubinafisishe urais, akakata!
"sisi tungebaki na nafasi ya u-waziri mkuu tu...!"
 
Mkuu,
Kwa maana hiyo kama ikipita hekaya ikawa ni leo mfumo uliopendekeza umeanza.......unataka kusema Ridhiwani mashalah?
 
Hoja ni pesa au? Kufanya hivyo ni kurudi kinyumenyume!
 
Huwa najiuliza waingereza wajinga kiasi gani wakakubali familia moja ile bata miaka na miaka
 
Back
Top Bottom